Mkuu watu wamikoani hutawaweza, hakuna sehemu rahisi kuishi na kufanikiwa kimaendeleo kama mikoa ya pwani kwa Tanzania hii, kuna mikoa ukifungua hata duka hawaji kununua kama wewe sio wa hapo mfano mmoja ni hii jamii ya wameruWatu wa mikoani wakifika Pwani wanakuwa treated aje?
Bro,huwezi kumpa adhabu mtoto mpaka kumjeruhi halafu mzazi wa kizazi hiki eti akae kimya,Unafahamu kuna walimu wamesusa kabisa kuwa adhibu wanafunzi kwa sababu tu ya chuki kati yao na jamii?
Unakuta mtoto anachapwa kidogo tu hata akichubuka kidogo jambo litakavyokuzwa mpaka mwalimu ana Hama shule🤔
Kwahiyo nani ambaye unahisi achukiwi hii dunia kaka,nitajie jamii ya watu ambayo unahisi wanapendelewa nje na wanasiasa.Nooo, this is more than ukosoaji. It's something personal
Kuna watu wanapenda tu kulaumu. Mimi wazazi wangu wote wanatokea Magharibi na Kusini Magharibi mwa Tanzania lakini tumeishi maeneo ya Pwani na nimekulia huko. Hizo chuki, sijui uvivu na kila kitu wanacholaumu watu wa Pwani sijawahi kukionaMkuu watu wamikoani hutawaweza, hakuna sehemu rahisi kuishi na kufanikiwa kimaendeleo kama mikoa ya pwani kwa Tanzania hii, kuna mikoa ukifungua hata duka hawaji kununua kama wewe sio wa hapo mfano mmoja ni hii jamii ya wameru
Mifano Mingne ipo mingi sana
Huwa kwenye adhabu inatokea , ila una kuta ni jambo dogo tu la kumaliza kati ya mzazi na mwalimu lakini mzazi anavyochukulia unaona kabisa hapo kuna chukiBro,huwezi kumpa adhabu mtoto mpaka kumjeruhi halafu mzazi wa kizazi hiki eti akae kimya,
Ile sio chuki
Chuki dhidi ya watu wanaojiajiri sio kubwa ukifananisha na waajiriwaKwahiyo nani ambaye unahisi achukiwi hii dunia kaka,nitajie jamii ya watu ambayo unahisi wanapendelewa nje na wanasiasa.
Maana wanasiasa ndio watu wanaongozwa kuchukiwa hii nchi kwa sasa.
Na cha kushangaza walioajiriwa ndio wateja wazuri na wa uhakika hawana kona kona hata kwenye maduka ya mangi wana aminika na kukopesheka😁Chuki dhidi ya watu wanaojiajiri sio kubwa ukifananisha na waajiriwa
Na waliojiajiri ndio wengi zaidi hapa nchini, lakini nadra kukuta zinaanzishwa threads 1000 za kuwaponda
Duuh wasomi mna kazi kwakweliJamii Forums pekee imejaa thread za namna hii
Huko mitaani ndio balaa
View attachment 3563581View attachment 3563582View attachment 3563583View attachment 3563584View attachment 3563585View attachment 3563586View attachment 3563587
Hata mabwabwa wakishika hela nyingi na kuwa na ushawishi kwenye jamii wanaume marijali tutaonekana viazi tuKwa sababu watu wajinga wajinga kama Dotto Magari wamekuwa na ushawishi mkubwa katika jamii ya Kitanzania
Haiitaji wasomi wengi, hao wachache inatosha kabisa kuwawakilisha wengine, jamii zenye watu wengi wasiofika chuo huwa zinafanya mambo kwa hisia na mihemko zaidi na sio logical reasoning.Tanzania ina wasomi wengi sana
Hao machawa hawafikii.hata 0.0001% ya wasomi
Huwa kwenye adhabu inatokea , ila una kuta ni jambo dogo tu la kumaliza kati ya mzazi na mwalimu lakini mzazi anavyochukulia unaona kabisa hapo kuna chuki
Hapana wakuu tunatumia vibaya neno chuki.Chuki dhidi ya watu wanaojiajiri sio kubwa ukifananisha na waajiriwa
Na waliojiajiri ndio wengi zaidi hapa nchini, lakini nadra kukuta zinaanzishwa threads 1000 za kuwaponda
Mazao yapo mengi tu , hizo kebehi zinatoka wapi kama sio chuki za kijinga jinga tuHapana wakuu tunatumia vibaya neno chuki.
Zile ni kebei
Watu wengi ambao hawajasoma huwa wanatarajia mtu baada ya kusoma basi waone zao la kile ulichokisoma,lakini inakuwa tofauti kwa mitaa ndio maana wasomi wetu wanakuwa wanawakebei watu wenye influence kama doto na kadharika
Chuki ni hisia kali ya kutompenda mtu, kitu, au hali fulani, mara nyingi ikiambatana na hasira, wivu, au nia mbaya.Hapana wakuu tunatumia vibaya neno chuki.
Zile ni kebei
Watu wengi ambao hawajasoma huwa wanatarajia mtu baada ya kusoma basi waone zao la kile ulichokisoma,lakini inakuwa tofauti kwa mitaa ndio maana wasomi wetu wanakuwa wanawakebei watu wenye influence kama doto na kadharika
Ndio cha kushangaza. Hata sehemu ikifunguliwa ofisi watu wameajiriwa utaona wanachangamkia kwa kasi wanaenda kufungua migahawa, mabanda ya chips, uwakala, maduka ya rejareja na kila aina ya biasharaNa cha kushangaza walioajiriwa ndio wateja wazuri na wa uhakika hawana kona kona hata kwenye maduka ya mangi wana aminika na kukopesheka😁
Na sasa kuna Wimbi walio soma wana kimbilia kwenye kuji ajiri na wanafanya mambo kwa ukisasa zaidi hao viazi kazi wanayoChuki ni hisia kali ya kutopenda au kumchukia mtu, kitu, au hali fulani, mara nyingi ikiambatana na hasira, wivu, au nia mbaya.
Ndiyo definition ya chuki hiyo