When you call a lower class girl DIVA
Ni sawa na Nassib Abdul anapojiita DANGOTE
kwii kwiiii, Dangote his foot
When you call a lower class girl DIVA
Ni sawa na Nassib Abdul anapojiita DANGOTE
Aisee........sasa itakuwaje........?
Hahaha ukitaka break,mwingine anakanyaga accelerator
Inabidi ujipinde tu.
wa aina hii ya kuombaomba kweli mi ni mgeni nao.
Umecopy Kwa MSANII SONGA unaleta huku hebu kuwa mbunifu unapotoa threads siyo unasample sehemu then unaleta huku
Aisee........sasa itakuwaje........?
wa aina hii ya kuombaomba kweli mi ni mgeni nao.
Karibu sikukuu mkuu.........nimekukosa leo.......
Kama huwezi kuhudumia wafuate wapigwa free p!!!! wako wengi sanaaaaaa.
if you cant finance it just sit so I can spot the guy behind you
hahaha uliowazoea wewe ni waina gani
wa aina hii ya kuombaomba kweli mi ni mgeni nao.
hivi unaaanzaje kuomba ela ya simu???
Ni vyema tu ukaendelea na wasioomba ili upate amani ya moyo wako