muke ya muyahudi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 399
- 179
Nimepita chuo cha Udom Leo nilikuwa na mishe zangu, dah nilikuta pale main administration. Scene ya ajabu sana yani mwanafunzi aliingia akiwa amevaa yale masuruali mapanaa jamani, kuna wadada pale reception walimuanzishia na ma askari juu wanamlazimisha atoke nje asihudumiwe.
Nikasema ngoja nione movie, yule dada alifanikiwa kufika mpaka anapohitaji, basi huku chini wakaitwa maaskari na watu kadhaa wakazuie asihudumiwe. Ikabidi ashushwe na escot! Inavyoonekana yule dada anajua haki zake pia alikomaa sana aachiwe apate huduma kwani alichovaa hakipo nje ya code za umma.
Aisee sijui iliishiaje ila yule dada anilimuacha nje analia kwa hasira mno! nikabidi nimpe tuu moyo ila nikasema hiki sio chuo inavyponekana hata watu wanaoajiriwa pale wengine sio professional at all.
Sababu kuna time alikuwa akiwajibu kingereza wanamuambia unajifanya msomi dah kwa hii mambo elimu ya bongo tutasubiri sanaa sikutegemea chuo kikubwa kama kile kiwe kina mambo za ajabu vile ila scene ilinigusa mno. .,nb:inawezekana sio wote ila kwa nilivyosikia sio mara ya kwanza wateja kudharilishwa pale na uongozi unalifumbia macho! Kuna shida kubwa katika sekta za elimu bongo. .Acha nisubiri kwanza ntasomea nje my second degree.