Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Ndege za mapangaboi zimeletwa ili kuwahudumia wananchi wanyonge na masikini wa kitaa, wacheni ziwahudumie walalahoi na wadanganyika.
Kuna mpango na mchakato kwa kila mkoa kupatiwa ndege 2 za mapangaboi. Siri-kali hii ina fedha za kutosha, kaeni mkao wa kutumbuliwa tu. Hapana kazi tu.
Mbona pesa za maafa Bukoba na madawati wamechangisha watu? Hata pesa za kuhamia Dodoma hakuna, pesa zilizobaki ni kwa ajili ya lipumba na kudhoofisha ukawa tu hizo zingine znabakiwa kuwa story za matumaini
 
Mbona pesa za maafa Bukoba na madawati wamechangisha watu? Hata pesa za kuhamia Dodoma hakuna, pesa zilizobaki ni kwa ajili ya lipumba na kudhoofisha ukawa tu hizo zingine znabakiwa kuwa story za matumaini
Pia kuna Wastaafu waliostafu tangu April mwaka huu hawajapata mafao yao mpaka leo hii.
 
Mleta mada anaulizia comfortability ya ndani sio mwendo,kama ni mwendo Mkulu alisha prove mwenyewe kuwa Bajaji ina mwendokasi kuliko hayo Mapangaboi.
Comfortability unaipima kwa rangi za viti na hizo LED?! Flying na kuendesha barabara iliojaa matuta mashimo,dereva anafunga breki ghafla,kona kali unaweza kulinganisha?!
 
Ndege ni ndege tuu hata iwe ya Jeshi uwezi fananisha na basi hata zile Greyhound five star bus huwezi fananisha na bus...basi dereva akifunga breki ghafla unaanza kuangalia mbele kuna nini...
 
Hivi kwa akili zako timamu kuna malaoi anapanda ndege hapa Tanzania ambaye anaishi chini ya dola moja acheni kuwahusisha walalahoi Na Izo ndege
Tena wakome wakomae.

Wamenunua ndege eti ili wamdolishie Mbowe!!! Huu ni zaidi ya upumbavu.
 
Hapo hakuna bus la dar lux. Dar lux hana Master fabrication
 
Aliye roga vichwa vya watz alishafariki.
Kwa fikra na chuki hii nadiriki kusema ili kuiongoza tz usiwasikilize unaoongoza wanasema nini, wewe fanya tu ipo siku watakushukuru kama ambavyo eti sasa wanamuona jk mzuri wakati walimpona kwa miaka yote 10.
Nahisi jirani zetu wanatushangaa kwa kitojipenda.
 
Back
Top Bottom