macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,476
- 61,356
Sidhani kama ni kweli. Nchi zilizoendelea wafanyakazi incompetent hawajajaa sana na wangekuwa wamejaa sana basi ungekuta wako kama sisi. Kunaweza kuwa na elements ndogo ndogo lakini kwa ujumla ni wengi ni wachapakazi. Tanzania iko level nyingine na usijaribu kulinganisha na dunia nzima.Kitu ambacho hujui ni kwamba kokote dunia hii, wafanyakazi incompetent wamejaa sana
Ni vile huku hakuna sheria kali za kuwawajibisha wafanyakazi wazembe ndio maana unaona mradi wa mwendokasi unasuasua
Ila uzembe upo dunia nzima, kila sehemu ina watu walio serios na wajinga wajinga. Ili organization iwe stable inabidi kuwe na mfumo unao discourage ujinga kazini
Wala sio kosa la wasomi wa Bongo kama unavyodai