MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 182
Mzee Phillemon
Mbona wengine sisi hatujaoa na unaanza kututamanisha mapema hivi?
Unasubiri nini? Oa bwana, unasubiri muungano, shauri yako!!
Mzee Phillemon
Mbona wengine sisi hatujaoa na unaanza kututamanisha mapema hivi?
Kweli akutukanae hachagui tusiHivi hawa Wangazija wanaifahamu CCM kisawasawa? Mimi nadhani kabla ya viongozi wao kufanya hivyo waend Visiwani (Zbr na Pemba) wakawaulize wananchi wa kawaida kama wamefaidika nini na Muungano.
Visiwa hivyo vimenasa katika historia -- hali ngumu sana ya maisha, mabasi ya mninga, wanaume wazima wanajifunga misuri ya khanga na mambo mengine ya ovyo ovyo tu. Ni viongozi wao tu ndiyo angalau wanaishi ktk pepo.
Wananchi itapaswa kama huu muungano utakuja tuulizwe, yasije kuwa yale ya Zanziba tulipoungana kwa maamuzi ya viongozi. Kabla hatujawekana sawa na Zanziba hakuna haja kukimbilia kwa wacomoro.
Wananchi itapaswa kama huu muungano utakuja tuulizwe, yasije kuwa yale ya Zanziba tulipoungana kwa maamuzi ya viongozi. Kabla hatujawekana sawa na Zanziba hakuna haja kukimbilia kwa wacomoro.
Sasa Muungano wa Comoro wakitaka wapige kura ya maoni na tuwaambie hadi asilimia 90 ya wapiga kura wakubali! Zanzibar sasa watajisikia vibaya tukiungana na Comoro.
laiti mgejua yanayoendelea pale Mgogoni mngesema alah kumbeeee ndo maaana...
anyway jamani nimejizuia wee nikashindwa mie ninakiri ni mbovu mbovu sana kwa hao ma binti wa Kingazija
unlike mabinti wakiZenji..
Kwanza wazuri,pili wanajua kutunza wanaume zao, tatu wajua kupika ,nne wanajua mambo,tano wasomi na wanapenda kujiendeleza kielimu,sita elimu ya dini tena ndo nyumbani kwake, saba Kifaransa ndio umemaliza, nane,zao hawana wivu hata kidogo tisa wanapenda maendeleo na kumi wale ni AHLUL BAIT sasa nadhani tungepelkwa kwenda kufanya scouting na research walau ya mwaka mzima kabla hiyo kura ya maoni haijapigwa
mnaonaje?
jamani mimi kwenye hili niko serious kama mko tayari semeni mimi nitaorganise kijitripu na hizo tiketi za kifisadi za ATC kama bado zipo
Wakuu wanayotamani watu wa comoro no wengi wanatutamani lakini basi wanashindwa...kila mtu anataka muungano na tanzania,hata hawa wapwa zetu hapo unguja wanajisemea tu...lakini wote wanaopiga kelele wanazipigia wakiwa star light au oysterbay...ningewaelewa sana kama wangesusa na kuamua kupiga kelele wakiwa chakwani!
..watanzania wenzangu nyerere aliliandaa taifa letu kuwa super power ,alijuwa utajiri wa rasilimali tunao..akaulinda na akaamua kwanza ajenge utajiri wa roho....watanzania ni matajiri wa roho...tunafurahi pamoja katika umasikini wetu [watoto wa temeke wanasema kugawana umasikini]...kwani ukiwa uswahilini wakipika wanaombana chumvi na chakula kikiiva wanabadilishana mboga....jirani analeta maharage ,wewe unampa kisonzo cha kisamvu,yule analeta papa ,wewe unapeleka sangara.....hiyo ndio falsafa ya kugawana umaskini.....maskini anakula mboga saba meza moja wakati yeye alipika mboga moja tu!!!...upendo uloje watanzania!!
Ndio mwalimu alitulea hivyo ndio maana tulichanga hadi nguo zetu za ndani na zaidi damu kuchangia ukombozi kusini........!!!matajiri walio karibu yetu ambao leo karibu hali zetu zinalingana pamoja na kuwa walikuwa mbele yetu saana ....wao hawakuchangia lakini leo wote tupo!!!
Tanzania lazima iwe super power kwani baada ya mwalimu kumaliza ground work ..tunamuomba mungu tumpate joshua ....kwani mwalimu amekufa kabla hatujafika nchi ya ahadi,...Joshua hatujampata .....bado!!!...akipatikana tukijenga uwezo mkubwa wa kiuchumi ......utajiri wa mali na fedha ...ukichnganya nautajiri wa roho....sioni nchi ya kuzuia influence yetu ...hasa kwenye mataifa ya jirani ambako makaburi ya askari wetu ,damu na michango yetu ipo....!!..kikwete asikate tamaa anao uwezo wa kuwa joshua wetu akitaka na akiamua kuwa serious!!!!..
damu za ndugu zetu na michango yetu mikubwa ipo.........Uganda,zimbabwe,congo,namibia,angola,afrika ya kusini,msumbiji,re union,comoro,...etc.!!!
Tuwaandae watoto wetu kufika pale tunapotaka!!!..tutaweza..tu kama tutatokomeza ufisadi..na tamaa za wachache wanaotaka kula matunda kabla hayajaiva........mwalimu angeamua kupopoa maembe....nani angejuwa????

Pamoja na matatizo madogo2 Muungano na ndugu zetu wa visiwani ...Faida Comoro watakayoitapa ni kuwa Politically Stable na hii threat ya mapinduzi na visiwa vingine kujitenga mara kwa mara itaisha!
Wacha Hizo wewe Kambarage kaondoka na ujamaa hii inaonesha kuwa siasa zake zilikuwa ni vitisho leo angalia Viongozi hao walioachiwa baada ya yeye kuondoka ulimwenguni nini kimekuwa inamaa amefeli Nyerere katika siasa zake mbovu kama walivyofeli kina urusi yakale yashapita waliopo madarakani ndio wanaotumia mali ya nchi wewe utakuwa unahubiri za nyerere na mambo ya ujamaa utajiri wanautumia hao walio madarakani inafika Viongozi wanaleta Magari kwa ndege hapa nchini hiyo sikufuru kitu gani wewe binafsi kijijini kwenu inawezekana maisha wanayoishi ni ya ndoto za ali nacha amka wacha itikadi hizo mbovu zimeshapitwa na wakati nchihii si ya ujamaa tena Nyerere alikufa na Ujamaaa wake sasa kuna ujamaa jina tu ili kuwafurahisha watu kama wewe wenye kuamini itikadi za kambarage na siasa za ujamaa
JF,
Raisi wa Comoro anatamani siku moja Kuwa na Muungano na Mainland kama ule wa Zanzibar! Pamoja na matatizo madogo2 Muungano na ndugu zetu wa visiwani kwa sasa je kuna haja ya Tanzania kufikiria jambo hili?
Faida Comoro watakayoitapa ni kuwa Politically Stable na hii threat ya mapinduzi na visiwa vingine kujitenga mara kwa mara itaisha! Faida kwa Tz zaidi ni kisiasa kwani hawa ni ndugu zetu na kama kuna shida itabidi tu tukawasaidie!
Tayari Exim Bank wamefungua tawi Moroni na Kiswahili kimeanza kufundishwa Chuo Kikuu cha Comoro! Pia kuna biashara kubwa tu kati yetu kwa sasa!
Komoro sii mwanachama wa SADC wala EAC kwa sasa tofauti na visiwa vingine Madagaska, Mauritius na Ushelisheli ambapo ni wanachama wa SADC!
Je wakuu mnaonaje?
Source: HabariLeo | Kikwete awaonya wanasiasa Comoro
Nashauri ktk suala la maslahi ya Taifa tusimame kama taifa moja mambo ya siasa ni masuala yetu ya ndani na ni jukumu letu kuyaweka sawa.Zak Malang
Hivi hawa Wangazija wanaifahamu CCM kisawasawa? Mimi nadhani kabla ya viongozi wao kufanya hivyo waend Visiwani (Zbr na Pemba) wakawaulize wananchi wa kawaida kama wamefaidika nini na Muungano.