Rais wa sasa wa Botswana (kuanzia 2008) Seretse Khama Ian Khama (59) ndiye single. Ni mtoto wa Rais wa zamani wa Botswana Seretse Khama.
Mwaka 2010 GDP per capita ilikuwa US $ 2,627.5, linganisha na Tanzania kwa mwaka huo US $ 548, Kenya US $ 810 na South Africa (highest in Africa) $7,160. Botswana kiuchumi iko vizuri sana.
Ukuaji wa uchumi mwaka 2010 ulikuwa 8.6% kulinganisha na wastani wa dunia kwa mwaka huo 4.08%
punga lile...........Rais wa Botswana hajaoa.
Na Botswana imetupita kiuchumi mpaka uongozi bora na demokrasia.
Go figure.
Too low!
Rais wa sasa wa Botswana (kuanzia 2008) Seretse Khama Ian Khama (59) ndiye single. Ni mtoto wa Rais wa zamani wa Botswana Seretse Khama.
Mwaka 2010 GDP per capita ilikuwa US $ 2,627.5, linganisha na Tanzania kwa mwaka huo US $ 548, Kenya US $ 810 na South Africa (highest in Africa) $7,160. Botswana kiuchumi iko vizuri sana.
Ukuaji wa uchumi mwaka 2010 ulikuwa 8.6% kulinganisha na wastani wa dunia kwa mwaka huo 4.08%
Marais wote wa G20 wameoa kasoro Hallendale.
NA VIONGOZI WA DINI WENYE KASHFA ZA KUJAMIIANA WENGI WAO NI WAKATOLIKI.
yOU DO THE MATH.
Tupe na data za hao Marais watatu waliopita.
Kama hao uliowataja ni viongozi wa nchi, na bado hawajaoa, watakuwa hawana maadili ya kuongoza wananchi.
mkuu nakupongeza kwa courage yakoOne may argue that we are now reaching the paradigm shift when traditional marriage is no longer an issue.
And the French are leading the way.
Even your G20 example had to have a qualifier.
mkuu nakupongeza kwa courage yako
umebakiza kimoja tu.... kuvunja ukimya
Ukimya si moja ya tabia zangu. Wanaonijua JF watanishuhudia.
Ni kawaida ya ushakunpe kuweweseka kwa vijineno viso kichwa wala mguu.
Jamii masikini mara zote zinajishughulisha sana na habari zisizo tija kimaendeleo kuliko zenye tija, ndiyo sababu zikawa masikini.
Habari ya marital status kwa watu walioendelea ni private deal, ndo maana huwezi kuenda kuomba kazi nchi zilizoendelea ukatakiwa kuweka marital status kwenye resume.
Kama mnaendekeza habari hizi bongo, zinaweza kuwa moja ya sababu tuko maskini.
Benevolence relegates this whole deal to a violation of human rights, as much as racial, sex and age discrimantion. Marital status discrimination is just another aspect of discrimination on that spectrum.
Wewe unayebagua wasiooa/olewa kimsingi huna tofauti na mtu anayebagua watu weusi. Tofauti yenu ni ndogo na iko kwenye technical detail tu, mmoja anabagua kwa msingi wa rangi ya ngozi, mwingine anabagua kwa msingi wa marital status. Kwa watu waliostaarabika you could get sued over some shyt like that.
Vijana kibao ambao hawajaoa/kuolewa wana talent hawapewi nafasi kwa sababu tu hawajaoa/kuolewa.
Wakati kuoa/kuolewa si kigezo kwani tunaona waliooa na kuolewa kibao wanaendeleza ubazazi hata ndoa zao hawaziheshimu.
Food for thought, you do the dishes.
.........done the dishes bro.... funguka zaidi mkuu, its ok! you are not alone
Wewe kama una cha kusema sema tu, usitake kutupa mzigo wako.