Comrade Julius Mtatiro

mkuu mtatiro,ukweli ni kwamba nchi yetu inapitia mabadiliko,na sis vijana ndo engine ya mabadiliko haya,bahati nzuri kipindi upo chuoni nami nilikuwepo!kuna hoja ya kwamba upo cuf kama ajira,kwani kam,a ni mwana harakati wa kweli ungetizama uelekeo sahii!umeijibu kiujanjaujanja!kwamba we ni mjariamali,we umetaja mali zako!kabla ujakubali hicho cheo!unakiri kwamba cuf ulijipeleka,unakiri kwaba at the time unajiunga cuf,chadema ilikuwa vibrant!sasa kwa hili hukubaliani nami kuwa uliona hajira unayotafuta cuf ni muafaka zaid kwani kwingine kuna ugumu kidogo,walaji ni wengi?na kwa nini kama si ajira mbona hujaonyesha ni kiasi gani unapata kutokana na unaibu katibu mkuu!then tukachambua na kujua ukweli?

Ndugu yangu Luka,
Idea yako ni nzuri, lakini utambue kuwa sikufika chuo kikuu kutafuna fedha za walipa kodi ili baada ya hapo niwe mshabiki wa vyama vya siasa. Siku zote nimejifunza umuhimu wa kufanyia kila jambo utafiti. Sielewi Idea ya kugeuza wadhifa wa chama cha siasa kuwa ajira, sielewi hii kaka. Wakati napewa wadhifa wa ukurugenzi CUF, mkurugenzi alikuwa anapewa posho ya shs 280,000/- hii ina maana kuwa kwa CUF hatuajiri mtu, kila mtu anajitolea na kuna mikataba ya kujitolea. Kabla sijawa naibu katibu mkuu aliyekuwepo(mhe. Bashange) alijitolea kwa mwaka mzima na baadaye akakiomba chama akapumzike ajenge maisha ya familia yake ambayo ilianza kuyumba kiuchumi. Katika CUF naibu katibu mkuu huna access na pesa, pesa wanasimamia kurugenzi ya fedha tu. Wewe naibu katibu mkuu unakagua nini wamelipa na kama imekuwa sahihi baada ya makubaliano ya vikao. Kwa hiyo hakuna loophole ya kula hela ndani ya CUF na ndiyo maana hadi leo CUF ina rekodi nzuri ya masuala ya pesa, so siku rafiki yangu ukipewa unaibu ukadhani utakula pesa za CUF umeula wa chuya.

Jambo lingine ni kuwa, baada ya kumaliza chuo ningeweza kupata ajira nzuri katika makampuni kadhaa kama ningetaka, lakini niliona nikienda kufanya kazi ofisini sitakuwa na muda wa kufanya advocacy na kuifikia jamii pana zaidi, niliona malengo yangu ya kuelimisha wananchi wengi na kuwatetea yatapotea.

Mwisho napenda kukujulisha kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CUF kwa viwango vya sasa anapokea POSHO ya tzs 525,000 kwa mwezi. Kwa hiyo unaposema nilijiunga CUF ili kupata ajira that mean 525,000/- kwangu ndiyo fadhila. Hapa nilipo nina digrii moja, nina advanced diploma moja na ninasoma shahada ya pili.
 
Julius umejibu vema sana tena kisomi.Hongera kwa hilo.Nina swali moja kwako.Kwanini wakati wa kampeni Igunga Cuf iliungana na ccm kuishambulia chadema ktk kila mkutano wenu? Ilifika mahali bila aibu Hamad Rashid akauambia mkutano Chadema ni chama cha wachaga.Huoni hilo linawafanya muonekane CCM B? Nijibu Julius.

Mpiganaji,
ukweli ni kuwa katika kampeni za Igunga CHADEMA ndio walichukua muda mwingi kuishambulia CUF na kumbuka hata kuna wakati walikuwa na operesheni kuzunguka nchi wakiishambia CUF. Sielewi hii aidia kuwa CUF walikuwa wanaishambulia CHADEMA ilitokea wapi. Igunga kazi kubwa ya CHADEMA ilikuwa ni kuishambulia CUF kuwa CUF ni CCM B, ni mke wa CCM, CUF imeolewa na CCM , siyo chama cha upinzani, CUF ni chama cha Zanzibar n.k. Nijuavyo mie CHADEMA ndio walichukua muda mwingi kuishambulia CUF na huku vijana wao wa vyuo vikuu waliokuwa katika kila kijiji wakiendelea na kampeni kali dhidi ya CUF, lengo ilikuwa ni kuhakikisha kuwa CUF haiungwi mkono na wananchi na kuwapa wananchi mtizamo kuwa CUF ni CCM tu, na katika hili walifanikiwa sana.
 
Asante kwa majibu yako yanayojitosheleza kiasi fulani!ndugu yangu kila la heri!
 
Mkuu Mtatiro, kwanza hongera kwa majibu yako yaliosheheni hekima na busara. Anwayz mie nina maswali 2 tu.
1.Kwanini kila uchaguzi mkuu mgombea wa CUF huku bara anakuwa muh.Hibrahimu Lipumba tu? cuf hawana mtu zaidi
ya huyu muheshimiwa?
2.Wewe kwa upande wako unaona kifanyike nini ili mwaka 2015 CCM indoke madarakani? maana tume ni yao,polisi ni yao,tiss ni yao na jeshi ni lao.
Nitashukuru iwapo utanijibu maswali hayo
 
Mkuu Mtatiro,
umejibu vizuri sana lakini umeishambulia chadema somehow!
ukisoma vizuri point yangu inatoa tafsiri ya upinzani tulio nao kwa wakati huu(yaani kizazi chetu)
maana yangu ni kwamba hatuitaji program ya muda mrefu,tuna kazi kubwa mbele yetu ya kuitoa ccm ili iweze kufutwa
kwa mtazamo wangu binafsi bado una safari ndefu ya kutembea,nahisi cuf imejenga chuki na chadema na imeivuta ccm kuwa nayo karibu
 
Mpiganaji,
ukweli ni kuwa katika kampeni za Igunga CHADEMA ndio walichukua muda mwingi kuishambulia CUF na kumbuka hata kuna wakati walikuwa na operesheni kuzunguka nchi wakiishambia CUF. Sielewi hii aidia kuwa CUF walikuwa wanaishambulia CHADEMA ilitokea wapi. Igunga kazi kubwa ya CHADEMA ilikuwa ni kuishambulia CUF kuwa CUF ni CCM B, ni mke wa CCM, CUF imeolewa na CCM , siyo chama cha upinzani, CUF ni chama cha Zanzibar n.k. Nijuavyo mie CHADEMA ndio walichukua muda mwingi kuishambulia CUF na huku vijana wao wa vyuo vikuu waliokuwa katika kila kijiji wakiendelea na kampeni kali dhidi ya CUF, lengo ilikuwa ni kuhakikisha kuwa CUF haiungwi mkono na wananchi na kuwapa wananchi mtizamo kuwa CUF ni CCM tu, na katika hili walifanikiwa sana.
Julius!
unataka kuniambia kuwa CDM iliwahonga vijana wa Universities kusambaza sumu juu ya CUF???
Note:Ni rahisi sana kukubalika kisiasa chuo kikuu ikiwa siasa zako zina mashiko.
Julias una mtaji mkubwa wa siasa kwa sasa ila KUMBUKA MASHABIKI WAKO NI WALE TU ULIOKUWA NAO VYUONI.BAADA YA MIAKA MITANO GENERATION INAYOFWATA HAITAKUKUBALI simply bcs HAIKUJUI NA HAIZIJUI HARAKATI ZAKO.
mimi NAKUAMINIA ila mtaani kwetu hamna anayekukubali zaidi ya wale wanakujua ukiwa UDSM
 
Ndugu yangu Luka,
Idea yako ni nzuri, lakini utambue kuwa sikufika chuo kikuu kutafuna fedha za walipa kodi ili baada ya hapo niwe mshabiki wa vyama vya siasa. Siku zote nimejifunza umuhimu wa kufanyia kila jambo utafiti. Sielewi Idea ya kugeuza wadhifa wa chama cha siasa kuwa ajira, sielewi hii kaka. Wakati napewa wadhifa wa ukurugenzi CUF, mkurugenzi alikuwa anapewa posho ya shs 280,000/- hii ina maana kuwa kwa CUF hatuajiri mtu, kila mtu anajitolea na kuna mikataba ya kujitolea. Kabla sijawa naibu katibu mkuu aliyekuwepo(mhe. Bashange) alijitolea kwa mwaka mzima na baadaye akakiomba chama akapumzike ajenge maisha ya familia yake ambayo ilianza kuyumba kiuchumi. Katika CUF naibu katibu mkuu huna access na pesa, pesa wanasimamia kurugenzi ya fedha tu. Wewe naibu katibu mkuu unakagua nini wamelipa na kama imekuwa sahihi baada ya makubaliano ya vikao. Kwa hiyo hakuna loophole ya kula hela ndani ya CUF na ndiyo maana hadi leo CUF ina rekodi nzuri ya masuala ya pesa, so siku rafiki yangu ukipewa unaibu ukadhani utakula pesa za CUF umeula wa chuya.

Jambo lingine ni kuwa, baada ya kumaliza chuo ningeweza kupata ajira nzuri katika makampuni kadhaa kama ningetaka, lakini niliona nikienda kufanya kazi ofisini sitakuwa na muda wa kufanya advocacy na kuifikia jamii pana zaidi, niliona malengo yangu ya kuelimisha wananchi wengi na kuwatetea yatapotea.

Mwisho napenda kukujulisha kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CUF kwa viwango vya sasa anapokea POSHO ya tzs 525,000 kwa mwezi. Kwa hiyo unaposema nilijiunga CUF ili kupata ajira that mean 525,000/- kwangu ndiyo fadhila. Hapa nilipo nina digrii moja, nina advanced diploma moja na ninasoma shahada ya pili.
Julius!
next time zikiwepo tetesi za namna hii uwai kujitokeza na ukanushe
ungesema mapema kuwa una 525000 kwa mwezi wengi wasingekusema vibaya (ajira CUF)
Huna mwanya wa kuikuza CUF as wabunge wake wajao dodoma hawaeleweki na hawataki kusimama imara kwenye mambo ya kitaifa
Ungelikuwa umepewa mamlaka ya kutosha ndani ya CUF ungaliwadescpline wabunge wako wajao dodoma
Maalim SEIF kashindwa kazi ndio maana ameshindwa kumwajibisha ndani ya chama waziri wake wa uchukuzi aliyezembea na kusababisha ajali ya Meli
 
tatizo sio majake NATAKA MTATIRO AHAMIE CHADEMA ILI NGUVU YAKE IKAUNGANE PALE BUNGENI KUTAFUTA NGUVU YA WANYONGE ILA ASIGUSE JIMBO LA UBUNGO MAANA ATAPOTEZA UMAARUFU TU TUNATAKA AHAMIE BJIMBO LA KINONDONI NA HAKIKA ATASHINDA TU ILA AWE CHADEMA
 
Huyu kijana alikuwa hapendi shule, alikuwa mwendesha migomo mkuu akiwa UDSM. Nilikuwa kila mara migomo ikitokea UD lazima aonekane na alikuwa anavaa tu nguo moja! Tshirt ya Arsenal!!

View attachment 40408

Katibu mkuu mstaafu vyuo vikuu Julius Mtatiro akisalimiana na Askari magereza katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,baada ya kutuhumiwa kwa kosa la kuwahamasisha wanafunzi wa vyuo vikuu kugoma kuingia madarasani.
 
Mkuu Julius Mtatiro, kwanza hongera kwa kuja humu Crystal clear. Pili asante sana kwa majibu yako ambayo yanazidi kuthibitisha wewe sio tuu ni kichwa, bali pia ni jembe kweli la kuchapa kazi kwenye medani za siasa.

Enzi zile mimi nikiwa mwanahabari, baada ya Mrema kuhama CCM, nilimuuliza maswali kama haya naye alitoa majibu mazuri kama yako kuhusiana na hoja za kuhama chama. Kilichofuatia sote tunakijua.
Nakuaminia wewe ni wewe hivyo post zako nazichukulia kama msahafu wa msimamo wako kisiasa na nitazitumia kama rejea from time to time kukuthibitishia CUF is a wrong party for you huku bara.

Umethibitisha SUK inafanya vyema Zanzibar kwa kupandisha bei ya zao la Karafuu toka 5,000 kwa kilo mpaka 15,000, this is fine, kitu ambacho hukusema ni kuwa wana CUF wote walioingia SUK, wamekula kiapo cha kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM!.

Nafasi ya Maalim Seif kama Makamo wa kwanza wa rais ni purely ceremonial with no executive powers na mwenye mamlaka ni makamo wa pili!.

Pamoja na yote uliyosema na kwa uwazi uliopitiliza hata mipaka, fact zinabaki kuwe wewe Julius Mtatiro ni mpiganaji wa kweli uliokuweko kwenye waste party, the sooner you realize, the better!. Other wise time will tell.

I wish you all the best hapo ulipo.

Pasco (wa jf).
 
Pasco we think the same
 
Pasco kwa maoni yako unafikiri angeenda chama gani?
 
Mtatiro wewe ni mpambanaji nakufahamu tulikuwa wote pale DARUSO you was excellent. NJOOOOOOOOOO CDM mchango wako tunauhitaji. Njooooo CHADEMA hapo CUF unapotea hutafika popota.
 
Pasco kwa maoni yako unafikiri angeenda chama gani?
Brother Wabe,
Piga ua,garagaza,buruza,tenganisha kichwa nk....oneday Mtatiro atakubaliana na usemi wa watu wengi "nami nikiwemo" wanaomwambia kuwa
cuf si mahala sahihi pake na anapoteza mda wake bure....na siku atakayozinduka toka kwenye usingizi huu wa pono,nina 70% huyu bwana ni
lazima atajiunga na wapambanaji wenzake ndani ya CDM.....kama mimi ni muongo TIME WILL TELL....i wish him all the best
 
Mpiganaji,
ukweli ni kuwa katika kampeni za Igunga CHADEMA ndio walichukua muda mwingi kuishambulia CUF na kumbuka hata kuna wakati walikuwa na operesheni kuzunguka nchi wakiishambia CUF. Sielewi hii aidia kuwa CUF walikuwa wanaishambulia CHADEMA ilitokea wapi. Igunga kazi kubwa ya CHADEMA ilikuwa ni kuishambulia CUF kuwa CUF ni CCM B, ni mke wa CCM, CUF imeolewa na CCM , siyo chama cha upinzani, CUF ni chama cha Zanzibar n.k. Nijuavyo mie CHADEMA ndio walichukua muda mwingi kuishambulia CUF na huku vijana wao wa vyuo vikuu waliokuwa katika kila kijiji wakiendelea na kampeni kali dhidi ya CUF, lengo ilikuwa ni kuhakikisha kuwa CUF haiungwi mkono na wananchi na kuwapa wananchi mtizamo kuwa CUF ni CCM tu, na katika hili walifanikiwa sana.

Mkuu Umejibu vyema si kama Vilaza Rejao, Nape, Ritz, FaizaFoxy na viwaji jeshi wengi wa CCM
 
MTATIRO Njoo CDM sio eti unafuata pesa au umaarufu la hasha, kuna nguvu uliyonayo ndio tunahitaji huku CDM. Hii ina maana kwamba mpambanaji makini kama wewe Kaka MTATIRO ukiwa pale mjengoni dodoma, fikiria Timu hii ukiwa 1. MTATIRO 2.ZITTO 3.SLAA 4. LISSU 5. MNYIKA 6. MBOWE 7. LEMA 8. MDEE 9. BAREGU 10. MARANDO 11.(Hapa nafasi ya six na Ma-Kufuri). Tafadhali Mtatiro kuhama nyumba inayovuja kuhamia nyumba ambayo haivuji sio ujinga bali ni kuikomboa familia yako. Tunaomba nguvu yako KAKA MTATIRO WEWE NI PRESIDENTIAL MATERIAL BUT ONLY THROUGH CHADEMA, yaani njia nyeupe. Kwa ujasiri ule tukiwa Pale DARUSO NI DHAHIRI KAKA KWAMBA UKIWA RAIS WA TZ HAUTAGOPA WAZUNGU, UTASIMAMIA VIZURI MADINI YETU, WANYAMAPORI WETU NK BILA UOGA. NITAFURAHI SIKU MOJA UMEKUWA RAIS WA TZ.Kabisa kweli kabisa CUF unakwisha umepotea njia kaka. Kurudi kuuliza njia sio ujinga bali unataka kufika uendako. KIUKWELI KABISA NAKUAMBIA KAKA MTATIRO KWA VIJANA WOTE WENYE UMRI KAMA WEWE HAKUNA ANAYEKUFIKIA KWA UJASIRI. Njoo CHADEMA KAKA WEWE NI PRESIDENTIAL MATERIAL.
 
Back
Top Bottom