Come on Divas give us a break !

Come on Divas give us a break !

hahaha...nimekupenda bure mamito safi sana umeongea fact...mwanaume huna uwezo hata wa kunipa elfu 50 mi wa kazi gani afu unataka papuchi...kudadadeki hii papuchi itakuwa na kazi moja tu ya mie kukojoa km una mkono mfupi..mjini pesa mapenz kwa mama yako

una uza??
 
Hahahahahah lol!!!! kwi kwi kwi kwi kwi "Baby nimekuletea mapera na ubuyu leo" Dah!!! watu mna maneno humu 🙂🙂

Siwezi kukuomba kitu ambacho sina uwezo nacho.
Na wewe kama waona 800k ni issue achana nae tafuta wa kuwahonga mapera.
Vaa kiatu size yako.
 
Tafuta wa saizi yako mambo ya kuhonga laki 8 waachie wenye uwezo huo
 
Sasa itakuaje! ! Bora amuache tu fulstop
 
Mkuu vaa kiatu saizi yako halafu kingine hao madem hakuna radha tofauti sana ya hao watu pengine uwe mshamba tu wa mademu tupa kule wapo wa kuhonga kuanzia kilo kushuka chini...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
yap..a au b inaweza kuwa majibu..no free cup of tea...mjini cha bure salamu tu

wanawake wenye njaa utawajua tu..mwanaume ndio wakumpa maisha bila hivyo.........!! dhiki mbaya sana.
 
Ila wamezidi, I met a hot diva few weeks ago (banker) when I wiring some transaction! It was like give me your number I will call you when your transaction go through! She called the next morning hey your transfer was successful! Before I realize she started calling me bb, honey! The real shocker came when she dropped a bomb! Bby nina shida lakini naona aibu kukuambia (then kile kikaragosi kimejifunika uso)
Mwanaume I was like what is it bb.....? Nina shida na laki 8 naomba msaada wako!!!! I just went cold to the core of my stomach!!!! It is not fair!

Ukimwangalia ! She is hooot! Usafiri wa bomba! Yuko nadhifu!! Umbo namba 8!!! Lazima tu utanasa !! Thats why I say, its not fair!!!! They know our weakness!!

Si aliona transaction, na mimi naomba laki 8🙈🙈🙈🙈🙈
 
Nnachojua wanawake ni sawa na tumbo. Hawana shukrani. Wala usijidanganye et nikimnunulia iphone ya kilo nane ndio atakuwa faithful kwako. Hapa mwenyewe niko baa napunguza stress.
Nilitumiwa sms
"Baby nataka tule wote x mass ntumie nauli, nkatuma 100,000/-. Mpaka sasa hata simu zangu hazipokelew wala nini."
this bichz aint loyal

Jikaze bana, hujazoea tu
 
hahaha...nimekupenda bure mamito safi sana umeongea fact...mwanaume huna uwezo hata wa kunipa elfu 50 mi wa kazi gani afu unataka papuchi...kudadadeki hii papuchi itakuwa na kazi moja tu ya mie kukojoa km una mkono mfupi..mjini pesa mapenz kwa mama yako

Hahahaa, mwee hatarii
 
wanawake wenye njaa utawajua tu..mwanaume ndio wakumpa maisha bila hivyo.........!! dhiki mbaya sana.

take it whatever you like..wanaume hawa they are good for nothing mtu unampenda for real unampelekea papuchi yako kila wiki anasugua wee lakini mambo atakayokuja kukufanyia utashangaa..sasa imekaa hvi we si unanitumia na mie nakutumia vilevile yan pasu kwa pasu yan nichujuke bure mtoto wa watu kwa m.b.o.o. yako isiyo na shukrani wakat mwnngne hata hajagusa tu tayari anajua kuhudumia...sikupi bure ng‘o hizi sio enzi za ujamaa na hii si biashara ya kijiji.
 
Siwezi kukuomba kitu ambacho sina uwezo nacho.
Na wewe kama waona 800k ni issue achana nae tafuta wa kuwahonga mapera.
Vaa kiatu size yako.

Hakika.....we umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom