Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Sina mana ninamana una ulimbukeni fulani wa mkoa mkoa bado mshamba wa huu mjii.
Tena uishukuru sana TCU kwa kukuleta Dar ungeikua unaona kwenye Kideo
Jidanganye Mkuu.

Natafuta kilicho bora nikipata nafasi wewe kalia Udasalama hapo.
 
Usidanganye wa2, UDSM kuna vipanga tupu si kweli, kuna wengine wana 2 ya mwisho na 3 ya mwanzo wapo udsm, swala ni kukariri chuo pekee ni Udsm wakati kuna vyuo vingine vizuri 2 hasa vya private.
 
Una hoja za kizamani sana yani inaonesha we ni typical mtu wa kuja...huyo wa PCB ukimpa somo la kiswahili nae anataga!
Kila mtu anajua anachokijua kujua biology sana haikufanyi wewe kua expert..labda uwe expert kwny fani yako ya biology ila ukija kwenye fani ya kiswahili utakua kilaza tu
Mtu aliyepata one ya 10 kidato cha nne atataga kiswahili Mkuu
 
Habari Wakubwa.

Leo nikiwa katika biashara yangu walikuja vijana wawili. Vijana hao walionekana kukwaruzana kila mmoja akijaribu kumshinda mwenzake kukitukana chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Nikiwa kama Mhitimu kutoka chuo hicho. Nilivuta masikio yangu zaidi na umakini wote kutaka kujua nini sababu ya mvutano ule mkubwa.

Kwa nasibu vijana wale walikuja kwenye biashara yangu wakiwa bado wanararuana vikali kama wapo katika finali ya kombe la dunia.

Sauti yangu ya kuwakaribisha ndio iliweka nukta katika mabishano yao na kuwafanya wameze mafumba kadhaa ya mate jasho shingoni likiteremka kutokana na jua la Dar.

Niliwahudumia. Kisha nikawauliza kuhusu walichokuwa wakikitukana.

Ndio wakanipa filamu zima jinsi walivyo-apply Udsm na kutemwa kama kohozi. Walienda mbali zaidi nakusema kwa maksi walizopata walikuwa na haki za moja kwa moja za kuchaguliwa Udsm. Hapo ikabidi niulize ufaulu wao. Ndipo mmoja kwa kujitutumua akafungua mdomo wake na kusema ana divisheni two ya 11 mwenzake akadakia ana ya 10.

Nikawapa pole tuu na kuwaambia walifaulu tuu vizuri hivyo wa-appy vyuo vingine.

Mytake; jamani ninyi watoto mlioshuleni someni kama mnataka mambo makubwa. Sio unamaliza shule na kadivisheni two kako alafu unataka uchaguliwe chuo kikubwa cha vipanga.

Hakuna aliyekutuma ufeli. Kama unataka kusoma Udsm sharti upige msuli upate angalau kadivisheni one.

Kila mtu apambane na hali yake.

Udsm hoyeeeeee!
Na wewe umesoma UDSM??Utakuwa hujui historia yake
 
Point hapa acha ushamba wa mkoani umeingia dar sasa try to adopt mutherfucker!
Ukirudi likizo ndo urudi kijijini kwenu ukawaringishie unasoma chuo Dar


Umepaniki Mkuu.

Chuo nilimaliza muda sana. Ushamba unao wewe usiyejua kupambanua mambo
 


Umepaniki Mkuu.

Chuo nilimaliza muda sana. Ushamba unao wewe usiyejua kupambanua mambo
Haijalishi ulimaliza lini ila bado una ulimbukeni fulani hivi wa mkoa...haiwezekani 'msomi' wa chuo cha taifa uwe na mawazo mgando ivo...sasa tatizo litakua chuo ama ni wewe mana umesoma kwnye chuo bora but still hujabadilika...una fikra za kiloko
 
Huo ndo ukwel. .kupata 10 olevel sio kigezo cha kujua kiswahili..nenda kaangalie tokeo la shule kama mzumbe afu ukirudi utambie kama ninachokisema ni uongo
 
Kwa nini? Wewe hata Kiswahili hujui. Nikitumia Kiswahili kitakusaidiaje?
Kinanifanya nijisikie fahari na pia napenda kutumia kiswahili nikiwa na mtanzania mwenzangu.

Kama ungekuwa kabila langu ningekuambia utumie kilugha
 
Back
Top Bottom