Ujumbe huu umekaa kichuki binafsi zaidi kuliko kulinganisha kwenyewe na ndio maana sehemu moja (ya ndege) umeweka na picha za watu, na hasa mhusika, kwanini na kwenyewe usiache viti vitupu! Cha msingi linganisha usafiri wa bus na ndege za hapa kazi tu (kama unavyoziita)!Naombeni msaada wenu wanajamvi! Kwa mwonekano wa ndani, kati ya Bus za Dar Lux na Hizi ndege za hapa kazi Tu hivi hipi ni more luxurious.
Swala la speed tuweke pembeni. Naomba tucompare mwonekano wa ndani tu.View attachment 409419View attachment 409420
Msininukuu vibaya. Nimefanya kuicompare na basi maana nimekosa hata ndege ya kuicompare nayo. Ndege za wenzetu ni level nyingine. Yani nimeshindwa kuicompare hata na ile Air Tz au Fastjet.
Unaruhusiwa kuleta yakwako ili Tufanye comparison pia.
Tatizo mwenye ndege asinge kuwemo. Wapo ambao wangekuja na kusema sio zenyewe kama baadh wanaobisha kuwa izo sio dar lux.Ujumbe huu umekaa kichuki binafsi zaidi kuliko kulinganisha kwenyewe na ndio maana sehemu moja (ya ndege) umeweka na picha za watu, na hasa mhusika, kwanini na kwenyewe usiache viti vitupu! Cha msingi linganisha usafiri wa bus na ndege za hapa kazi tu (kama unavyoziita)!
unawezaje kulinganisha vitu toafauti?!are u serious?!Naombeni msaada wenu wanajamvi! Kwa mwonekano wa ndani, kati ya Bus za Dar Lux na Hizi ndege za hapa kazi Tu hivi hipi ni more luxurious.
Swala la speed tuweke pembeni. Naomba tucompare mwonekano wa ndani tu.View attachment 409419View attachment 409420
Msininukuu vibaya. Nimefanya kuicompare na basi maana nimekosa hata ndege ya kuicompare nayo. Ndege za wenzetu ni level nyingine. Yani nimeshindwa kuicompare hata na ile Air Tz au Fastjet.
Unaruhusiwa kuleta yakwako ili Tufanye comparison pia.

Nando, Peleka maombi ili wewe uajiriwe uwe mhudumu au tuagize wahudumu kutoka Rwanda?Kwani shida ni kufika ama "mbwembwe za seat ulipokaa"??? Anyway wahudumu wa ndege zetu hawana "sura za mvuto/at(t)ractive face" kama wa ndege za ETHIOPIA OR RWANDAN AIR OR EMIRATES.
😀😀😀😀😀, tufurahi na tucheke kwa pamoja.Mmebaki kulia lia tu. Mnatia huruma kwa kweli.
Wanyonge wameshalipia kupitia 18% na 10%. Kila mnyonge, atanyongwa kulingana na ukubwa wa mfuko wake ulivyotoboka au ulivyotobolewa/ulivyotumbuliwa kwa kodi za kaizari.Acheni kututumia wanyonge kama kisingizio
Uncle wanasema zimeletwa kufanya biashara ww unasema zimeletwa kuwasaidia wana nchi wanyonge,wakat hata bei haujui
Soma halafu u edit although nazijua Greyhound

kwanza Hio sio dar Lux alaf hio sio ndege mpya its AirTanzania angalia Uniform Ya mhudumu Huyo alieyekaa na JPM and Lastly mtoa thread sio Yeye ni Kijisehemu kidgo kilichojaa upumbav...Huezi leta Pumba Kwa GT tuchambue Pumbafff!!!Cheka na Lowasa.😀😀😀😀😀, tufurahi na tucheke kwa pamoja.
Unatekenywa, Unajitekenya na kucheka mwenyewe, endelea na Magonjwa yako.Cheka na Lowasa.
Ha ha ha, endelea kupoteza muda wako kushindana na Magufuli.Unatekenywa, Unajitekenya na kucheka mwenyewe, endelea na Magonjwa yako.
Haya tumsifu bwana! Tumpambe kwa maua.
Tuimbe: Mapangaboi mbele kwa mbele, Mapangaboi kata mbuga, mapangaboi leta upepo, oooow mapangaboi mbele kwa mbele.
Mapangaboi nambari wani, oooow mapangaboi mbele kwa mbeleeeee.
😀😀😀😀😀😀😀😉
Childish. Kupinga kila kitu ni wehu. Kila kitu kina mwanzo.