CIA walimuua Bob Marley?

Duh umenifanya nipate amani saana jioni hii ndugu
 
Mpwa mbona hawamuui elton john???nauliza tena
 
Mh sawa bwana,nasisi tis wako vizuri,ila kuna mwenye hadith ya jinsi hugo chaves alivyo tegewa mpaka ku uawa na hao jamaa??
 
hahahah jamaniiii!! humu kuna vibwanga...
 
alikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
Bob kwenye muziki wake alikuwa anawafumbua macho watu wengi wa dunia ya tatu kiasi kwamba baadhi walishaanza kustuka. Nyimbo zake nyingi nilikuwa zinapinga ubeberu, ubepari na uonevu. Kumbuka miaka ya 80 ndiyo mabeberu walikuwa wanajaribu kusambaza itikadi zao. Kaa chini usome vizuri na kwa umakini wimbo wa Natural Mystics (ni kama alijua wanamuwinda. Yeye alijua wazungu hawapendi anavyosema ukweli) japo nyingi tu nilikuwa zina create awareness. Nyimbo nyingi zilikuwa zinawasema vibaya mabeberi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…