Sithani kama katika umri ule, hadhi na vyeo aliviyowahi kushika, Mzee Warioba atakuwa njaa. Wenye njaa ni sisi vijana tunaotumika vibaya bila kujitambua, tukitarajia kulipwa fadhila za U-DC. Ina maana wale vijana amabo ni ngao ya taifa waliona ile ndo ilikuwa njia pekee ya kufikisha ujumbe, kwa nini hawakusubiri mada ziwasilishwe halafu wazipangue kwa hoja, kitendo cha kufanya fujo kima maana kuna jambo linalazimishwa, kwa nini wasiwe na mioyo ya kuvumiliana.