leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,714
Miaka michache nyuma,Wanaume walikuwa wanalalamika sana vibomu vya kuombwa vocha,vocha ilikuwa gharama inayokera sana na kuboa maana kila siku iendayo kwa Mungu ni vocha..
Kumbe bora ingebakia Vocha,maana ina
afadhali...Siku hizi,unapigwa mzinga hadi Simu yako inazimika kwanza maana haiamini kilichoandikwa..''Baby naomba laki 8 ninunue iPhone simu yangu imeibiwa..dah,laki 8 ni mshahara wa Walinzi 5 wa KK security wenye wake na watoto!Mama zao wenyewe wanaisikia
tu iPhone wanajua ni Aina mpya ya Kitenge cha Wax...Balaa,hatuhemi hatujengi,Love has become Article of Oenstation,kui-afford ni ngumu,come on
DIVAS give us a break!
Wa hivyo wanamaanisha na wewe unaruhusiwa kuomba kitu kikubwa utakacho kutoka kwake!