Complicated Marital Status za wana CDM na Urais 2015

Ukishaoa unaheshimika coz kuna changamoto nyingi sana humu ndani. Muulize Mandela!
 
najua wengi watapinga hapa lakini ujumbe umefika......nchi kama Marekani sifa kuu ya kwanza ni mke kw amgombea uraisi au kiongoz mwingine..........kuwa na weak family au poor relation au huna kabisa ni kigezo cha kukosa kura..................na hapa suala kubwa ni kwa nini CDM ina idadi kubwa ya watu wanaofanana status zao???viongozi wasiooa au kuolewa wamejaa kule....why?? Mnyika alitafutwa Clouda Kipindi cha usiku azungumzie japo kidogo tu upeo wake wa masuala y amapenzi akakata simu.........my friend SIASA na MAPENZI ndo vinavyorun dunia........
 
Ndio style yetu manake tumegundua wanawake wanaokua first lady ndo mafisadi wa kutupwa mara fulsa sawa kwa wanawake,mara WAMA tena huyu wama ndo mwiz balaa kuliko hata mtoto wake riz bogus.
 
Kuoa au kuolewa ni kuongeza stress,waache wawe bize kujenga chama

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Duniani kuna mifano mingi ya viongozi wakuu wa nchi ambao hawakuwa na wake kwa kutokuoa kabisa au kwa kutaliki

Ndoa sio factor katika uongozi bora wa mtu.
 
Kinachoongoza ni akili ya mtu na si utupu wake. Unless kama kuna tafiti zilizofanyika kuthibitisha kuwa ubungo wa binadamu siku hizi upo kwenye utupu.
Hilo nalo neno. Hizo ndoa zenyewe zinazopigiwa chapuo ni ndoa basi. Bill Clinton alikuwa na huyu mama ambaye ndie Secretary of State wa Obama sasa. Alivulia nguo na ka-intern tu ndani ya Ikulu.
 
wakuu, proffesor wa siasa wa kenya prof daniel toroitich arap moi toka awe rais cjawahi kumwona na first lady wake mpaka anaondoka madarakani.
nchi inaongozwa kwa kutumia ubongo na si utupu.
 
Duniani kuna mifano mingi ya viongozi wakuu wa nchi ambao hawakuwa na wake kwa kutokuoa kabisa au kwa kutaliki

Ndoa sio factor katika uongozi bora wa mtu.

wingi huu ni ule wa zaidi ya mmoja au wa zaidi ya wale wa upande wa pili?
 
Kinachoongoza ni akili ya mtu na si utupu wake. Unless kama kuna tafiti zilizofanyika kuthibitisha kuwa ubungo wa binadamu siku hizi upo kwenye utupu.

Mkeshaji unapozungumzia ndoa unawaza tu kuwa kuna kufanya? Samahani kama nitakukwaza una umri gani? Walau nipate picha naongea na mtu wa level gani ili nioanishe mchango na msimamo wako dhidi ya hilo.

Ndoa maana yake sio tu kufanya tendo la ndoa ni zaidi ya hilo. Inahusisha kuishi kwa ushirikiano hasa kwa familia zetu hizi ambazo maisha ya ndoa ni extended. Inahusisha uwajibikaji na reliability ya mtu, kwamba mtu una responsibilities as well as obligations na wazitimiza ipasavo (na ukikwama sio kwa kutaka bali kwa maisha halisi kuwa ya mkwamo). Inahusisha nidhamu, haina maana kuwa mtu ambae hajaoa hana nidhamu, ila ukweli unabaki kuwa mtu ambae ameoa, anafamilia na ni kiongozi wa hio familia walau probability ya nidhani hapo ni kubwa kuliko ambae hajao.

Tuache Siasa za ushabiki! Usikurupuke tu na kusema kuwa kutooa ni sawa sababu tu kuwa anaezungumziwa ni CDM. Hilo ni wazi kuwa ndoa ina heshima yake mbele ya jamii, kuwa kama kiongozi hata waweza onesha sampuli wa uongozi ambao unaweza toa kwa jamii kwa kupitia aina ya uongozi unaotoa katika a taasisi ambayo ni dongo kuliko serkali (which in this case is the family).
 
Ndoa ni kielelezo cha nidhamu

Nakubaliana na wewe ingawa najiuliza, Kwa Tanzania hii kiongozi gani ana ndoa safi? Kama hiko kingekuwa kigezo kinachofuatwa pengine hata kina siye tungekuwa marais. walioko huko juu mbona hawafai. Kwa maana hiyo basi tu extend this requirement to all political parties ili uadilifu uwe kweli dira ya Taifa letu. Tusiishie CDM because that would be a double standard approach!
 
wingi huu ni ule wa zaidi ya mmoja au wa zaidi ya wale wa upande wa pili?

Wingi huu ni wa zaidi ya mmoja, huo wa zaidi ya wale wa upande wa pili sioni unasomekaje kwa nilivyosema.

Bora niseme "kuna mifano tele" .....hapo vipi?

Junichiro Koizumi ni mmoja kati ya Mawaziri Wakuu walioonyesha uongozi bora Japan, na alienda ikulu peke yake baada ya kumtaliki mkewe.

Hata baada ya kujiuzulu, kulikuwa na joke moja maarufu kuwa hata watu wakimuomba vipi arudi ulingoni hawezi ku-sacrifice tenakujamiiana kwa jamii
 
  • Thanks
Reactions: KXY
Kule Marekani na Uingereza VIONGOZI wanaongoza kwa mujibu wa SHERIA. Wanaongoza kwa mujibu wa KATIBA zao. Hapa kwetu ukiwa na mke na watoto wenye nguvu wanakuwa WABIA wako kwenye URAIS. Wanakusaidia kuteua. Wanakusaidia kutawala. Wanakuandalia hotuba. Wanakulazimisha kuiba. Wanakuingiza kwenye madili ya ajabu. Unafanya biashara hadi IKULU yetu.

Hapo umesema ukweli....
 
Mkeshaji unapozungumzia ndoa unawaza tu kuwa kuna kufanya? Samahani kama nitakukwaza una umri gani? Walau nipate picha naongea na mtu wa level gani ili nioanishe mchango na msimamo wako dhidi ya hilo.

Ndoa maana yake sio tu kufanya tendo la ndoa ni zaidi ya hilo. Inahusisha kuishi kwa ushirikiano hasa kwa familia zetu hizi ambazo maisha ya ndoa ni extended. Inahusisha uwajibikaji na reliability ya mtu, kwamba mtu una responsibilities as well as obligations na wazitimiza ipasavo (na ukikwama sio kwa kutaka bali kwa maisha halisi kuwa ya mkwamo). Inahusisha nidhamu, haina maana kuwa mtu ambae hajaoa hana nidhamu, ila ukweli unabaki kuwa mtu ambae ameoa, anafamilia na ni kiongozi wa hio familia walau probability ya nidhani hapo ni kubwa kuliko ambae hajao.

Tuache Siasa za ushabiki! Usikurupuke tu na kusema kuwa kutooa ni sawa sababu tu kuwa anaezungumziwa ni CDM. Hilo ni wazi kuwa ndoa ina heshima yake mbele ya jamii, kuwa kama kiongozi hata waweza onesha sampuli wa uongozi ambao unaweza toa kwa jamii kwa kupitia aina ya uongozi unaotoa katika a taasisi ambayo ni dongo kuliko serkali (which in this case is the family).
AshaDii,
Urais ni TAASISI. Unakuwa na watu wa kukusaidia KUONGOZA. Unakuwa na watu wa kukusaidia kazi hizi za urais. Unakuwa na WASHAURI. Mkeo au Mmeo ni wa lazima katika haya MAISHA mengine.
 
watu wenye misukosuko ya ndoa zao Mzee Mandela, Nyerere, Mengi, Zuma, Jk, Slaa, Mkapa, Mwinyi ... anyway WALIOPO KWENYE NDOA WANATAKA KUTOKA, WASIYO KWENYE NDOA WANATAMANI KUINGIA...
 
najua wengi watapinga hapa lakini ujumbe umefika......nchi kama Marekani sifa kuu ya kwanza ni mke kw amgombea uraisi au kiongoz mwingine..........kuwa na weak family au poor relation au huna kabisa ni kigezo cha kukosa kura..................na hapa suala kubwa ni kwa nini CDM ina idadi kubwa ya watu wanaofanana status zao???viongozi wasiooa au kuolewa wamejaa kule....why?? Mnyika alitafutwa Clouda Kipindi cha usiku azungumzie japo kidogo tu upeo wake wa masuala y amapenzi akakata simu.........my friend SIASA na MAPENZI ndo vinavyorun dunia........

Najaribu kuamini kwamba una point ya msingi unayotaka kuifikisha kwa wadau lakini bado sijakupata vizuri. Usizungumzie marekani kwakuwa wao wanaongozwa na katiba na katiba yao iko vizuri sana haitoi loophole kwa kiongozi yeyote kutumia familia yake kumshauri nini cha kufanya.

Unaweza kutoa mifano michache ya viongozi wa Kitanzania walioshindwa kutekeleza majukumu yao kikamilifu kwa sababu ya kutooa ama kutoolewa? nipe mifano yoyote bila kujali ni wa chama gani cha siasa ama hata asiwe mwanasiasa.

Pia utupatie mifano hai ya kuthibiutisha watu walioshindwa kuongoza vizuri walipokuwa hawajaoa ama kuolewa lakini walipokuja kuoa ama kuolewa wakapata mafanikio makubwa sana katika nyanja za uongozi.
 
Sijui kama nitazua mjadala hapa. Yesu Kristo alikuwa KIONGOZI kijana mzuri sana kuliko Mtume Mohamad(SAW) ambaye alikuwa na wake wengi. Nimeyasoma yaliyoandikwa juu ya uongozi wao. Kauli zao. Na maamuzi na matendo yao.
 
Ndoa ni mkataba kati ya wapenzi na haina formula ya ku-i-sustain.Unaweza kuwa na matatizo lukuki katika ndoa yako, lakini hayataingilia utendaji wako wa kazi na majukumu mengineo. Kuwa na ndoa au kutokua nayo si kigezo cha kumpima mtu status yake katika jamii.Mwl Nyerere pamoja na hekima na busara zake zilizo"tukuka" alikuwa na matatizo na First Lady wa wakati huo. Wazee waliokuwa karibu naye wanafahamu hilo. ndoa hata kwa mila zetu za kiafrika ni worse, maana inakubali mitaala-polygamy! Tusiingilie mtu maisha yake binafsim mradi asiwe "gay", lesbian,na n.k. na sifa zisizon kubalika kibinadamu.
 
Najaribu kuamini kwamba una point ya msingi unayotaka kuifikisha kwa wadau lakini bado sijakupata vizuri. Usizungumzie marekani kwakuwa wao wanaongozwa na katiba na katiba yao iko vizuri sana haitoi loophole kwa kiongozi yeyote kutumia familia yake kumshauri nini cha kufanya.

Unaweza kutoa mifano michache ya viongozi wa Kitanzania walioshindwa kutekeleza majukumu yao kikamilifu kwa sababu ya kutooa ama kutoolewa? nipe mifano yoyote bila kujali ni wa chama gani cha siasa ama hata asiwe mwanasiasa.

Pia utupatie mifano hai ya kuthibiutisha watu walioshindwa kuongoza vizuri walipokuwa hawajaoa ama kuolewa lakini walipokuja kuoa ama kuolewa wakapata mafanikio makubwa sana katika nyanja za uongozi.

ur talking too much between the facts.........by the way sizungumzii kiongozi mmoja mmoja hapa.............massive numer ya viongozi wa CDM hawataki kuoa wala kuolewa..hii ndo point ya msingi...........hujaoa nini?
 
Back
Top Bottom