Hello JF......
ni mara chache sana kupost jukwaa hili...mara nyingi huwa ni mchangiaji au msomaji wa masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea kutokea kila siku nchi hii..........
Upepo wa kisiasa umeendelea kuibadili nchi yetu kila kukicha....si jambo la ajabu kukuta watu wamekaa tena vijijini wakijadili mambo mbalimbali ya kisiasa....
nakipongeza pia chama changu cha Chadema kwa kuendelea kuwaamsha watanzania walio wengi juu ya mambo muhimu yanayowahusu na wanachopaswa kukifanya...binafsi nimeamshwa zamani sana.........
sina shaka na uwezo wa wana CDM katika kuwamsha watanzania walio wengi ........katika kujazia kile kilichozungumzwa na bwana Sita leo.........naomba pia safu nzima ya wana CDM kila mmoja kw anafasi yake ajitazame upya status yake maritually..........viongozi (wa CDM) wengi wao wamekua na status zinazofanana na sio sifa nzuri kwa kiongozi hasa wa kiafrika.kama kweli tunatetea tamaduni zetu za Kitanzania tulizorithishwa na babu zetu basi tuliangalie na ilo,na kama kweli tunajiandaa kuchukua dola ya nchi hii..tujipange safu hiyo....................huu ni mtazamo wangu na wala siwakilishi mawazo ya mtu mwingine...viva CDM
si bora za cdm zinajulikana kuwa hazieleweki,vipi dhaifu ambaye anaoa ila kukicha,na mwenzie ndungai asiye jua hata idadi ya wake zake!
Hello JF......
ni mara chache sana kupost jukwaa hili...mara nyingi huwa ni mchangiaji au msomaji wa masuala mbalimbali ya kisiasa yanayoendelea kutokea kila siku nchi hii..........
Upepo wa kisiasa umeendelea kuibadili nchi yetu kila kukicha....si jambo la ajabu kukuta watu wamekaa tena vijijini wakijadili mambo mbalimbali ya kisiasa....
nakipongeza pia chama changu cha Chadema kwa kuendelea kuwaamsha watanzania walio wengi juu ya mambo muhimu yanayowahusu na wanachopaswa kukifanya...binafsi nimeamshwa zamani sana.........
sina shaka na uwezo wa wana CDM katika kuwamsha watanzania walio wengi ........katika kujazia kile kilichozungumzwa na bwana Sita leo.........naomba pia safu nzima ya wana CDM kila mmoja kw anafasi yake ajitazame upya status yake maritually..........viongozi (wa CDM) wengi wao wamekua na status zinazofanana na sio sifa nzuri kwa kiongozi hasa wa kiafrika.kama kweli tunatetea tamaduni zetu za Kitanzania tulizorithishwa na babu zetu basi tuliangalie na ilo,na kama kweli tunajiandaa kuchukua dola ya nchi hii..tujipange safu hiyo....................huu ni mtazamo wangu na wala siwakilishi mawazo ya mtu mwingine...viva CDM
Ameoa mara ngapi?dhaifu?
Hii haijatulia.Rais wa Botswana hajaoa.
Na Botswana imetupita kiuchumi mpaka uongozi bora na demokrasia.
Go figure.
Kitu kimoja ninachokubali katika katiba ya CDM ni uaminifu wao katika mila na desturi za watanzania na uaminifu wao kwa familia.Najaribu kuamini kwamba una point ya msingi unayotaka kuifikisha kwa wadau lakini bado sijakupata vizuri. Usizungumzie marekani kwakuwa wao wanaongozwa na katiba na katiba yao iko vizuri sana haitoi loophole kwa kiongozi yeyote kutumia familia yake kumshauri nini cha kufanya.
Unaweza kutoa mifano michache ya viongozi wa Kitanzania walioshindwa kutekeleza majukumu yao kikamilifu kwa sababu ya kutooa ama kutoolewa? nipe mifano yoyote bila kujali ni wa chama gani cha siasa ama hata asiwe mwanasiasa.
Pia utupatie mifano hai ya kuthibiutisha watu walioshindwa kuongoza vizuri walipokuwa hawajaoa ama kuolewa lakini walipokuja kuoa ama kuolewa wakapata mafanikio makubwa sana katika nyanja za uongozi.
Hii haijatulia.
Kule Marekani na Uingereza VIONGOZI wanaongoza kwa mujibu wa SHERIA. Wanaongoza kwa mujibu wa KATIBA zao. Hapa kwetu ukiwa na mke na watoto wenye nguvu wanakuwa WABIA wako kwenye URAIS. Wanakusaidia kuteua. Wanakusaidia kutawala. Wanakuandalia hotuba. Wanakulazimisha kuiba. Wanakuingiza kwenye madili ya ajabu. Unafanya biashara hadi IKULU yetu.
Botswana ni nchi tunayoisifia kila siku kwa Mendeleo na nidham ya kiuongozi. Did you know Kuwa president wao ni bachela wa mpaka mini tuu!!!kabisa family life or marriage life is important to society...maana ukiwa kama kiongozi ndio unatakiwa uwe mfano kwa jamii...sasa kama mtu ukok solo unakaa ikulu matokeo yake utaanza kuwaingiza akina wema sepetu ikulu sasa kama baadhi ya viongozi tunawaona wanavyofanya bt ikulu au sehemu ya heshima inatakiwa kiongozi awepo pale na familia yake...Huwezi kuona nchi ka america or britain kiongozi yuko solo
ur talking too much between the facts.........by the way sizungumzii kiongozi mmoja mmoja hapa.............massive numer ya viongozi wa CDM hawataki kuoa wala kuolewa..hii ndo point ya msingi...........hujaoa nini?

Botswana ni nchi tunayoisifia kila siku kwa Mendeleo na nidham ya kiuongozi. Did you know Kuwa president wao ni bachela wa mpaka mini tuu!!!
VIONGOZI wote mafisadi ndani ya CCM wana NDOA na nyumba ndogo kadhaa. Na kwa kweli ndoa na familia ni moja ya chagizo kali za kuwafanya VIONGOZI wetu wawe wezi, mafisadi. Angalia mtu kama Mkapa alivyovurugwa na fisadi Anna na EOTF yake. Muangalie Ridhiwani anavyomchafua Kikwete sasa na utajiri usioelezeka. Angalia mzee Kingunge na utajiri wa kijana wake Kinje. Angalia Lowasa na Fred wake. Angalia Daniel Yona na vijana wake.
Kwa akina mama walivyo na nguvu nyingi siku hizi kwenye ndoa, ni bora tu tupate Rais bachela.
:horn:
Mimi bwana hata kama raisi atakuwa bachelor au anandoa, tunahitaji rais ambaye ni dictator mzalendo
AshaDii, ukisema hivyo utazua mjadala mwingine.WildCard naamini kabisa umenipata namaanisha nini... Kama ulivosema Uraisi ni Taasisi, ukiangalia post yangu nimegusia kuwa familia ni taasisi ndogo ambayo inaweza toa picha ya jinsi gani mtu anaweza ongoza taasisi kubwa; which in this case ni hio ya 'Urais'.
What do you mean too low?
You mean our economy is too low when compared with Botswana's?
Your argument was too low, President of Botswana being single is your party leaders ticket for their dubious marital status?
What has Botswana's economy got to do with marital status of their / your party leaders?
Was Seretse Khama single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?