Clouds TV acheni kumtetea Makonda ni mkosaji

Clouds TV acheni kumtetea Makonda ni mkosaji

KILLANEKELI

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
295
Reaction score
123
Nimeshtushwa sana na watangazaji wa Clauds TV asubuhi, wameonyesha dhahiri kumtetea Makonda, jamani ata kama ni ukada sometimes muwe mnauweka pembeni hasa kwenye mambo ambayo yako dhahili, kwa mtu mwenye akili ata awe kada hawezi tetea jambo lile.
 
Tv clouds wamesema wanachokijua, huo udhahiri wa kilichotokea si ukiweke wewe tuone badala ya kumtetea mzee Waryoba aliyepagawishwa na watu wasioitakia mema Tanzania.
 
Nimeshtushwa sana na watangazaji wa Clauds TV asubuhi, wameonyesha dhahiri kumtetea Makonda, jamani ata kama ni ukada sometimes muwe mnauweka pembeni hasa kwenye mambo ambayo yako dhahili, kwa mtu mwenye akili ata awe kada hawezi tetea jambo lile.

nami nimewashangaa clouds tv...waache ukada kwani wanadharaulika sana kwani hata uchambuzi hauleweki, ni upuuzi tu, wanajisifu eti NI ZAIDI YA DARASA
 
thatha

Hivi nyinyi akili zenu zikoje? Nyinyi ambao hamna njaa ndo mnataka mtanzania asiongee anachokifikiri yeye aibu sana na mnalazimisha uvujaji wa damu nchi hii kwa manufaa ya wachache hebu kama nyinyi mnaogopa midaharo acheni watu watoe elimu kwa umm.

Sio kushinikiza vitu ambavyo havizungumziki kuna television ya taifa toka mchakato umeanza cjawahi ona wakitoa elimu yeyote kuhusu katiba angalia Kenya vyombo vya habar vilikua vinazungumzia katiba kweli huu ndo mwisho wa CCM
 
Last edited by a moderator:
Mm na familia yangu marufuku kutaza tv ambayo haijitambui!
Mimi sijawahi angalia ila si kwaajili ya kisiasa bali mda ila kama wana swag kama redio yao lazima vijana wataangalia tuu,tena wakiweka na vipindi vya tamthilia za ukweli masister du watatizama tu,waweke na bongomovies kwa mbali wamama wataangalia tu.
 
Hii tv yao ccm kuwatetea achana na wafu hao
 
Warioba hawezi kuwa na njaa kamwe. Kama Waziri Mkuu mstaafu (sio aliyejiuzulu kwa kashfa) ana uhakika wa kulishwa kifahari yeye na familia yake (na serikali) mpaka atakapokufa. Njaa itoke wapi hapo???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom