Comrade Julius Mtatiro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Comrade Julius Mtatiro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Oct 30, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Kwako mkuu
  tumesikia na kuelewa utendaji wako wa kazi
  mimi binafsi ni mwanaharakati ninaye takia mema nchi yangu,mkuu umekuwa ukifanya kazi hapo Cuf kwa muda mrefu sasa,je swali langu,,hapo Cuf una future?je Cuf inakuachia uwanja wa kucheza ili uweze kufanikisha malengo yako kisiasa?je Cuf yenyewe ina future?
  mkuu napenda kukupa taarifa kuhusu upinzani wa wakati tulio nao,
  kazi ya upinzani tulio nao ni moja tu! kuiondoa ccm madarakani,,hakuna kazi nyingine,
  ccm imetawala miaka mingi na imetusumbua sana sisi watanzania,kazi yenu ni kuitoa ccm na yeyote atawale ili mradi ccm ifutwe kabisa,
  mkuu kama hiyo ndio kazi ya upinzani nakushauri uondoke Cuf mara moja kwa kuwa walishafunga ndoa na ccm
  hakuna mabadiliko yatakayotokea nchi hii kama ccm inahusika,ondoka Cuf hamia chadema pambana na wenzio ili watanzania waweze kuwaweka kwenye vitabu vya historia
   
 2. S

  STIDE JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama ana masikio na asikie!!
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  anatakiwa kuchukuwa hatua haraka sana
   
 4. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Chukua hatua
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa tokea alete ma document yenye utata kuhusu helicopter waliyokodishiwa na RA mpaka leo hajatia mguu humu, sijui yupo wapi?
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,416
  Trophy Points: 280
  director1, usitake kumdanganya mwenzio aachie ulaji hapo CUF!, mwenzako hapo ni naibu katibu mkuu ambayo ni very senior position. Juzi wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, Mtatiro aliidhinisha malipo ya milioni 50 kulipia ile helcopter bila kushauriana na yoyote hapo CUF, hii ikiwa ni ushahidi kuwa pia anayo purchasing power kubwa, unataka aende chadema akafe njaa?!.

  Kwa Tanzania tuna wanasiasa wa aina mbili, aina ya kwanza ni wanasiasa ambao siasa kwao ndio professional na ajira zao za kudumu kuendeshea maisha yao. Hawa wanaingia siasa ili waweze kuishi ndio maana Lipumba ndiye mgombea wa kudumu wa urais wa muungano kwa tiketi ya CUF.Wengi wa wanasiasa walioko CCM na CUF ndio wa kundi la kwanza. Kundi la pili la wanasiasa wa bongo, ni wale wanaoingia siasa kwa kutaka kuwatumikia wananchi, hawa wanauchungu na umasikini wa Tanzania hivyo wanaingia siasa ili kuleta mabadiliko, wengi wa walioko Chadema ndio kundi hili la pili.

  CUF ni chama cha siasa cha wachumia tumbo, kinagombea uongozi ili kupata ulaji, baada ya kufunga ndoa na CCM, wanagawana ulaji, hapo sasa hakuna kingine wanachotaka ni kugawana tuu keki ya taifa na kula kwa ulaini, hivyo Mtatiro hapo alipo ni pazuri sana kwa ulaji, msimdanganye ahame aachane na ulaji aje Chadema kwenye struggle ambapo kwa sasa anakula kwa kuypewa, akienda Chadema, itambidi ale kwa jasho lake!.

  Mtatiro usidanganyike, jitulize tuu hapo hapo ulipo, endelea kujilia kwa ulaini, 2015 kombea tena ubungo uendelee kusindikiza huku ukijilia kwa ulani. Kama unaweza kujipatia ulaji kwa ulaini na mteremko kama huo ulionao hapo CUF, kwanini ukapande milima na mabonde kama Chadema?.
  Tena kutokana na jina la Julius, wewe ni mtaji muhimu sana CUF, naomba usifikirie kabisa kuhama, chama kitakufanya mgombea wa kudumu wa jimbo la Ubungo kama alivyo Prof. Lipumba ni mgombea wa kudumu wa urais wa muungano.
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimeisoma na kuelewa point yako'njaa mbaya sana
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mh, Pasco umenena kweli Tz hali ni mbaya mtu ukipata mahali pakula ni bora zaidi ukatulia na kupaboresha hatimaye upalinde usiingiliwe na mtu mwingine Mtatiro J usidanganyike wote hao wanatafuta nafasi za kula tu hakuna lolote
   
 9. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona mna majungu sana,punguzeni majungu na mfikirie ukombozi wa nchi,maana wewe director kila cku Mtatiro mtatiro.
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ungesema tu wewe ni shabiki wa chadema basi tungejua

  Ni maoni pia umejitahidi..

  Lakini CUF ndio chama makini cha upinzania tanzania

  Chadema bila kanisa hakuna kitu
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mtatiro mi kwa upande wangu bora akae kidogo cuf ili ajijenge kiuchumi.halafu huyu mtatiro hana madhala yoyote dhidi ya ukombozi.tulishamvunja uti wa mgongo kithibitisho ni uchaguzi wa igunga.na sijaona hata siku moja anakitakia mabaya chadema.hata akihamia chadema atahama na watu ambao hawajai kibaba.ngoja aendelee kuwepo wepo kwanza ila asituvurugie mipango yetu ya ukombozi.cuf tuliwapa nafasi wakashindwa kuitumia so naomba watulie hivyo hivyo.mia
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  and that's the knock out punch pasco.... you nailed it right there.... PUUM!!!
  boxing-punch.jpg
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,416
  Trophy Points: 280
  Pasco wa jf sio mshabiki wa chama chochote cha siasa,
  huko nyuma niliwahi kuikosoa CUF kuwa njaa zitawaponza na ile ndoa yenu na CCM itawapeleka kaburini.
  Ila kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana pia niliwasifu kuwa CUF ndicho chama chenye wabunge kila kona Tanzania, kwa kuwa na wabunge, Bara, Pemba na Uguja, CCM inawabunge bara n`a Zanzibar, Pemba haina, Chadema ina wabunge Bara tuu.

  Kama unadhani mimi ni Chadema, niliwaambia Chadema hawajajipanga na walinikasirikia wakifikiri mimi CCM.

  CCM nao niliwaambia "wamechokwa" wakafikiri mimi Chadema.

  Pasco wa jf, anaspeak his mind freely bila kujali siasa za vyama, ila kwa uchaguzi wa 2015, namfagilia Membe ndie awe mgombea wa CCM!.
   
 14. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Kikubwa kinachomuua zaidi CUF kuna udini maana kila mwana cuf makini lazima awe muislam hiyo haina ubishi. kila mwenye macho anaona kuwa hicho chama hakina sura ya kukomboa nchi ila kipo kwa ajili ya masilahi ya waislam sana.
   
 15. IGUDUNG'WA

  IGUDUNG'WA JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 1,998
  Likes Received: 887
  Trophy Points: 280
  mtatiro hapo ndio penyewe kaka endelea kula bata kama kawa maana hii nchi yenyewe ishauzwa
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  lost.jpg
  lost puppy na udini wake... pooooff
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  namfahamu Julius.

  mzee wa "The Struggle"

  mpambanaji wa ukweli.

  hata mawe ya Revolution Square ya UDSM yanamjua kwa namna alivyo na moyo wa uchungu wa kuona Watoto wa Tanzania wanakomboka kifikra, na siku inakuja yatakaposema kuwa ameisaliti ardhi ya Tanzania na Watanzania kwa kujiunga na CCM, chama ambacho kinatawala kwa sababu ya umbumbumbu na umasikini wa Watanzania walio wengi.

  si mtu wa kupoteza, ila aliamua tu mwenyewe (pengine kutokana na ushauri mbaya) kupotea.

  ngoja nimvutie pumzi nione kama hii nayo ataichukulia kuwa ni crap au ni 'Sauti ya Nyikani'
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Huyu kijana alikuwa hapendi shule, alikuwa mwendesha migomo mkuu akiwa UDSM. Nilikuwa kila mara migomo ikitokea UD lazima aonekane na alikuwa anavaa tu nguo moja! Tshirt ya Arsenal!!
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hapa kwa Pasco napita tu...
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kwani Kim Jong Il ana majaketi mangapi?
   
Loading...