Nataka kusoma Masters of Human Resource Management, je inawezekana kumaliza ndani ya mwaka mmoja?

HrConsultancy

Member
Oct 11, 2021
11
6
Ndugu zangu habari za muda huu mimi ni mhitimu wa Shahada ya Rasilimali watu (BHRM) kwa sasa nahitaji kujiendeleza katika Ngazi ya Shahada ya Uzamili (Masters in HRM) chuo kikuu huria Tanzania kwa mwaka wa Masomo 2023/2024.

Naomba kwa yoyote ambae aliwahi kusoma akafanikiwa kuhitimu kwa level hiyo anijuze namna nzuri ambayo itanisaidia kuweza kusoma Shahada hii na kumaliza ndani ya muda mfupi ikiwezekana ndani ya mwaka Mmoja maana nimeona kwa chuo hiki inawezekana.

Ahsanteni kwa maoni na Ushauri nitakaopata kutoka kwenu.
 
Tafuta regional center ya karibu nawe ukashauriane nao.
 
Ndugu zangu habari za muda huu mimi ni mhitimu wa Shahada ya Rasilimali watu (BHRM) kwa sasa nahitaji kujiendeleza katika Ngazi ya Shahada ya Uzamili (Masters in HRM) chuo kikuu huria Tanzania kwa mwaka wa Masomo 2023/2024.

Naomba kwa yoyote ambae aliwahi kusoma akafanikiwa kuhitimu kwa level hiyo anijuze namna nzuri ambayo itanisaidia kuweza kusoma Shahada hii na kumaliza ndani ya muda mfupi ikiwezekana ndani ya mwaka Mmoja maana nimeona kwa chuo hiki inawezekana.

Ahsanteni kwa maoni na Ushauri nitakaopata kutoka kwenu.

Degree ya kwanza ulisoma kozi gani?
 
Kwa Vyuo vyetu vingi supavaisa atakuambia haraka haraka haina baraka, subira yavuta heri lazima upigwe pini
 
Mwaka moja darasani mwaka moja research jiandae hvy kufanya vyote kwa mwaka moja ni uwongo
 
Tazama hii
Screenshot_20231111-130818.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom