Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Aliye roga vichwa vya watz alishafariki.
Kwa fikra na chuki hii nadiriki kusema ili kuiongoza tz usiwasikilize unaoongoza wanasema nini, wewe fanya tu ipo siku watakushukuru kama ambavyo eti sasa wanamuona jk mzuri wakati walimpona kwa miaka yote 10.
Nahisi jirani zetu wanatushangaa kwa kitojipenda.
Yani kuongoza wa tz ndugu yangu ni mtihani mkubwa kuliko kuswaga ng'ombe.
Walau ng'ombe wanajua kuwa wanataka majani mazuri na maji lakini watz hawajui wanachotaka.
Wao kazi kumsifia aliyepita na kuponda kila anachofanya aliyepo.
Enzi za mwinyi walimsifia nyerere wakamponda mwinyi, enzi za mkapa walimsifia mwinyi wakamponda mkapa, enzi za jk walimsifia mkapa wakamponda jk, now enzi za jpm wanamsifia jk wanamponda jpm, hope akimaliza muda wake watamsifia pia.
 
Childish. Kupinga kila kitu ni wehu. Kila kitu kina mwanzo.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Acheni ushamba wa kukashifu vitu vyetu. Mnasumbuliwa na makabila ya vyama to.
 
Baba jpm chapa kazi huu ndio wakati wako achana na wapenda maandamano wapuyange.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Jpm chapa kazi nakuaminia achana na wazee wa ujuaji wa maandamano wakafie mbele kwa mbele
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Aliye roga vichwa vya watz alishafariki.
Kwa fikra na chuki hii nadiriki kusema ili kuiongoza tz usiwasikilize unaoongoza wanasema nini, wewe fanya tu ipo siku watakushukuru kama ambavyo eti sasa wanamuona jk mzuri wakati walimpona kwa miaka yote 10.
Nahisi jirani zetu wanatushangaa kwa kitojipenda.
Unajua kinachowafanya viongozi washambuliwe ni chuki za watu dhidi ya chama tawala.Kama kusingekuwa na historia mbaya kati ya raia wengi na chama haya yote yasingekuwepo.Hata J P Ma asingefikiria kuomba msaada wa malaika kuja kuzipoteza JF,fb,twitter,instagram nk.
 
lini tutafikilia kwa ubongo....dah yan kuna watu wanakela sana!!!!!hiv kulala njaa na kula wali bila mboga unashindwaje kujua tofatut yake na kuipongeza serikal yako!!!!tueke uchama pembeni tujenge taifa
 
Ndege za mapangaboi zimeletwa ili kuwahudumia wananchi wanyonge na masikini wa kitaa, wacheni ziwahudumie walalahoi na wadanganyika.
Kuna mpango na mchakato kwa kila mkoa kupatiwa ndege 2 za mapangaboi. Siri-kali hii ina fedha za kutosha, kaeni mkao wa kutumbuliwa tu. Hapana kazi tu.
Acheni kututumia wanyonge kama kisingizio
Uncle wanasema zimeletwa kufanya biashara ww unasema zimeletwa kuwasaidia wana nchi wanyonge,wakat hata bei haujui
 
Naomba kuuliza, hizo ndege huku kwetu kusini tunakozalisha gesi asili zitakuwa zinafika? Maana pamoja na kwamba gesi inachimbwa huku kwetu lakini tunaisikia kwenye bomba tu ikipita kuja kuDaslaam.
 
Kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita Nchi hii haikuwa na ndege zake, zilikuwa za kukodi.Hizi za sasa ni ndege za taifa na zimenunuliwa ndani ya miezi michache ya awamu hii mpya.Kwamba miaka 20 tulishindwa kuwa na zetu, ndani ya miezi mitano tumekuwa nazo! Huoni kama ni mafanikio makubwa? kwa nini bado mna akili za hovyohovyo? Ninyi ni jamii ya watu walio zaliwa kinyume na maumbile ya binadamu!!KUPINGA YALIYOMEMA NI DALILI ZA WAZI ZA UZAO WA MAKALIONI
 
Aliye roga vichwa vya watz alishafariki.
Kwa fikra na chuki hii nadiriki kusema ili kuiongoza tz usiwasikilize unaoongoza wanasema nini, wewe fanya tu ipo siku watakushukuru kama ambavyo eti sasa wanamuona jk mzuri wakati walimpona kwa miaka yote 10.
Nahisi jirani zetu wanatushangaa kwa kitojipenda.
Watu wapo conscious bab
Hatutakagi ujinga ujinga cc
 
Mpeni President a chance to do his work. Na tusikosoe sana ni aibu hata kwa mataifa jirani.

Kodi yetu ndio imetumika kununua hizo ndege sio hayo mabasi. Tujifunze kujipenda na kujiheshimu.
 
Back
Top Bottom