Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Mtoa mada sasa si umwambie Yule mnayemwita Rais wenu wa mioyo naye anunue hizo mzitakazo. Rais wa nchi keshanunua hizo na ataendelea nunua vimbeni mpaka mpasuke kwa wivu wenu usio na kikomo. Nashauri sasa mwambieni Rais wenu naye anunue
 
Ndege ni ndege tuu hata iwe ya Jeshi uwezi fananisha na basi hata zile Greyhound five star bus huwezi fananisha na bus...basi dereva akifunga breki ghafla unaanza kuangalia mbele kuna nini...
Hata ndege wakati wa kugusa ardhi hua rubani anafunga breki kali sana kupunguza speed ile iliyokua nayo angani.
 
Mkuu ndege ni hatari hapo kwetu na wengi tumeanza kuzipanda umri ushatembea ndio maana kila mtu anaongea lake..,wakati wa kutua na kupaa si kila abiria anakuwa attention na anaelewa kwa nini imefanyika hivyo labda usiwe msafiri wa basi au ndege ndio unaweza kuongea kufananisha hivyo vitu..,
 
Ha ha ha, endelea kupoteza muda wako kushindana na Magufuli.
Ha haa haaa, khe kheeeeeeee. Sikujua kuwa wewe ndio Magufuli(makufuli?).
Wewe baada ya hapana kazi tu, umejipachika na Magonjwa?

Mgonjwa wa Magonjwa ,rudi kijijini ukalime kwa meno, jf unapoteza muda wako bure, bure kabisa.

Mapangaboi mbele kwa mbele, kata anga, kata mbuga, mapangaboi mbele kwa mbeleeee.

Mimi namuombea Magu awatumbue wadanganyika wote.
Mgonjwa itikia, ameeen.
😀😀😀😉
 
Mwambieni Mamvi anunue AIRBUS kama ya British Airways..
 
Ha haa haaa, khe kheeeeeeee. Sikujua kuwa wewe ndio Magufuli(makufuli?).
Wewe baada ya hapana kazi tu, umejipachika na Magonjwa?

Mgonjwa wa Magonjwa ,rudi kijijini ukalime kwa meno, jf unapoteza muda wako bure, bure kabisa.

Mapangaboi mbele kwa mbele, kata anga, kata mbuga, mapangaboi mbele kwa mbeleeee.

Mimi namuombea Magu awatumbue wadanganyika wote.
Mgonjwa itikia, ameeen.
😀😀😀😉
Upuuzi mtupu.
 
Upuuzi mtupu.
Umekiri sasa kwamba wewe una Magonjwa. Enenda ile ya Mirembe wakusaidie.

Khee kheeeee. Pole dugu, kimbilia huko watakusaidia. Mukulu amepeleka vifaa vipya kule kusaidia matibabu ya Wagonjwa wa Magonjwa kama yako.
 
Upumbavu ni kwamba mtoa mada hajui kwamba picha za lux zipo edited and hizo AIR TANZANIA WAGON bado hazijawekwa vitu comfortable items ndani na hta hyo picha haijawa edited
Na wewe chukua iyo ya bombadia uiedit. So wamaanisha itarudishwa canada ndyo waweke ivyo vitu confortable?

Ila all in all nashukuru kwa kukubali kuwa sio confy.
 
hebu mtoa maada tuweke na picha ya fast jet na precision za route za ndani stil bado Zitakuwa azfk hayo mabasi xo tuacheni dhihaka tupende vyetu
1475404262061.jpg
 
Back
Top Bottom