Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Ndugu yangu U-hali gani..?
Natumai u-mzima wa afya.,naweza kukushauri jambo kutokana na mwelekeo wako wa siasa na namna unavyoendelea kuchuja na kutafuta namna mpya ya kupata kick..

JIFUNZE kuwa wakati umebadilika....acha kuendelea kuandika kama ulivyokuwa ukiandika...itakusaidia.

Asante ,nitaufanyia kazi kama ulivyoufanyia kazi ule ushauri wangu.
 
Watu wanakimbilia kujua elimu ya mtu, tambueni kuwa hao wanaojiita wasomi ndo wanaharibu nchi hivyo tusiwe wavivu wa kufikili kwa kuwaza wenye elimu ndo wanaweza, elimu dunia ni bora kuliko hiyo elimu yako ya kimagharibi unayoikazania, hata kama ana zero ya form six kuongoza si anaweza ww tatizo lako nn.

Kuna vitu viwili hapa wandugu mnachanganya, ingawa sijui tatizo ninini, huenda ni kukalili au kuto kuto kuelewa, kwanza kuna

1. civic knowledge na
2. academic certificates

Hivi ni vitu viwilili tofauti kabisa lakini kikuu na chamuhimu ambacho binadamu yeyote anatakiwa kuwa nacho ili aweze kukidhi mahitaji yake na yawengine wanao mtegemea ni civic knowledge ambayo ndiyo chanzo cha mafanikio na mengineyo mengi huanzia hapo.

Hivyo unaweza ukajaza academic certificates zenye high performance let say A zoote kabisa lakin kama huna civic knowledge ni ZERO na utashindwa kuishi na kutekekeleza majukumu yako
Ila unanafasi kubwa sana ya mafanikio na maendeleo kama una civic knowledge bila hata ya kuwa na academic certification au kama zipo zina ZERO SCORE

Hivyo naomba tuweze kutofautisha hivi vitu viwili ili tuweze kumjadili mtu kwa uwezo wake wa kukidhi mahitaji ya jamii aliyo nayo hata kama hakuingia kabisa darasani kukalili ili apate A zote.
Asanteni

Mmeongea point nyie jamaa yaani kama tungekuwa tunatiana moyo hivi tungekuwa tuna Taifa la watu wenye kujiamini maana mtu aliefeli form 6 kwangu mie sioni kama kuna shida endapo tu ana afadhari kwa kuwa inaonyesha kabisa ana cheti kizuri cha olevel hivyo uelewa wake ni mzuri tu wa mambo.

Kikubwa kuna maisha baada ya shule na ndio maana unapofeli shule mwisho wa siku angalia mpango mwingine kama unaona elimu ni mgogoro.

Nchi ilikuwa inaongozwa na watu wa kawaida tu ilikuwa inakwenda pamoja na kwamba kuna changamoto zilitokea huko nyuma lakini huwezi kulinganisha na hali ya sasa cabinet nzima mpaka mkulu wote ni wasomi na ukiongeza watendaji wa serikali ambao wengi ni wasomi lakini vitu vinavyofanyika ni majanga na hela zinakwapuliwa tu na maamuzi ya ajabu ajabu yanayoigharimu nchi mamilioni ya fedha
 
CCM haijawahi kubadilika...daima ni ile ile
kamanda wewe mabadiliko unayoyaamini ni hata yale.ya kubeba mafisadi na kuyasafisha hadharani. haya ndio unaona ni bora kuliko kutobadilika kabisa. kweli nyani haoni kundule
 
Mmeongea point nyie jamaa yaani kama tungekuwa tunatiana moyo hivi tungekuwa tuna Taifa la watu wenye kujiamini maana mtu aliefeli form 6 kwangu mie sioni kama kuna shida endapo tu ana afadhari kwa kuwa inaonyesha kabisa ana cheti kizuri cha olevel hivyo uelewa wake ni mzuri tu wa mambo. Kikubwa kuna maisha baada ya shule na ndio maana unapofeli shule mwisho wa siku angalia mpango mwingine kama unaona elimu ni mgogoro.

Nchi ilikuwa inaongozwa na watu wa kawaida tu ilikuwa inakwenda pamoja na kwamba kuna changamoto zilitokea huko nyuma lakini huwezi kulinganisha na hali ya sasa cabinet nzima mpaka mkulu wote ni wasomi na ukiongeza watendaji wa serikali ambao wengi ni wasomi lakini vitu vinavyofanyika ni majanga na hela zinakwapuliwa tu na maamuzi ya ajabu ajabu yanayoigharimu nchi mamilioni ya fedha

Kwa mawazo yako haya nitaonea huruma watoto wako ikiwa matokeo yao ya sekondari yataenda mrama(God Forbid).
 
Za wasifu wake kitaaluma nadhani
kamanda tuanze na sisi kabla hatujaanza kutoa boriti kwenye jicho la mwenzetu. tutajie elimu za hawa wafuatao na matokeo yao.
1)Mbowe
2) Sugu
3) Kubenea
4) Msigwa
5) Lema.
6) Mnyika
baada ya hapa ndio tuanze kuwachokonoa wengine
 
Naona ccm imeanza kumteulia watu Mh mwenyekiti mtarajiwa. Kikwete muachieni Mh atachagua mwenyewe
 
Uyu ndie alie rotate kile kidato
cha mwsho?!..
 
Kwa mawazo yako haya nitaonea huruma watoto wako ikiwa matokeo yao ya sekondari yataenda mrama(God Forbid).

Suala la elimu mkuu nalizingatia sana na mtoto akichemsha unaangalia sababu ya kuchemsha hasa katika shule hizi za kata zilizoanzishwa kisiasa pia kinachofuata ni kumwngalia wapi anaweza na kumwendeleza, kwangu mie mtu akifeli form six so long ana cheti cha form four nitamshauri either arudie mtihani au kama vipi atumie cheti cha form four kujiendeleza. Sijabeza wasomi lakini pia hata waliofeli pia kuna mazingira wanatakiwa wawezeshwe wafike mahali (nimejibu hiyo kutokana na comments za watu wanakomaa matokeo ya Mbowe na Ole Sendeka ndo nikalinganisha output ya hao mabwana na wasomi wetu walio wengi haifanani).

Statement ilikuwa simple tu yaani kwa wale waliobahatika kwenda shule wazinduke na kuonyesha tangible results badala ya kuponda wale wenye vyeti magumashi maana anaweza akawa kafeli form 6 kumbe amejiendeleza na ile form 6 yake failure inabaki historia.

Hao ni kuheshimu katiba ya nchi ambayo haijanyumbulisha ukomo wa uongozi achilia mbali uraisi (kwa nafasi za kiouongozi )
 
Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Ben kwanza nikupe pole kwa kushindwa Rombo, hila kwa uhalisia Tanzania inawasubiri viongozi wa rika lenu kutokea chama chochote; historia yetu imejenga utamaduni mmbaya sana wa kujenga safu ya uongozi na ndio chanzo cha umaskini; weledi sio swala la msingi kabisa kwenye siasa za Tanzania.
 
Mbona kuna watu wenye matokeo mazuri lakini wanatumbuliwa majipu?
 
Huyu ndiye alikua anawaambia watu wa Mererani "Hata msipo nipigia kura Nyumbu(Wamasai)watanipigia.
Tutegemee kauli za hovyo hovyo kama kawaida ya CCM
 
Back
Top Bottom