bibikuku
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 832
- 495
Director na wadau wote, tangu jana nahudhuria vikao muhimu vya kitaifa, na hadi hivi sasa niko katika kikao cha KAMATI YA UTENDAJI. Kwenye saa 6 hivi tutamaliza session ya leo. Nitarudi na majibu ya maswali yako na wadau wengine.
Nitajibu hoja za msingi tu na kutimiza wajibu wangu!
Mtatiro - 30.10.2011
Watu kama wewe wanatakiwa sana. lakini bado uko kimya hadi sa sita huu usiku bado unaendlea na kikao kiongozi? hebu funguka tujue mtazamo wako bado tunakusubiri jamvini hapa