Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Jongwe

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
1,040
662
IMG-20160320-WA0037.jpg
Kupitia radio Uhuru FM wametangaza kuwa Bw. Kinana amemtangaza Bw. Christopher Ole Sendeka kuwa Msemaji Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.

IMG-20160320-WA0039.jpg

* Nafasi hii ni tofauti na ile ya Nape. Nape anaendelea kuwa Katibu Mwenezi wa chama

Taarifa zaidi zitatolewa baadae.
 
Hivi huyu ana elimu gani?

Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
 
Acha wampozee Ametumbuliwa sana Tokea ile kashfa ya dalali Muhongo na wennzie
 
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
tuwekee na matokeo ya mbowe tuyalinganishe.
 
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Ben,

Ukiweka hapa elimu ya Mbowe na shule alizosoma na matokeo yake najitoa JF na naomba Mods wanipige life ban.
 
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Kabla haujahoji matokeo ya Ole Sendeka,anza kwanza na matokeo ya Mwenyekiti wako Mbowe hapo upo?hahahahaha Nyani haoni kundule ni kama unamwambia Mbowe vile
 
Back
Top Bottom