RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,503
- 135,528
Ukichukua Bentley Flying Spur na Toyota Crown Athlete halafu umwambie mtoto wa kindergaten achague kati ya hayo mawili atachagua Toyota Crown kwahio msishangae kuona kuna watu wanasema bus la kawaida lenye LED na fake leather seat linaweza kuwa comfortable zaidi ya 76 passenger turbo prop plane.