Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Naombeni msaada wenu wanajamvi! Kwa mwonekano wa ndani, kati ya Bus za Dar Lux na Hizi ndege za hapa kazi Tu hivi hipi ni more luxurious.
Swala la speed tuweke pembeni. Naomba tucompare mwonekano wa ndani tu.View attachment 409419View attachment 409420
Wenye akili uchwara hutapata tabu kuwabaini kwa jinsi wanavyoshadidia mambo madogo madogo yasiyo na tija wala afya!
 
Hajakosea alivyosema anaomba mungu azime mitandao ya kijamii yote kwa usiku mmoja;
hata mimi ningesema hivyo hivyo.
 
Bombardier Q400 ni sawa na ndege inayoitwa..SUPER MBAULA Dar - Kigoma.. Ndege yenye manual gear ambayo ndio ndege pekee inayouza WALI MAHARAGE na maji ya drip
daaaa mkuu acha utani! umenichekesha sana
 
Hao wanao kejeli ndege zetu hata kupanda helcopter hawajawahi!!!! Kazi unafiki wa bule. Kafieni mbele na chuki na uchochezi wenu.
 
Aliye roga vichwa vya watz alishafariki.
Kwa fikra na chuki hii nadiriki kusema ili kuiongoza tz usiwasikilize unaoongoza wanasema nini, wewe fanya tu ipo siku watakushukuru kama ambavyo eti sasa wanamuona jk mzuri wakati walimpona kwa miaka yote 10.
Nahisi jirani zetu wanatushangaa kwa kitojipenda.
JK mzuri??!
 
Hapa sitii neno, nahisi kama kuna mtego kuna panya wataingia tu mtego huu,
 
Team TUSIONAJEMA.
Nilidhani watu wanakosoa ili mambo yaboreshwe kumbe sio Mkuu. Atcl inatakiwa ikue na sio kununuliwa midege mikubwa ghafla. Its pathetic kukosoa nia na hatua kubwa iliyochukuliwa
 
Wapambanaji wenzangu naona tumeshindwa kabisa ktk ishu ya ajira na sasa tumehamishia nguvu zote kwenye mara mapangaboi mara mabombadia mara mandege!!!jamani turudi na huku kwetu jamaaaa
 
Fananisha DarLux na ndege anazopanda mchunga ng'ombe anayeishi mjini.
 
Najaribu kuimagine conversation ya Mkulu na air hostess
 
Back
Top Bottom