Kkimondoa
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 4,452
- 4,937
Kwani mwenyekiti wako wa chama anaelimu gani na NECTA form six alipata division ngapi? Je chama cha CHADEMA amekifikisha wapi kwa ufauru huo huo mdogo?Kwa a, mawazo yako haya nitaonea huruma watoto wako ikiwa matokeo yao ya sekondari yataenda mrama(God Forbid).
Ikiwa mbowe ameweza kuikuza chadema hadi hapo ilipo fika kwa elimu yake hiyo unadhan sendeka atashindwa nini? Kwan umesikia katika utawala !a kisiasa una apply log Na cos and trigonometric? Think big my bro