Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Christopher Ole Sendeka ateuliwa kuwa Msemaji Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM

Ndugu yangu U-hali gani..?
Natumai u-mzima wa afya.,naweza kukushauri jambo kutokana na mwelekeo wako wa siasa na namna unavyoendelea kuchuja na kutafuta namna mpya ya kupata kick..

JIFUNZE kuwa wakati umebadilika....acha kuendelea kuandika kama ulivyokuwa ukiandika...itakusaidia.
Ushauri wako mzuri kwake ila umesahau kumwamnia kuwa wewe ni mkuu wa wilaya mtarajiwa
 
hahahahahaha Mbowe ana nini?hahahahaha labda master degree ya kubadili gear angani
Wewe.mrundi endelea kubisha tu.ila ni bora.ukatafute cv ya mbowe alipatq zero lini na shule gani?hyo masai alifeli old moshi alitaga
 
Unataka CV ama elimu?...Kama ni CV mbona iko wazi?...

Ni sawa na mtu akuombe CV ya Mbowe, Sugu ama Lema sasa hivi ni lazima utamshangaa..Kwa sababu CV zao ziko wazi..

Halafu, CV ya Ole Sendeka wa CCM inakusaidia nini wewe mtu wa CHADEMA?
Hawa si viongozi wa UMMA? haijalishi wako CHADEMA au CCM. Lazima tuwajue ipasavyo!
 
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Kuna lundo la wabunge wa ukawa wenye elimu za mashaka, tukianzia na elimu ya kuunga unga ya katibu mkuu wenu, na yule mbunge wa ubungo aliyekiri kua na elimu ya hapa na pale...
 
Acha kuupotosha uma.. hizo biashara Mbowe karithi toka kwa baba yake aitwaye Aikaeli Mbowe. Usidanganye watu wakamuona Mbowe kichwa kumbe hakuna kitu.
Mbowe hata km alifeli mtihani wa darasani lkn kwa jinsi alivyofanikiwa kwenye biashara ni zaidi ya msomi wa vyeti. Km ingekuwa nchi za wenzetu angekuwa anakwenda chuo kikuu kuwajengea uwezo wanafunzi wa masomo ya biashara. Huwezi kumlinganisha Olesendeka na Mbowe hata kidogo..! Hata ccm wapo watu wanaofanana na mbowe. Mfano ni Jumanne Kishimba mbunge wa kahama. Huyu jamaa ni darasa la saba,lkn jamaa ni kichwa sana ktk mambo ya biashara nae km mbowe ni tajiri sana..! Ukibahatika kukaa na kishimba na ukabaki masikini basi utakuwa na kichwa nazi sana! Olesendeka tunataka ushahidi wa vyeti kwa sababu hakuna alipofanikiwa!!
 
Sendeka ataseleleka tu bila kujali kama anachekwa au hachekwi kwani div 0 si mchezo
 
Kupitia radio Uhuru FM wametangaza kuwa Bw. Kinana amemtangaza Bw. Christopher Ole Sendeka kuwa Msemaji Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi.

View attachment 331146

* Nafasi hii ni tofauti na ile ya Nape. Nape anaendelea kuwa Katibu Mwenezi wa chama

Taarifa zaidi zitatolewa baadae.
Tunawashukuru sana lumumba kwa kusikia ushauri wetu wa kumtafutia ole sendeka sehemu ya kujihifadhi , maana kiukweli hicho cheo hakikuwahi kuwepo na wala hakipo , sendeka ndio mwanzilishi .
 
Acha kuupotosha uma.. hizo biashara Mbowe karithi toka kwa baba yake aitwaye Aikaeli Mbowe. Usidanganye watu wakamuona Mbowe kichwa kumbe hakuna kitu.
Wewe baba yako alikuachia nini na tuonyeshe ulivyoviendeleza...Otherwise ni wivu tu unakusumbua!
 
Nakumbuka Profesa Sospeter Muhongo alisema matokeo yake ya form six ni disaster

Sijui kama alishare-seat na kujiondolea hayo majanga ya Kitaaluma

Ni kweli hatua ambayo CCM imefikia ni lazima iwe na Msemaji asiyekuwa na upeo mpana wa kuchanganua mambo maana itabidi afanye kazi ya kutetea visivyotetewa.

Lazima itafute Mweledi wa kujitoa ufahamu bila soni.
Umeeleweka mkuu.
 
Back
Top Bottom