Chuo cha UDOM ni majanga

Chuo cha UDOM ni majanga

Nimepita chuo cha Udom Leo nilikuwa na mishe zangu, dah nilikuta pale main administration. Scene ya ajabu sana yani mwanafunzi aliingia akiwa amevaa yale masuruali mapanaa jamani, kuna wadada pale reception walimuanzishia na ma askari juu wanamlazimisha atoke nje asihudumiwe.

Nikasema ngoja nione movie, yule dada alifanikiwa kufika mpaka anapohitaji, basi huku chini wakaitwa maaskari na watu kadhaa wakazuie asihudumiwe. Ikabidi ashushwe na escot! Inavyoonekana yule dada anajua haki zake pia alikomaa sana aachiwe apate huduma kwani alichovaa hakipo nje ya code za umma.

Aisee sijui iliishiaje ila yule dada anilimuacha nje analia kwa hasira mno! nikabidi nimpe tuu moyo ila nikasema hiki sio chuo inavyponekana hata watu wanaoajiriwa pale wengine sio professional at all.

Sababu kuna time alikuwa akiwajibu kingereza wanamuambia unajifanya msomi dah kwa hii mambo elimu ya bongo tutasubiri sanaa sikutegemea chuo kikubwa kama kile kiwe kina mambo za ajabu vile ila scene ilinigusa mno. .,nb:inawezekana sio wote ila kwa nilivyosikia sio mara ya kwanza wateja kudharilishwa pale na uongozi unalifumbia macho! Kuna shida kubwa katika sekta za elimu bongo. .Acha nisubiri kwanza ntasomea nje my second degree.
Sijakuelewa maadili yako!
 
we aspirin sijui panadol toa habari zako hapa tafadhali, usichoelew hapo kutoka kw mleta mada ni nini? unasema huelewi uhusian wa tukio la huyo dad a kudhalilishwa name chuo husika?kwani labda tukio limetokea wapi mfano?ushaambiwa limetkea mazingira ya hicho chuo 'x' mana na unaambiw sio mara ya kwanza kutokea sasa maana yake si uongozi wa hiko chuo 'x' either kinabariki matukio kama hayo au kiko careless kweny ufatiliaji wa incidents zinazotokea.Wanapaswa kufanya follow up ya incidences kama hizo hat kweny ofisi nyungine zip. Unataka lawama abebeshwe nani kama sio uongozi wa hiko chuo?ulishfikiria swala la huyo bint aloyedhalilika alikuwepo katika situation gani there after?hata kama alikosea (which I doubt) still ilikuwa ni kiasi cha kufahamishwa vizuri sio kudhalilishana. .kukimbizana na kusukumana na askari juu...unatetea nini hapo?lawama atupe wapi kama sio kwq administration ya chuo hiko?kazini kwako unaweza haribu wewe peke yako lakini hata manager wako akawajibishwa kwa ajili yako.why?uzembe wa administration .now tell me how can the uni administration avoid this.Wewe uko kweny administration ya hiko chuo nini? ??weka wazi
 
hivi unamuelezea huyo zumbukuku unadhania atakuelewa? kwanza hata familia hana huyo mwenzako mgumba, hajui uchungu wa mtoto, alafu mbabuu jitu zima na familia hana!so u can imagine ana stress kiasi gani anazimalizia huku, kingine shule huyo mwenzako aliishia vidudu kuvaa uniform ndio anachokijua, ukimuambia protocol za ofisi tena chuo kikuu haelewi kabisaa so hatokuelewa, alafu anabifu na mimi backthen niliwahigi kumvua nguo over same things za kuingiza ngono na stress zake kwa each thread , 4 years ago jamani badbado sijamtoka akilini ndio wadau walinishtua dm mi nilikuwa hata nishamsahau, u can imagine huyo mtu yupo lonely na illetarate kiasi gani ndio maana unaona watu wamemnyamazia hapo wanaomjua.Sema ninachomshangaa mimi ni kuvamia mada iliyo juu ya uwezo wake kama hii na kutolea stress zake hapa, Ila kumuelezea hawezi kuelewa huyo hata ukeshe unamuelezea unapoteza tuu mda, mwenzako hajui hata elimu ya juu ni kitu ganiyeye anajua elimu ni muandiko tuu hajui typing errors wala informal writings etc hajuii nd ni mbabuu anakesha kuchambana na mjukuu wa 26yrs u can see kabisa hyo mtu hayupo sawa usipoteze mda mama yangu,
 
hivi udom Main adminstration ipo Maeneo gani pale , au jiran na college gani pale?
 
Mimi nimefatilia kile kifo cha yule dada anaesemena amebakwa hadi kufa ni kwamba diamond platnumz ndie msanii bora kwa sasa tz hayo aliyasema ozil wakat anafunga goli dhidi ya hardware za kusambaza mchanga kwenye uchaguzi wa kumpata miss wa korosho husaidia kumfanya mtu aoge kwenye gari ambalo halina laptop zenye ukubwa wa chai ya maziwa yenye barabara za kwenda calculator maji makubwa ya kilimanjaro ndio huletja matairi ya kifaru cha mwinuko wa bahari kwenye ukuta wa maji
 
Back
Top Bottom