Chuo cha UDOM ni majanga

Chuo cha UDOM ni majanga

Yaani wewe mtoa mada unadai umeseoma UDSM ila bado una "mishe zako" zinazokupitisha UDOM chuo ambacho na ww unaunga mkono ni "cha kata"....mtu "intellectual" kama wewe mwenye "degree ya UDBS" ila mwenye ndugu zako wanaosoma UDOM...really? Unaandika tu kiujumla kwamba Chuo kimekuwa majanga kwa vile tu mtu mmoja kaulizwa kuhusu uvaaji wake....hiyo inafanya chuo kuwa majanga? Kwa nininusingeandika tu labda kuna mtu kadhalilishwa (kwa mawazo yako) sehemu fulani? Unafahamu marketing, nikikwambia kwamba lengo lako ilikuwa kuchafua jina la chuo kwa ujumla utakataa? Au na sisi tuilaumu UDSM kwa kuruhusu mtu kama wewe kupata degree kwa "intellectual ability" uliyoionyesha hapa?

Cc Asprin, elimu elimu elimu!
kwahiyo uki graduate ud huruhusiwi kupita vyuo vingine na kama huoni chuo kinahusikaje hapo then umekurupukia tuu mada iliyo nje ya ability yako we nae, umeandika vtu havina a wala b hata naona uvivu kukujibu bwana kasome vitabu kuna mwenzako nimempa hint ya source huko juu mi usinipe ajira ya ualimu hapa, nikichafue au kinajichafua mwenyewe?kwahiyo ulitaka nisemeje we kwa akili yako umeelewa content au umeona udsm tuu ukapanick na uwezo wako 0 wa kufikiri
 
afu ukome kunitagia watu wa ajabu kwa my thread ushasikia wewe katagienani huko kwenye mada zenu za ngono
 
kwahiyo uki graduate ud huruhusiwi kupita vyuo vingine na kama huoni chuo kinahusikaje hapo then umekurupukia tuu mada iliyo nje ya ability yako we nae, umeandika vtu havina a wala b hata naona uvivu kukujibu bwana kasome vitabu kuna mwenzako nimempa hint ya source huko juu mi usinipe ajira ya ualimu hapa, nikichafue au kinajichafua mwenyewe?kwahiyo ulitaka nisemeje we kwa akili yako umeelewa content au umeona udsm tuu ukapanick na uwezo wako 0 wa kufikiri
Hebu jibu hoja na kaa utulie usome mada uelewe hii ni JF unaruka ruka tu unadhani wanaoluchallenge hapa hawajaenda shule? Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako
 
Suala la kumpangia mtu avae nini . Tena karne hii ni suala la kipumbavvu saana.
Waacheni watu wavae wanavyotaka.

Na asilimia kuwa ukiona mtu anahangaika na watu wa nje ujue familia yake ishamshinda.

Fanya kautafiti hata kwa waalimu. Ukiona mwalimu mnokoo anakomaa na tabia za wanafunz sana .
Nenda kwake utakuta mitoto yake inavuta bangi
 
Muhimu kufata sheria na taratibu za sehemu husika. Kama wamekataza suruali liwe kama la pepe kali ni suruali tu. Angetoa kanga kwenye mkoba au ungemuazima.
Maana anaweza kua amemaliza udom miaka ya nyuma kabla sheria hazijaanza
Exactly!!
 
Suala la kumpangia mtu avae nini . Tena karne hii ni suala la kipumbavvu saana.
Waacheni watu wavae wanavyotaka.

Na asilimia kuwa ukiona mtu anahangaika na watu wa nje ujue familia yake ishamshinda.

Fanya kautafiti hata kwa waalimu. Ukiona mwalimu mnokoo anakomaa na tabia za wanafunz sana .
Nenda kwake utakuta mitoto yake inavuta bangi
Partly I agree with you lakini kazi mojawapo ya walimu ni Ku enforce discipline mashuleni whether home kuna matatizo au la!! Vile vile kuna kitu kinaitwa dressing code lazima kuwe na watu wa Ku enforce pia

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Hebu jibu hoja na kaa utulie usome mada uelewe hii ni JF unaruka ruka tu unadhani wanaoluchallenge hapa hawajaenda shule? Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako
wewe sasa hoja yako iko wapi?mi na wewe nani ana chuki sasa wewe unachuki na mtu usiemjua?no haiwezekani ni kuwa tuu uwezo wako wa kufikiria mdogo, wanaonikosoa wapi kwani humu kuna intellectuals wote kwa unavyoona?uandishi ndio umeona akili hzo we mwenyewe hapo juu umefanya typing error nimeiona ila kwa kuwa nina akili timamu siwez kukuvaa eti kisa umekosea kutype , hao watu wana elimu gani ya kusikilizwa?na hyo marketing unayoisema unataka nikufundishe au? hoja ipi sijakujibu sasa unataka nikufundishe management? serious?
 
Partly I agree with you lakini kazi mojawapo ya walimu ni Ku enforce discipline mashuleni whether home kuna matatizo au la!! Vile vile kuna kitu kinaitwa dressing code lazima kuwe na watu wa Ku enforce pia

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
kuna mtu nimeshamjibu hilo, ile ni taasisi ya umma na inasimamia maadili ya umma ambayo hayakatazi mavazi ya aina hiyo! na kuna sheria za citizens pia zinazowalinda, yule dada angeamua kufile case ya udharilishaji au violation ya rights zake anawafunga and haitokuwa mimi nimewachafua but a very serious case to be dealt with
 
Suala la kumpangia mtu avae nini . Tena karne hii ni suala la kipumbavvu saana.
Waacheni watu wavae wanavyotaka.

Na asilimia kuwa ukiona mtu anahangaika na watu wa nje ujue familia yake ishamshinda.

Fanya kautafiti hata kwa waalimu. Ukiona mwalimu mnokoo anakomaa na tabia za wanafunz sana .
Nenda kwake utakuta mitoto yake inavuta bangi
mnoo, mimi nilishangaa sana sehemu ya kitaaluma inafanya mambo ya ajabu vile, isitoshe jaman hakuwa amevaa ovyo at all yan watu waliokuwa wanaruhusiwa kupita waliokuwa wamevaa ajabu zaidi ,mini za mipasuo hasa,ila sababu ni suruali basi huyo dada akawa victim tena kwa approachapproaching ya kidharililishaji mno!hata baadhi ya staffs pale walioona pale walimuhurumia na kukiri sio mara ya kwanza hao wadada ndio zao, sasa tusiseme kweli kama mtu unajua uchungu wa mtoto au una ndugu wanaosoma huwezi kufungia macho vitu kama hivyo, alafu hii mada ni size ya watu kama wewe sasa wanaoweza kuevaluate vitu kimtazamo wa kisomi sasa mijitu mingine inakurupukiaga mada hata kilochowasilishwa haielewi, inadhania kukosoa ni kutukana huku tunakosoa kwa faida ya wote.
 
mie nadhani huyo mdada alivaa vibaya!! kwani hao ni wajinga? hapana. na nyie mabinti vaeni kwa nidhamu mnapoenda sehemu za umma!! big up hao waliomzuia! kukaa uchi tuuuuuuuuuu!!! mweeee!!
 
ahsante. .hiyo ni imani yako siwezi kukuzuia kuamini,ila kama unamda find ways kuhakikisha hilo au nikuombee tuu siku wewe au ndugu yako ufanye kukatiza tuu pale main administration na suruali ya heshima hata kupitiliza, from there utaelewa nilichomaanisha, waliokuwa wamevaa uchi I tell u walikuwa wanapita ilimeradi tuu ni sketi. Fanya kutafiti unless wajirekebishe sababu wameshaomba msamaha kuna uwezekano wakajirekebisha labda.
 
Thanks, ila na hawa security uchwara wa magetini nao huwa wanajitutumua sana some times!!. Nimekupata
 
kuna mtu nimeshamjibu hilo, ile ni taasisi ya umma na inasimamia maadili ya umma ambayo hayakatazi mavazi ya aina hiyo! na kuna sheria za citizens pia zinazowalinda, yule dada angeamua kufile case ya udharilishaji au violation ya rights zake anawafunga and haitokuwa mimi nimewachafua but a very serious case to be dealt with
Tatizo linaanzia kwa sisi wenyewe,
Vitu vidogo sana ambavyo havina effect kubwa ila tunavifanya viwe vikubwa.
Hawa hawa viongozi wanaokomaa na mavazi ya dada zetu ila wengi wao wanaoishi masaki na iysterbay lakini ukipita pale ilipokuwa maisha ya zamani utakuta malaya kibao. Pale leaders utawakuta malaya kibao na kote huko ni karibu na makazi yao na wao wanapita na magari yao usiku kuwaangalia dada zetu makalio ila wakija kwenye magazeti na tv wanajifanya makauzu kumbe mafirauni wana nyumba ndogo wanatoa degree za chup kibao.
 
Back
Top Bottom