Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Mnaikosa point ya kiongozi wetu kwa mbali sana, Hakulenga kutuletea kitu cha luxurious na sio lengo letu kufanya luxury wakati mambo muhimu ya kiuchumi hayako sawa Nyumbu. Nichukue nafasi hii kumpongeza Rais JMP kwa kazi nzuri inayoonekana na nyie mnaompinga jipangeni kupinga maendeleo ya nchi yenu. HONGERA Mh. John Pombe Magufuli.


Naombeni msaada wenu wanajamvi! Kwa mwonekano wa ndani, kati ya Bus za Dar Lux na Hizi ndege za hapa kazi Tu hivi hipi ni more luxurious.
Swala la speed tuweke pembeni. Naomba tucompare mwonekano wa ndani tu.View attachment 409419View attachment 409420
 
Unakebeji pangaboi wakati huna kiyoyozi. Yatakuwa maharage ya Kazuramimba hayo!
 
Wazungu wana haki ya kutuibia Madini akili hatuna kabisa kama watu wanajadili basi kulingana na Ndege.,,
 
ni more luxury hilo unaloendesha kwenye avatar yako
 
Mleta mada anaulizia comfortability ya ndani sio mwendo,kama ni mwendo Mkulu alisha prove mwenyewe kuwa Bajaji ina mwendokasi kuliko hayo Mapangaboi.
Nyie hizo dharua zenu ujue Mungu anawaona, Hivi utawezaje Ku compare Ndege na Bus linalotoka Dar Mwanza masaa takriban 18 na Ndege saa 1.20. Tupende cha kwetu jaman sio kila kitu kukejeli
 
Tatizo amjui kutofautisha safari ya ndege na basi panda basi hilo zuri kwenda mbeya masaa 14 kwa pangaboi lisaa 1...msipende kuponda kila Kitu.
 
Linatumia muda gani from DSM to Mwanza?
Kwangu bado air Magufuli is the best option
Mahitaji sio trave time tu, hata confortability na exposure ni muhimu. Mtalii huhitaji kuona zaidi kuliko uharaka.
 
Ndege za mapangaboi zimeletwa ili kuwahudumia wananchi wanyonge na masikini wa kitaa, wacheni ziwahudumie walalahoi na wadanganyika.
Kuna mpango na mchakato kwa kila mkoa kupatiwa ndege 2 za mapangaboi. Siri-kali hii ina fedha za kutosha, kaeni mkao wa kutumbuliwa tu. Hapana kazi tu.
Hivi wamesema nauli toka Dar hadi Mwanza itakuwa bei gani? Maana nasikia inasemwa eti zitakuwa "za walalahoi". Tangu lini walalahoi wakamudu usafiri wa eropleni? Hao waboreshewe tu usafiri wa treni, ndio mkombozi kwao. Usafiri wa anga hauwezi kuwa wa mlalahoi au mkeshahoi
 
Back
Top Bottom