Chuo cha UDOM ni majanga

Chuo cha UDOM ni majanga

Yaani wewe mtoa mada unadai umeseoma UDSM ila bado una "mishe zako" zinazokupitisha UDOM chuo ambacho na ww unaunga mkono ni "cha kata"....mtu "intellectual" kama wewe mwenye "degree ya UDBS" ila mwenye ndugu zako wanaosoma UDOM...really? Unaandika tu kiujumla kwamba Chuo kimekuwa majanga kwa vile tu mtu mmoja kaulizwa kuhusu uvaaji wake....hiyo inafanya chuo kuwa majanga? Kwa nininusingeandika tu labda kuna mtu kadhalilishwa (kwa mawazo yako) sehemu fulani? Unafahamu marketing, nikikwambia kwamba lengo lako ilikuwa kuchafua jina la chuo kwa ujumla utakataa? Au na sisi tuilaumu UDSM kwa kuruhusu mtu kama wewe kupata degree kwa "intellectual ability" uliyoionyesha hapa?

Cc Asprin, elimu elimu elimu!
Na mtu mwenyewe aliyeandika huo "utafiti utumbo" anaitwa muke ya muyahudi

Kwake yeye mtu kuvaa nguo pana, na "akadhalilishwa" kwa tafsiri yake yeye, inatosha kabisa kukifanya chuo kiwe majanga...

Elimu, elimu, elimu.
 
Hahahaahah another comment from u zumbukuku. .sasa wewe kwa tafsiri yako huoni tatizo hapo hvi we mzee mzima wewe? why una4ce kujadili mada zilizo nje ya iq yako sasa? cheki linavyoongea pumba we utakuwa psych sio bure
 
Kwakweli hata mimi nashangaa sana.... au ndio wale wanaosoma University Computing Centre??
wewe kanywe aspirin ulalee. .UCC wana typing errors tangu lini?content imekushinda. .point umekosa umekazania kukesha kwa my thread tangu juzi hupumui upo tuu hapa we mwanamke nini? hata ningekuwa UCC soo?unatakaje? umekazania kutoa mapovu as if mie ndie niliekutuma uishie la pili mxiewww sasa unafanyaje kwenye thread isiyo na mantiki kwa akili yako maybe? kinachokushindisha hapa ninini au stress zimekuzidia u woman point za vyupi zimekuishia. .miandiko imekuishia umekuja unajitutumua kujadili mada mwishoe unatapika utumbo. .lol thank u the app 4 fakeid's aisee lasivyo mabongolala tungewajua wengi humu
 
Eti huyu ndio graduate wa UDSM... Over my dead body...

Lazima chupi ilivuliwa hapa...

Elimu, elimu, elimu!!!
 
Na mtu mwenyewe aliyeandika huo "utafiti utumbo" anaitwa muke ya muyahudi

Kwake yeye mtu kuvaa nguo pana, na "akadhalilishwa" kwa tafsiri yake yeye, inatosha kabisa kukifanya chuo kiwe majanga...

Elimu, elimu, elimu.
kumbe hata jina tuu nalo limekuvuruga maskni unahali ngumu sana tangu uanze kuwanga hujawah kukutana na mjew eeh?lazima upanickkkkkm...go ahead panick at ur own risk ndio raha yangu mieee kuona mazumbukuku kama wewe mnaacha kazi zenu za kuwanga mnakuja kupanick kwa thread yangu hahahahhhh zumbukuku first grade wewe
 
Eti huyu ndio graduate wa UDSM... Over my dead body...

Lazima chupi ilivuliwa hapa...

Elimu, elimu, elimu!!!
sasa hata kama ningekuwa nimeivua vipi mbona povu sana? We mwanga sio bure ila unanichekeshaa endelea tena kupanick jaman unanifurahisha mnoo hahaha jike shupa sio kwa kuchambana na mwanamke huko yan wewe ulitakiwa kukaa makumbusho kwa kivutio cha utalii. .u are too funny jobless woman
 
Product ya University Of Dar Es Salaam??

I doubt..

Elimu, Elimu, Elimu!!
 
Na mtu mwenyewe aliyeandika huo "utafiti utumbo" anaitwa muke ya muyahudi

Kwake yeye mtu kuvaa nguo pana, na "akadhalilishwa" kwa tafsiri yake yeye, inatosha kabisa kukifanya chuo kiwe majanga...

Elimu, elimu, elimu.
unachekesha aisee hahaha nacheka hapa hadi machozi! hivi wewe tahira ujue. .wahusika wenyewe wanaojua maana ya kilichotokea wame apoligise, wewe zuzu ambae ukoo wenu wote haujasoma umekazania kumwaga upupu wako hapa hahahahahah endelea kupanick jman afu najua all this imetokea wapi liwaza ngono wewe. .zamanii mnoo nilishaga kushushua na ungonolist wako nikakuvua nguo mnoo ..In time hapa kati nilitokaga j.forum mda mnoo hata sikuwa nimekukumbuka maskn ndio Leo mtu kani dm ananikumbusha nimechekaa dah hvi wewe timamu kweli jamn wewe mama? unamuwekaje kichwan kwanza mtu humjui all that while? tena bifu kabisa na hasira juu. .nimeamini humu kuna waishi stress wengii ila wewe waongoza hahahahhhhhh
 
Product ya University Of Dar Es Salaam??

I doubt..

Elimu, Elimu, Elimu!!
utajuaje elimu na wewe hukusoma sasa aliekuambia uamini nani?hata kunielewa sikutegemea kwanza unadhania nani anakulaumu sasa wajitetea nini? kusikia udsm tuu macho yamekutoka ka umeona bomu we product ya mibuyuni sio bure haya nitokee hapa
 
Hapo sijaona kosa la ki academic, ila ni ishu ya kawaida tu ya kiofisi... Na degree yako ya UDSM nina wasiwasi nayo, labda ukikuwa wa kawaida mno darasani na ukatoka na GPA ya 2.X ....
 
Hapo sijaona kosa la ki academic, ila ni ishu ya kawaida tu ya kiofisi... Na degree yako ya UDSM nina wasiwasi nayo, labda ukikuwa wa kawaida mno darasani na ukatoka na GPA ya 2.X ....
kwahiyo wewe makosa unayoyajua ni ya academic tuu?and however. .hujaona kosa linalohusiana na academic hapo? afu nimegundua ktu. .udsm inawatoa roho eeh? actually hii post nashindwa kuifuta 7bu ya watu kama nyie mnanipa vtu ambavyo sikuwah kuvijua b4..kama udsm na kidegree kuwa ni major issue..thread inajaa kisa kutaja udsm na kidegree hapo yan watu mnataman kupasuka! anyways nakusamehe manake unaonekana unauafadhali angalau umegundua kuna kosa japo hujui ni kosa gani specifically,Gpa yangu uamini usiamini haipunguzi kuwa ni uupper second tenaaa am embarrassed to say
 
utajuaje elimu na wewe hukusoma sasa aliekuambia uamini nani?hata kunielewa sikutegemea kwanza unadhania nani anakulaumu sasa wajitetea nini? kusikia udsm tuu macho yamekutoka ka umeona bomu we product ya mibuyuni sio bure haya nitokee hapa
Elimu, Elimu, Elimu...!!!
 
Receptionist ndo mweny shida...uvaaji wa suruali pana unamhusu nn...fyuuu
na management kwa kumfumbia macho sababu sio mara ya kwanza,vyanzo vilikuwa vinadai ndio zake na alisharipotiwa..anyways tuone maybe watarekebisha.The akilis kubwaz tunajuana wenyewe tushaelewa tunaongelea kitu gani
 
Back
Top Bottom