Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
Tatizo Wewe Huelewi unachofanya Mpka Ulichopost maana huwezi Compare basi na ndege..alaf Picha zako za Kucompare zenyewe Hazijalingana Kabisa Lastly ndege Ile mtu unapanda kwa Lisaa limoja na Nusu ulitaka wakuekee tv au?!

Kama vipi Omba wabadilishe shabiby iwe ndege sasa!!


Kama vipi Omba wabadilishe shabiby iwe ndege sasa!!