Clouds TV acheni kumtetea Makonda ni mkosaji

Clouds TV acheni kumtetea Makonda ni mkosaji

Kwanza makonda ni mtu mdogo sana kwenye siasa ya nchi hii.. Pili hajitambui na pia mimi Kama kijana sijui nimuweke kundi gani.. He is a bush politician
 
Kazi ya Warioba ilishakwisha zamani sana mara baada ya kukabidhi rasimu ya pili ya katiba swali linakuja Warioba kazi anayoanya kapewa na nani? Je anatumia gharama za nani kuendesha hizo shughuli zake?

Je tumtambue yeye kama mpinzani wa gvt inayomlisha na kumlea ? Maana hainingii akilini mtu unayelelewa na gvt kama waziri mkuu mstafu anafanya kampeni ya kutaka kuiangusha gvt yako. je anayempa kiburi hicho ni nani na analitakia nini taifa hili ?

Kazi aliyopewa haijaisha kwani kazi aliyofanya imechakachuliwa na hataki aje kubeba Lawama baadae ndiyo Maana kaamua kuwajulisha Watanzania Kuwa ile kazi waliyofanya Tume yake sasa imechakachuliwa na katiba ijayo ni ya kubambikiwa tu, wala si mpinzani wa Serikali isipikuwa kasimama kwenye Ukweli tu, kumbuka Ukweli huwa unauma ndiyo Maana Ukweli wa Mzee Warioba umegeuka Kuwa sumu kwa wale walioichakachua katiba.
 
Kwanza makonda ni mtu mdogo sana kwenye siasa ya nchi hii.. Pili hajitambui na pia mimi Kama kijana sijui nimuweke kundi gani.. He is a bush politician

Muweke kwenye kundi Malimbukeni na wapenda sifa na Dalali wa Siasa za kichochezi.
 
Hata mimi ni kada lakini cloud tv haina deal, lkn hata hivyo haina mvuto hiyo achaneni nayo maneno ITV bhana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom