Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Jamaa yule anaongoza nchi wala hawasikilizi maccm yenzake ndo maana unaona kinana yupo kimya zile tripu zake za mikoani kimya hivyo yeyote yule afaa kua msema chochote pale maana hawana cha kusema mkuu
 
Watu wanakimbilia kujua elimu ya mtu, tambueni kuwa hao wanaojiita wasomi ndo wanaharibu nchi hivyo tusiwe wavivu wa kufikili kwa kuwaza wenye elimu ndo wanaweza, elimu dunia ni bora kuliko hiyo elimu yako ya kimagharibi unayoikazania, hata kama ana zero ya form six kuongoza si anaweza ww tatizo lako nn.
 
Form Six failure,division Zero old moshi sekondari.Daa ccm imeishiwa wasomi kabisa
utaifakwanza Lizaboni
Kuna vitu viwili hapa wandugu mnachanganya, ingawa sijui tatizo ninini, huenda ni kukalili au kuto kuto kuelewa, kwanza kuna

1. civic knowledge na
2. academic certificates

Hivi ni vitu viwilili tofauti kabisa lakini kikuu na chamuhimu ambacho binadamu yeyote anatakiwa kuwa nacho ili aweze kukidhi mahitaji yake na yawengine wanao mtegemea ni civic knowledge ambayo ndiyo chanzo cha mafanikio na mengineyo mengi huanzia hapo.

Hivyo unaweza ukajaza academic certificates zenye high performance let say A zoote kabisa lakin kama huna civic knowledge ni ZERO na utashindwa kuishi na kutekekeleza majukumu yako
Ila unanafasi kubwa sana ya mafanikio na maendeleo kama una civic knowledge bila hata ya kuwa na academic certification au kama zipo zina ZERO SCORE

Hivyo naomba tuweze kutofautisha hivi vitu viwili ili tuweze kumjadili mtu kwa uwezo wake wa kukidhi mahitaji ya jamii aliyo nayo hata kama hakuingia kabisa darasani kukalili ili apate A zote.
Asanteni
 
H aahaaaahaaa, kichekesho kweli namsubiri aje aeneze sera za ccm simanjiro, haaaaa alishindwa kuwatumikia wamuelewe wakamtosa kwa kura za aibu, leo wamuone anaeneza sera za chama?

Haaaaaa kweli ccm wameishiwa hawana watu makini kabisaaaaaa, huyu? haaaaaa kweli ccm ni ileile kichekesho kikuu.
 
Hivi hiki cheo CCM Qualification mhimu lazima uwe umefeli Either O - Level or A-Level?

Sendeka ana ZERO(FORM six) Nape ana Div FOUR ya 29 (Form Four)
 
Ben,

Ukiweka hapa elimu ya Mbowe na shule alizosoma na matokeo yake najitoa JF na naomba Mods wanipige life ban.

Mbowe hata km alifeli mtihani wa darasani lkn kwa jinsi alivyofanikiwa kwenye biashara ni zaidi ya msomi wa vyeti. Km ingekuwa nchi za wenzetu angekuwa anakwenda chuo kikuu kuwajengea uwezo wanafunzi wa masomo ya biashara.

Huwezi kumlinganisha Olesendeka na Mbowe hata kidogo..! Hata ccm wapo watu wanaofanana na mbowe. Mfano ni Jumanne Kishimba mbunge wa kahama. Huyu jamaa ni darasa la saba,lkn jamaa ni kichwa sana ktk mambo ya biashara nae km mbowe ni tajiri sana..!

Ukibahatika kukaa na kishimba na ukabaki masikini basi utakuwa na kichwa nazi sana! Olesendeka tunataka ushahidi wa vyeti kwa sababu hakuna alipofanikiwa!!
 
Kuna threads humu toka enzi ya Jambo forum zinauliza elimu ya Mbowe mpaka leo hamna majibu wewe tena unataka nianzishe ingine.

Kamanda ili kukata mzizi wa fitina tuwekee kiduchu elimu ya Mbowe najua wewe upo jikoni Ufipa unajua

Tunasubiri kamanda!
Ha ha a a ha haaa! Tumalize kwanza ya muhusika wa huu uzi! Huo wa Mbowe toka Jambo forums sijawahi kuuona! Hebu kaufukue ulipo ulete hapa!
 
Kuna threads humu toka enzi ya Jambo forum zinauliza elimu ya Mbowe mpaka leo hamna majibu wewe tena unataka nianzishe ingine.

Kamanda ili kukata mzizi wa fitina tuwekee kiduchu elimu ya Mbowe najua wewe upo jikoni Ufipa unajua

Tunasubiri kamanda!
Ha ha .. Mbowe ni saksesfull biznes man.
 
Sendeka ni mtu makini Sana hivyo kuwa katibu mwenezi Chama kimepata mtu sahihi, hata nape alikuwa mtu sahihi Sana aliutendea vyema uenezi.
 
Back
Top Bottom