mi naona wangempa bulembo maana ndie fyatu kabisaaNakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster
Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma
Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.
Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Ni ujuha kufikiri kusomasoma ndo kila kitu. Nilitofautiana na watu kuhusu Balozi Sefue kutokutumia uzoefu wake kufundisha PS Udsm/ udom. Si sahihi kuona GPA za A/Lectures ni bora kuliko uzoefu wa chief Secretary.Anza na Ole Sendeka kwanza
Tatizo elimu za hapa na pale za kubenea hawazioniunaukza elimu yake itakusaidia nn??
Kauliza elimu yake hajauliza kama hiyo nafasi inahitaji elimu...Kwani msemaji anahitaji elimu?
Kama ya Mbowe. Nakujibu tu.Hivi huyu ana elimu gani?
Nauliza tu.
FORM FOUR ANAISEMEA CHAMA TAWALAAKupitia radio Uhuru FM wametangaza kuwa Bw. Kinana amemtangaza Bw. Christopher Ole Sendeka kuwa Msemaji Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 331146
* Nafasi hii ni tofauti na ile ya Nape. Nape anaendelea kuwa Katibu Mwenezi wa chama
Taarifa zaidi zitatolewa baadae.
Hivi huyu ana elimu gani?
Nauliza tu.
Kupitia radio Uhuru FM wametangaza kuwa Bw. Kinana amemtangaza Bw. Christopher Ole Sendeka kuwa Msemaji Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.
View attachment 331146
* Nafasi hii ni tofauti na ile ya Nape. Nape anaendelea kuwa Katibu Mwenezi wa chama
Taarifa zaidi zitatolewa baadae.
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster
Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma
Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.
Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Fungua Uzi wa Mbowe mkuu tuweketuwekee na matokeo ya mbowe tuyalinganishe.
Mbowe hata km alifeli mtihani wa darasani lkn kwa jinsi alivyofanikiwa kwenye biashara ni zaidi ya msomi wa vyeti. Km ingekuwa nchi za wenzetu angekuwa anakwenda chuo kikuu kuwajengea uwezo wanafunzi wa masomo ya biashara. Huwezi kumlinganisha Olesendeka na Mbowe hata kidogo..! Hata ccm wapo watu wanaofanana na mbowe. Mfano ni Jumanne Kishimba mbunge wa kahama. Huyu jamaa ni darasa la saba,lkn jamaa ni kichwa sana ktk mambo ya biashara nae km mbowe ni tajiri sana..! Ukibahatika kukaa na kishimba na ukabaki masikini basi utakuwa na kichwa nazi sana! Olesendeka tunataka ushahidi wa vyeti kwa sababu hakuna alipofanikiwa!!
Nimeipenda hiiMbowe hata km alifeli mtihani wa darasani lkn kwa jinsi alivyofanikiwa kwenye biashara ni zaidi ya msomi wa vyeti. Km ingekuwa nchi za wenzetu angekuwa anakwenda chuo kikuu kuwajengea uwezo wanafunzi wa masomo ya biashara. Huwezi kumlinganisha Olesendeka na Mbowe hata kidogo..! Hata ccm wapo watu wanaofanana na mbowe. Mfano ni Jumanne Kishimba mbunge wa kahama. Huyu jamaa ni darasa la saba,lkn jamaa ni kichwa sana ktk mambo ya biashara nae km mbowe ni tajiri sana..! Ukibahatika kukaa na kishimba na ukabaki masikini basi utakuwa na kichwa nazi sana! Olesendeka tunataka ushahidi wa vyeti kwa sababu hakuna alipofanikiwa!!
Hata Mbowe ali rotate kidato cha nne na cha Sita!Uyu ndie alie rotate kile kidato
cha mwsho?!..
Hata Cheo cha uenyekiti wa Chadema taifa qualification ni kupata division zero form six!Hivi hiki cheo CCM Qualification mhimu lazima uwe umefeli Either O - Level or A-Level?
Sendeka ana ZERO(FORM six) Nape ana Div FOUR ya 29 (Form Four)
Kabla haujahoji matokeo ya Ole Sendeka,anza kwanza na matokeo ya Mwenyekiti wako Mbowe hapo upo?hahahahaha Nyani haoni kundule ni kama unamwambia Mbowe vile
Hizi kejeli sio nzuri.Za wasifu wake kitaaluma nadhani