eeh watu na roho zetu aisee kaniuma sana yule dada kila nikikaa nakumbuka alivyokuwa kajiinamia anagugumia kulia nilimuhurumia mnoAma kweli wewe ni mke wa myahudi
aisee ukiwa mwanamke lazima u feel hii pinch ..umaamuma wa wafanyakazi wachache unasababisha hadha mno kwa wateja wa kike, sidhani kama wanaume wanapata harassment vile, na wanawake sijui hatupendani yan yule dada walikuwa wanapita wafanyakazi wa kiume wanamuhurumia. .wale wadada reception wakavuuJamani ukivaa "bwanga" "nchale" ukivaa modo "nchale" tufanyeje sasa??
waweke sare tuu magauni kama nuns basi ijulikane moja, manake kama mpaka mabwanga wanakataza sasa bora wawape kanzuWakiachwa UDOM wanatembea uchi....wamezuiwa UDOM wamemnyanyasa...lipi Jema.........dress code lazima iangaliwe sio kukurupuka tu ...wemngine na night dress, wengine nguo za mazoezi....big up UDOM Kama mmeanzisha hilo
Wewe pia janga lingine kwenye elimu ya nchi hii!!!nilishamalizaga ud kitambo undergraduate
nitokee hapa sitaki mazuzu kwa thread yangu mchawi mkubwa weweWewe pia janga lingine kwenye elimu ya nchi hii!!!
Mkuu una bahati sana ningejua jina lako ningelipeleka jina lako kwa Dr Mbamba sasa hivi mana ndiye Dean wetu saizi UDBS.iih hihihhhh ok I agree ur a a udbs student or unless otherwise unaambiwa majina ya has ma Dr and wewe unakurupuka tuu kuwataja hapa. .hahaha sasa anaekuambiaanakudanganya big time manake hao unaowataja ndio walikuwa hawana time kabisa na mambo za standard 2 uandishi fasihi..yan bora ungemtaja hata Minja kidogoo ningekuelewa kwa mbali
whatever kilichompeleka sio sawa kumdharilisha mtu vile katika ofisi za uma. .mada inajitosheleza ukiisoma vzuri na yoyote mwenye intellectual ability ameelewa kinachoongelea. .ref human nd citizens rights /maadili ya kazi ofisi za uma. .hvyo tuu kwa kukusaidia watz wengi hamjui haki zenu ndio maana hamuelew kinachoongelewa. .anyways swala la kuhoji uelewa wa mtu ni haki yako ya msingi kabisa baba kama una hoja zinazojitambua hojiiiTuambie kilichompeleka na kilichosababisha wambalase lasivyo nawe inabidi tuhoji uelewa wako ktk kuwasirisha maada
ooh aisee thank u xana nilikuwa nawaza the same thing! kinachotusumbua watanzania ni inferiority complex tuu!watu mnaumiaga sana kuona mtu kawa juu yako hiyo ni roho ya kichawi kwanza alafu 4 ur information. .hyo degree niliyoiandika hapo sina cha kuringia nayo hata! my dream takes me so so much far from there! actually nipo embarrassed mno kusema nina kidegree. .afu niwaringie kuna anaenijua humu? hata nikikuambia cv yangu nd hunijui huniajiri itakusaidia nin?au utaaminije? Bro mimi sio zumbukuku kama hao mazumbu huko juu wanaong'ang'ania wawe a knowledged kuwa wamenipita elimu sjui kwa miandiko yaoElimu yako haijakukomboa, fanyia kazi hiyo elimu yako na sio kuishia kujinadi mitandaoni wewe sio wa kwanza kufika hiyo level labda katika ngazi ya familia na ukoo wenu na ndio maana unashindwa kuelewa comments za wana JF eti kisa tu unadhani kuwa wewe una elimu kuliko sisi sote Tz nakutakia utekelezaji mwema
mi hata siwaelewii hahaha. .yan unambishia mtu usiemjua ..unamtambia mtu asiekujua 4 what? anyways thank u kwa ushauri ila nikuambie tuu inferiority complex ndio tatizo. .nilisema kwa marketing implication nyingne kabisa management ikipate nd dhumun ni kusaidia organisation husika ambayo inaonekana kushindwa kusikia internal voices na ku shout out a voice 4 justice of those kids who are psychologically tortured!I seriously didn't think ningefika huku manake nafundisha marketing brand sasa !thing z wahusika wameshaona and wameelewa nd one of them kani inbox ku apologise kwa lile tukio promising to sereously handle it. .All in all Jaman eeh sio kila thread lazima u comment ukiona imekuumiza. .ime ku offend au anyhow ujue haikuhusu. ..somethings are only 4 intellectuals! not everything is 4 everyone. .swala la mtu kujihisi namringia sjui nini that is really really out of my scope beyb that degree z the least I can be proud of in my cv! okViva udsm. .much respect mlimani eehh. .Hongera the Dr to be ..hahaha ngja waje wazee wa kupanick waseme unawaringishiaZILE SPIRIT TULIZOPATA UDSM BADO ZIPO NGOJA NIKAE KIMYAA MAANA SIKU CHACHE NITAKUWA MWALIMU WAO WA TUTORIAL

hahha mkuu b4 sikuamini kama ni cha kata , nina ndugu wanasoma pale pia and as much as I hate to announce it here. .nadhani upo sahihi unless wajisahihisheKile cha Kata?
We ungekuwa na hekima usingekurupuka hapa kuvamia thread ya mtu humjui kutoa uharo wako wewe ni zero tena I doubt not only ur brain ability ila nadhan una serious psychological disorders yan we ni chizi first grade nd kama huamini kapime. ..mtu timamu haibuki tuu kumu attack personally mtu asiemjua tena janaume kabisa we sio mzima wewe hata hormones zako nina wasiwasi mxiew eti nafanya kazi wapi? hi wewe mzima kweli nikuambie napofanyia ili iweje? inakuhusu nini? We vipi jamn una wadudu kichwani?Una upper ya marketing ila hekima una "F"
Sipendi sifa za kijinga hivyo nimekuzidi elimu jua hilo.
Unafanya kazi taasisi gani hiyo mwenetu.
sasa kama hauna uhakika si ungebaki neatral? una uhakika gani alikuwa kavakavaa hovyo?
Mkaribishe mnywe naye chaieeh watu na roho zetu aisee kaniuma sana yule dada kila nikikaa nakumbuka alivyokuwa kajiinamia anagugumia kulia nilimuhurumia mno