Come on Divas give us a break !

Come on Divas give us a break !

OOT: Nimemzimikia boss wangu sijui nifanyeje? nipeni muongozo.

Hiyo kweli ni shida........hata mimi ilishawahi nitokea lakini nikawaza mrejesho........itakavyokuwa baadae........nikaona isiwe tabu.......sasa hivi ni best boss ever..........
 
hivi unaaanzaje kuomba ela ya simu???

Kwanza tuanze na vocha........Kwani vocha sh ngapi........?..........mi nadhani tuanzie kuomba Mende na kuendelea..........plots.......charter company........etc.......
 
Hiyo kweli ni shida........hata mimi ilishawahi nitokea lakini nikawaza mrejesho........itakavyokuwa baadae........nikaona isiwe tabu.......sasa hivi ni best boss ever..........

baada ya kumpa au kushinda vishawishi???
 
Kwanza tuanze na vocha........Kwani vocha sh ngapi........?..........mi nadhani tuanzie kuomba Mende na kuendelea..........plots.......charter company........etc.......

na hizi unakuja na plan ambayo mtu akiisoma au kukusikiliza anakuwa impressed anaona hapa hata nikisaidia in a long run ni beneficial kwako/kwake au kwa wote anatoa kama anazo...sio unakuja kuomba hela sijui simu imeanguka kwenye karo la maji machafu mara nataka ipad
 
kumbe mpo hata humu jf....rare species msioomba omba maanake siku hizi usipokuwa ombaomba wewe sio mwanamke.
siombi ela ya kununua chochote hata nikiwa mkeo

labda uone huo umuhimu wa kunipa...,
 
Hiyo kweli ni shida........hata mimi ilishawahi nitokea lakini nikawaza mrejesho........itakavyokuwa baadae........nikaona isiwe tabu.......sasa hivi ni best boss ever..........

Yaani ni shida. nimemdondokea mno.
 
Kwanza tuanze na vocha........Kwani vocha sh ngapi........?..........mi nadhani tuanzie kuomba Mende na kuendelea..........plots.......charter company........etc.......

siez omba vocha maisha na sijawahi
 
Kwanza tuanze na vocha........Kwani vocha sh ngapi........?..........mi nadhani tuanzie kuomba Mende na kuendelea..........plots.......charter company........etc.......

kwa nini uombe kwani haoni huo umuhim
 
Ila wamezidi, I met a hot diva few weeks ago (banker) when I wiring some transaction! It was like give me your number I will call you when your transaction go through! She called the next morning hey your transfer was successful! Before I realize she started calling me bb, honey! The real shocker came when she dropped a bomb! Bby nina shida lakini naona aibu kukuambia (then kile kikaragosi kimejifunika uso)
Mwanaume I was like what is it bb.....? Nina shida na laki 8 naomba msaada wako!!!! I just went cold to the core of my stomach!!!! It is not fair!

Ukimwangalia ! She is hooot! Usafiri wa bomba! Yuko nadhifu!! Umbo namba 8!!! Lazima tu utanasa !! Thats why I say, its not fair!!!! They know our weakness!!
 
Mwanaume I was like what is it bb.....? Nina shida na laki 8 naomba msaada wako!!!! I just went cold to the core of my stomach!!!! It is not fair!!

dude u just wired USD 100,000......what is tzs 800,000??? karibu duniani ndio wanawake hao au we mgeni nao kama mimi?
 
Ukimwangalia ! She is hooot! Usafiri wa bomba! Yuko nadhifu!! Umbo namba 8!!! Lazima tu utanasa !! Thats why I say, its not fair!!!! They know our weakness!!

Oh hell to the muthafunkin naw!

I don't care how ravishingly beautiful the woman is.

When it comes to my money I don't play.

My willpower is off the meter.
 
Ila wamezidi, I met a hot diva few weeks ago (banker) when I wiring some transaction! It was like give me your number I will call you when your transaction go through! She called the next morning hey your transfer was successful! Before I realize she started calling me bb, honey! The real shocker came when she dropped a bomb! Bby nina shida lakini naona aibu kukuambia (then kile kikaragosi kimejifunika uso)
Mwanaume I was like what is it bb.....? Nina shida na laki 8 naomba msaada wako!!!! I just went cold to the core of my stomach!!!! It is not fair!

Ukimwangalia ! She is hooot! Usafiri wa bomba! Yuko nadhifu!! Umbo namba 8!!! Lazima tu utanasa !! Thats why I say, its not fair!!!! They know our weakness!!

ukampa nini
 
Back
Top Bottom