Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Rwanda nao walianza na bombadier..hyo ndege wamenunua juzi baada ya business yao kuimarika
Rwanda uchumi wao unestablize lini? Je maliasili walizonazo zinafikia hata Robo ya Tz. Huoni kuwa ni ujinga kufanya Rwanda kama benchmark ya kukompare uchumi wa Tz?
 
lini tutafikilia kwa ubongo....dah yan kuna watu wanakela sana!!!!!hiv kulala njaa na kula wali bila mboga unashindwaje kujua tofatut yake na kuipongeza serikal yako!!!!tueke uchama pembeni tujenge taifa
Kama ulikuwa unatulisha pilau kwa kuku na soda juu then ukaharibu tukaanza kula wali bila mboga ni lazima tunung'unike hamna namna. Na tusipoangalia sasa hv mtaanza kutufananisha na South Sudan nyie wana Lumumba msio na haya
 
Kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita Nchi hii haikuwa na ndege zake, zilikuwa za kukodi.Hizi za sasa ni ndege za taifa na zimenunuliwa ndani ya miezi michache ya awamu hii mpya.Kwamba miaka 20 tulishindwa kuwa na zetu, ndani ya miezi mitano tumekuwa nazo! Huoni kama ni mafanikio makubwa? kwa nini bado mna akili za hovyohovyo? Ninyi ni jamii ya watu walio zaliwa kinyume na maumbile ya binadamu!!KUPINGA YALIYOMEMA NI DALILI ZA WAZI ZA UZAO WA MAKALIONI
Unamponda nani na unamsifia nani? Kwani Tz tumetawaliwa na vyama tofauti? maana unaongea as if kuna chama kipya kinatawala
 
Dar Lux the Best
Una kichaa mkuu. Unajaribu kulinganisha vitu visivyo na uhusiano. Material yanayotumika kutengeneza hizo mavitu humo ndani hayako sawa. Hapa unajaribu kulinganisha TECNO smartphone na Samsung Au iphone. Hahahahaaaa. Acheni hayo mambo.
 
Kwanza bei tu,na pia hilo ni basi na hiyo ni ndege ,speep pia,nafikiri unatumia makalio kutofautisha ewe mburura
Ulitaka nitofautishe panga boi na ndege ipi labda. Kama vipi ilingabishe na hii sasa
1475210212478.jpg
 
Kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita Nchi hii haikuwa na ndege zake, zilikuwa za kukodi.Hizi za sasa ni ndege za taifa na zimenunuliwa ndani ya miezi michache ya awamu hii mpya.Kwamba miaka 20 tulishindwa kuwa na zetu, ndani ya miezi mitano tumekuwa nazo! Huoni kama ni mafanikio makubwa? kwa nini bado mna akili za hovyohovyo? Ninyi ni jamii ya watu walio zaliwa kinyume na maumbile ya binadamu!!KUPINGA YALIYOMEMA NI DALILI ZA WAZI ZA UZAO WA MAKALIONI
Usilazimishe watu waujue uwezo wako kiakili.Akili yako imeshindwa kutofautisha mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula.Au ndiyo mahabati yapo pomoni?
 
sisi ndio tulitakiwa tuwatangulie kwa mbali saaana sio wao watutangulie sisi ebo!!!
Yani hapo ndo tunatofautiana na hawa watu wanaojitoa akili hawakawii kuifananisha Tz na Eritrea
 
Ndege za mapangaboi zimeletwa ili kuwahudumia wananchi wanyonge na masikini wa kitaa, wacheni ziwahudumie walalahoi na wadanganyika.
Kuna mpango na mchakato kwa kila mkoa kupatiwa ndege 2 za mapangaboi. Siri-kali hii ina fedha za kutosha, kaeni mkao wa kutumbuliwa tu. Hapana kazi tu.
Mmebaki kulia lia tu. Mnatia huruma kwa kweli.
 
nipeni gharama ya dar - dodoma fasta nighairi lakshari bomba shabib
 
Una kichaa mkuu. Unajaribu kulinganisha vitu visivyo na uhusiano. Material yanayotumika kutengeneza hizo mavitu humo ndani hayako sawa. Hapa unajaribu kulinganisha TECNO smartphone na Samsung Au iphone. Hahahahaaaa. Acheni hayo mambo.
Ulitaka tuilinganishe na ndege ipi sasa hebu toa mfano.
 
Una kichaa mkuu. Unajaribu kulinganisha vitu visivyo na uhusiano. Material yanayotumika kutengeneza hizo mavitu humo ndani hayako sawa. Hapa unajaribu kulinganisha TECNO smartphone na Samsung Au iphone. Hahahahaaaa. Acheni hayo mambo.
so What? nawe ni Genius
 
Ndege pekee yenye ka tank ka kuweka mafuta ya taa (Kerosene)
 
huyu jamaa wa ajabu sana gaucho kamwe hawezi fanana na Sunday Manara ndege ni ndege tu hata ikawa na mkeka na ilo basi likawa na siti
 
Unamponda nani na unamsifia nani? Kwani Tz tumetawaliwa na vyama tofauti? maana unaongea as if kuna chama kipya kinatawala

NAWASEMA WOTE WANAOPINGA UNUNUZI WA NDEGE!!SWALI LINGINE?
 
Usilazimishe watu waujue uwezo wako kiakili.Akili yako imeshindwa kutofautisha mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula.Au ndiyo mahabati yapo pomoni?

Asante kwa kumjibu mtoa mada, aliyeshindwa kutofautisha ndege na Basi
 
Back
Top Bottom