Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

chai ya rangi

Senior Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
130
Reaction score
404
Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo,

Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri kwa reasoning ya hali ya juu sana

Ahsante mkuu P h a r a o h niliona uzi wako nikaenda kuijaribu
 
Chatgpt anatabia ya kukupamba na kuangalia chats za nyuma ili akujibu, mfano wewe ni m Tz muulize je ungekua binadamu ungetamani kuishi nchi gani ? lazima kwenye majibu yake Tz ihusike

ila Chatgtp ni AI kali sana na imetufungulia ukurasa wa AI ni kama kulinganisha Nokia na Samsung au Motorola na Itel au Tecno

Chatgpt is a Legend ila watu kama Claude wanakuja kwa moto mkubwa
 
Back
Top Bottom