Vyeo vingine vinatokana na mahitaji ya wakati. Tuliwahi kuwa na Naibu Waziri Mkuu Mrema, ambae kikatiba hatukuwa na nafasi hiyo. Kama ulimsikia Kinana akimtambulisha Sendeka alitoa Maelezo ya hitajio hilo.
Kwamba Nape amekuwa Waziri hawezi kuendelea kuwa msemaji Wa chama na nafasi yake hujazwa kwa vikao husika na muda wake bado.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.