Complicated Marital Status za wana CDM na Urais 2015

First of all, I don't have a party, so take that back. I argue positions based on reason, not party affiliations. If you are a partisan Tanzanian, who cannot see anything outside the prism of party politics, I understand there is a temptation to color everything with the light that passes through that disjointed prism.

I am not into that. I take offense when my arguments are simplified so.

The question here is, what has marital status got to do with party leadership or leadership at all?

Stalin was a great family man, but he killed millions of people to the extent that the Russian demographic charts of his time took a toll.

Khama is not married but is ranked highly among African presidents. That shows you if you want leadership, look for leadership. If you are a priest looking for an unreal chastity, look on.

Khama is single, and he is running his economy far better than Tanzania's. Kikwete is married but our economy is in the doldrums.

I would choose a Khama over a Kikwete any day of the year.

Who asked you about Khama? didn't you see the questions on three different former presidents of Botswana?

Blah blah blah, on Stalin does not give your party leaders tickets for their dubious marital status!

What has Tanzania's economy got to do with marital status of their leaders? or in this matter Khama's marital status?

Pathetic.
 
Watu kama Belusconi na Sarkozy ni mifano hai ya viongozi waseja au wasio na ndoa walioziangusha nchi zao kutokana kushindwa kuongoza. Kama umeshindwa kuongoza familia 1 utawezaje kuongoza maelfu ya familia; tena zenye midimamo na mirengo tofauti?

Ndoa inaleta utulivu wa hisia nakuleta mchango mkubwa katika fikra na maamuzi.

Khama hana familia na nchi yake ina rank highre kuliko most of the African countries.

Hapo unasemaje?
 
Who asked you about Khama?

The thread is about marital status and leadership ability, the real life example of Khama refutes this fallacious notion squarely.

didn't you see the questions on three different former presidents of Botswana?

It takes only one president to disprove an untruth, you don't need two. A truth that need so much to defend it is suspect.

Blah blah blah, on Stalin does not give your party leaders tickets for their dubious marital status!

Backwards societies are overly characterized by an overindulgent zeal towards a utopian chastity.

Stalin's example shows that being a family man does not necessarily mean being a good leader. His own daughter escaped the USSR.

What has Tanzania's economy got to do with marital status of their leaders?

The economy is one central aspect of demonstration of leadership. Your notion that unmarried people cannot lead would have us believe Botswana would be disadvantaged, to the contrary.

or in this matter Khama's marital status?

As stated above, Khama is a living example that marital status has nothing to do with leadership.

Pathetic.

What is pathetic here is the simplification of a complex issue into some party politics bickering and uninformed shenanigans, fact starved innuendos and sheer frustrated lack of argument on your part.
 
Huwezi kuwa na urafiki na CAMERON kama utakuwa umeoa jinsia tofauti!
attachment.php

attachment.php
 
Khama hana familia na nchi yake ina rank highre kuliko most of the African countries.

Hapo unasemaje?

Nasema ameiacha nchi pabaya zaidi ya alipoikuta.

Kiongozi asiye na mke ni mzigo kwa jamii anayoiongoza. Tunahitaji kiongozi mwenye mamlaka ya kimaadili; kutuonyesha ni namna gani tupande mbegu za maadii mema kwenye familia. Kumbuka taifa lenye maadili mema (talk of ethics ) linaanzia nyumbani.

Hivyo tunapenda vijana wetu wengi waishi kwenye familia zinazofuata misingi ya jamii yetu: Ambapo kuoa ni moja ya misingi hiyo.
 
Kwa hiyo kwa simplistic approach yako, kuwa na mke ndo kuwa na maadili na kutokuwa na mke si maadili?

Kwa definition yako hiyo basi hata Yesu na Papa hawana maadili!

Wakati Josip Stalin kwa mujibu huu ana maadili.
 
Kwa hiyo kwa simplistic approach yako, kuwa na mke ndo kuwa na maadili na kutokuwa na mke si maadili?

Kwa definition yako hiyo basi hata Yesu na Papai.

Kama hao uliowataja ni viongozi wa nchi, na bado hawajaoa, watakuwa hawana maadili ya kuongoza wananchi.
 
kabisa family life or marriage life is important to society...maana ukiwa kama kiongozi ndio unatakiwa uwe mfano kwa jamii...sasa kama mtu ukok solo unakaa ikulu matokeo yake utaanza kuwaingiza akina wema sepetu ikulu sasa kama baadhi ya viongozi tunawaona wanavyofanya bt ikulu au sehemu ya heshima inatakiwa kiongozi awepo pale na familia yake...Huwezi kuona nchi ka america or britain kiongozi yuko solo

Kwahiyo kipimo chako ni America na Britain but hapa kwetu imekuwa tofauti sasa, wana majukumu mengi ya kuleta mabadiliko hivyo wakileta other issues watakuwa interrupted hao viongozi waliooa wenyewe tunasikia wanafumaniwa na wake za watu.
 
The thread is about marital status and leadership ability, the real life example of Khama refutes this fallacious notion squarely.

It takes only one president to disprove an untruth, you don't need two. A truth that need so much to defend it is suspect.

Backwards societies are overly characterized by an overindulgent zeal towards a utopian chastity.

Stalin's example shows that being a family man does not necessarily mean being a good leader. His own daughter escaped the USSR.

The economy is one central aspect of demonstration of leadership. Your notion that unmarried people cannot lead would have us believe Botswana would be disadvantaged, to the contrary.

As stated above, Khama is a living example that marital status has nothing to do with leadership.

What is pathetic here is the simplification of a complex issue into some party politics bickering and uninformed shenanigans, fact starved innuendos and sheer frustrated lack of argument on your part.

Was Seretse Khama single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?
 
kabisa family life or marriage life is important to society...maana ukiwa kama kiongozi ndio unatakiwa uwe mfano kwa jamii...sasa kama mtu ukok solo unakaa ikulu matokeo yake utaanza kuwaingiza akina wema sepetu ikulu sasa kama baadhi ya viongozi tunawaona wanavyofanya bt ikulu au sehemu ya heshima inatakiwa kiongozi awepo pale na familia yake...Huwezi kuona nchi ka america or britain kiongozi yuko solo

Ni kweli mkuu. Wenzetu Waingereza na Wamarekani suala la ndoa ni muhimu mno kwa kiongozi wao. Na unafuatiliwa na ukiwa na affair tu na mwanamke mwingine inatosha kukufanya ujiuzuru nafasi yako. Lakini kwetu TZ mkuu angalia viti maalum walio wengi ni nyumba ndogo za ikulu na inaonekana ni kitu cha kawaida tu.
 
"You know we're always want to be led, but what about basically nature. We all want to be told what to do. Marx tells you what to do, Christ tells you what to do, the psychologists tell you what to do, the politicians tell you what to do. We're always looking for leaders - better political leader than the present one. And the better political leader is always not good enough but next one will be better. And so we keep this idea. Please let's be clear on this point. There is no leader as far as I am concerned. You can create the speaker into a leader, which will be an utter folly, but the speaker is not a leader. We are together co-operating to discover the cause of all this misery of man. You have had thousand leaders. They've all failed.

In the very action of the individual changing, surely, the collective will also change. They are not two separate things opposed to each other, the individual and the collective, though certain political groups try to separate the two and to force the individual to conform to the so-called collective". -Jiddu Krishnamurti
 
ni kweli mkuu. Wenzetu waingereza na wamarekani suala la ndoa ni muhimu mno kwa kiongozi wao. Na unafuatiliwa na ukiwa na affair tu na mwanamke mwingine inatosha kukufanya ujiuzuru nafasi yako. Lakini kwetu tz mkuu angalia viti maalum walio wengi ni nyumba ndogo za ikulu na inaonekana ni kitu cha kawaida tu.

exactly
 
Was Seretse Khama single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?
Was Quett Mesire single? how was the economy at his time?

Rais wa sasa wa Botswana (kuanzia 2008) Seretse Khama Ian Khama (59) ndiye single. Ni mtoto wa Rais wa zamani wa Botswana Seretse Khama.

Mwaka 2010 GDP per capita ilikuwa US $ 2,627.5, linganisha na Tanzania kwa mwaka huo US $ 548, Kenya US $ 810 na South Africa (highest in Africa) $7,160. Botswana kiuchumi iko vizuri sana.

Ukuaji wa uchumi mwaka 2010 ulikuwa 8.6% kulinganisha na wastani wa dunia kwa mwaka huo 4.08%
 
Na pi wapo wasiokuwa na ndoa ambao wana nidhamu ya hali ya juu, ambao wameishi kwa wajibu na jukumu la kuangalia mienendo ya ndugu zao kwa kuwalisha, kuwavisha na kuwasomesha na wanawashinda wenye ndoa kwa nidhamu na taadhima.

Hivyo ndoa sio kigezo cha lolote kwenye uongozi bora wa mtu.

Yeah... You may be right Gaijin... That is one school of thought na yangu ni otherwise...
 
Usitosheke na apparent view, hata penseli ikipitishwa kwenye maji inaweza kuonekana imepinda wakati kiukweli haijapinda, imebadili media tu.

Pencil_in_a_bowl_of_water.svg
Ni sawa na kusema babu yangu amevuta sigara miak 50 lakini hajapata cancer, kwa hiyo sigara haisababishi cancer...

Thats just .....
 
Ni sawa na kusema babu yangu amevuta sigara miak 50 lakini hajapata cancer, kwa hiyo sigara haisababishi cancer...

Thats just .....

Kama unataka cause and effect toa study inayoonyesha link kwamba kuoa kunaleta ufanisi zaidi katika ndoa.

Kuna viongozi kama kina Janet Napolitano wanaonekana status yao ya kuwa single ndio inawapa uwezo zaidi wa kufanya kazi vizuri kwa sababu wana focus maisha yao yote kwenye service ya watu.
 
Marais wote wa G20 wameoa kasoro Hallendale.
NA VIONGOZI WA DINI WENYE KASHFA ZA KUJAMIIANA WENGI WAO NI WAKATOLIKI.
yOU DO THE MATH.
 
Back
Top Bottom