Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Ni wajinga pekee wanao amini juu ya black hole. Yaani wale mashabiki wa Sayansi.
hujajibu hoja
Au Stephen Hawking hajulikani na yale hayajayasema ?
ulianza hivi

nikakuuliza

Kwanza umeelewa vyema alichokisema stephen hawking?

Unaelewa kwamba stephen hawking akipingama na earth rotation habari ya black hole inakosa mashiko?

Unaelewa black hole ndio dhana kubwa ambayo ina mchango mkubwa sana wa hawking katika kufanikisha watu wanaelewa?

Sasa ushawahi jiuliza anaanzaje kupinga hoja ambayo ipo kwenye chain moja na nadharia ambayo anaikubali?

hujajibu hizi hoja
 
Weka kilichofata baada ya haya toka kwangu. Usiweke vitu nusu nusu.
 
nimerejea

sasa ni zamu yako ku confess

unakubali kwamba ulisema hujui?
Ungerea usinge uliza tena hili swali. Inaonyesha wazi hujarejea. Sasa nasema tena rejea tena na tena,mpaka utakapo amua kuwa mkweli.
 
nipe post number uliyojibu haya maswali

Falsafa ni nini?

Sayansi ni nini?

Solar system ni nini?

Na ili kitu kionekana kinahusiana na sayansi ni factor gani zinazingaliwa?
Rejea kila kitu kipo humu, kuhusu hii mada.
 
Kwanini NASA waseme habari za urusi kwani hao urusi ni lini wameongelea habari za nasa
Mkuu watu wanacho sahau ni kwamba Taifa la Urusi ndio lilikuwa la kwanza kutuma chombo kwenye sayari ya MARS mwaka 1976 kikafanikiwa kutua na kutuma picha za rangi Duniani, hilo NASA hawalisemi kabisa - hawasemi chochote kuhusu mananikio ya chombo cha Urusi aina ya VENERA.

Miaka 45 baadae ndio wanajifanya ni mapioneer! Kweli Duniani kuna mambo.
 
Kwanini NASA waseme habari za urusi kwani hao urusi ni lini wameongelea habari za nasa
Logic yako ni hipi hasa? Hapa tunazungumzia masuala ya sayansi na sio kuwa stuck kwenye by gone cold war mentality.

Labda nikukumbushe kitu, ni hivi: fani ya sayansi uongozwa na facts and figures,repeat facts&figures na si vinginevyo. Mfano: katika maelezo ya NASA kwa nini hawasemi kwamba wao sio ma pioneers/watangulizi/wakwanza kutuma chombo kwenye MARS? wanaficha ukweli kwamba chombo cha Urusi ndio kilifanikiwa kutumwa na kutuwa kwenye sayari ya MARS kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 45 iliyo pita, chombo hicho kilifanikiwa vile vile kurusha Duniani picha za rangi na video clips in High Quality - je, ni wasomaji wangapi wanajuwa ukweli huo?

Kama wewe unafikiri hilo lilikuwa ni jambo dogo kwako, kumbuka kwamba ni watu wachache wanao juwa ukweli huo, sisi wengine upenda habari za kisayansi zinazo tilia maanani ku-ripoti habari zinazo jali zaidi mizania na sio kuwa overly biased, wana siasi ndio ufanya ujinga huo, lakini si wana sayansi.
 
Weka kilichofata baada ya haya toka kwangu. Usiweke vitu nusu nusu.
baada ya hoja yangu ulisema hivi
1614605086048.png

hoja hii ni irrelevant haijajibu maswali haya

Unaelewa kwamba stephen hawking akipingama na earth rotation habari ya black hole inakosa mashiko?

Unaelewa black hole ndio dhana kubwa ambayo ina mchango mkubwa sana wa hawking katika kufanikisha watu wanaelewa?

Sasa ushawahi jiuliza anaanzaje kupinga hoja ambayo ipo kwenye chain moja na nadharia ambayo anaikubali?

hujajibu hizi hoja
 
Ungerea usinge uliza tena hili swali. Inaonyesha wazi hujarejea. Sasa nasema tena rejea tena na tena,mpaka utakapo amua kuwa mkweli.
kwa hiyo unapinga kua ulipoulizwa hukusema "sijui"?
 
Hapi ulipaswa kuuliza swali au kujibu kwanza swali nililo kuuliza ?

Kijana acha usanii kwenye hakuna
swali lako ni potofu haliku deserve direct answer na lilionesha kua habari za hawking huzijui ili twende sawa ulitakiwa unihakikishie kwamba unayemzungumzia unazielewa research zake na namna pekee ya mimi kujua kua unazielewa ni kukuuliza maswali yanayohusu gunduzi zake

maswali yenyewe ni haya

Unaelewa kwamba stephen hawking akipingama na earth rotation habari ya black hole inakosa mashiko?

Unaelewa black hole ndio dhana kubwa ambayo ina mchango mkubwa sana wa hawking katika kufanikisha watu wanaelewa?

Sasa ushawahi jiuliza anaanzaje kupinga hoja ambayo ipo kwenye chain moja na nadharia ambayo anaikubali?

hujajibu hizi hoja
 
Rejea kila kitu kipo humu, kuhusu hii mada.
weka post number ya hayo majibu uliyojibu haya maswali

Falsafa ni nini?

Sayansi ni nini?

Solar system ni nini?

Na ili kitu kionekana kinahusiana na sayansi ni factor gani zinazingaliwa?
 
Hivi na sisi tutegemea kurusha Satellite yetu ya kwanza wenyewe lini? maana tuna miaka 60 ha uhuru inatosha kabisa - mtu aliyezaliwa siku ya uhuru 9th December 1961 leo hii ana miaka 60 kamili yaani kibabu kitarajiwa.

CCM majibu tafadhali, limo ndani ya uwezo wenu.
 
5
Labda nikukumbushe kitu, ni hivi: fani ya sayansi uongozwa na facts and figures,repeat facts&figures na si vinginevyo. Mfano: katika maelezo ya NASA kwa nini hawasemi kwamba wao sio ma pioneers/watangulizi/wakwanza kutuma chombo kwenye MARS? wanaficha ukweli kwamba chombo cha Urusi ndio kilifanikiwa kutumwa na kutuwa kwenye sayari ya MARS kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 45 iliyo pita, chombo hicho kilifanikiwa vile vile kurusha Duniani picha za rangi na video clips in High Quality - je, ni wasomaji wangapi wanajuwa ukweli huo?
Weka video tuone.
 
5
Weka video tuone.
Mambo mengine bwana! Kwani hujui kutumia search engines za mtandaoni? Tafuta mwenyewe, mimi nimekupatia lead - unless kama umepania kuleta ubishi 4 the sake ya ubishi - naona huko ndiko unako elekea, kama ungekuwa na nia ya kujifunza kitu ungetafuta mwenye and not reverting back to me 4 some clarification - I hope the pen has dropped - Goodday.
 
hayo machuma yanaendaje huko?
Vitu vya awali vinaweza pelekwa huko kwa spaceship ( star ship ya spacex mfano) ingaaa sijajua wamefikia wapi kwenye hio project yao but I saa it somewhere nadhani YouTube elon akiielezea
 
Naanza na wewe, tatizo liko wapi hapo ?

Haoa umeonyesha wazi huna hoja.

Ustaarabu ni kufata utaratibu, inakuwaje katika mjadala mtu anakimbia maswali, huu unaitwaje ?

Pili, inaonekana hauko serious au wewe ndiyo huyo huyo, ungekuwa unasoma ungeona nani anampotezea muda mwenzake. Haiwezekani avunje utaratibu namsaidia kisha hajibu maswali yangu, angalia katika mjadala kama kuna swali langu lolote alilo jibu zaidi ya kukimbia, na uangalie wapi kuna swali lake sijajibi, sasa acja utoto na ushahbiki wa kijinga.

Mtu anasema sina idea, namwambia athibitishe wu anikosoe na aweke usahihi pia hanashindwa. Huwa nacheka sana napojadiliana na nyinyi. Yaani watupu sana.

Labda nikuulize swali, kipi mlichonifundisha humu sijafundishika ? Ukionyesha naacha kutumia hii ID, maana hata kufundisha pia mnaongopa, kijana unamatatizo ya akili nini ?

Hili nimemjibu zaidi ya mara mbili, na kama ungesoma ninachokiandika huu ujinga au utetezi huu usingeuandika maana naona unaleta "Double standards" za kijinga na za wazi. Hukuona nilipi muuliza anipe njia za kisayansi kuonyesha kuna Solar System au scientific methods au jaribio lolote la kisayansi linalo onyesha dunia inazunguka, hajaonyesha na hana uwezo huo, anachobakia kuuliza maswali na kutaka ajibiwe ila yeye hajibu. Nimemuonyesha ya kuwa siyo kila ukosoaji wa Sayansi hukosolewa kwa sayansi sababu Sayansi yenyewe na njia zake ni dhaifu mno, ndiyo maana tuna hoji, tunarudi katika ufunuo na kuangalia uhalisia. Sasa usilazimishe kosa likosoe kosa.

Sisi hatulei ujinga, na ajabu ninayo iona kwenu ni kujidai mnajua huku mkishindwa kukosoa ninachokiandika na kushindwa kushindwa kujibu maswali ninayo uliza.

Hatulei ujinga.
Kiukweli Mkuu hushashindikana hapa jf sijui kama kuna MTU anaweza argue nawewe akiamini ataku convince anything

Wewe unajua kila kitu, haukubali kushindwa , unakuaa umeshajiandaa kubisha kwahio majadiliani yanakuwa ya bure, pia tayari una belief yako kwamba ulichokisoma au kufundishwa ndonukwelii.

Najua utabisha hapa ila ndo ukweli.
 
Nafasi ya kuishi mars ni 1%.
Vitu vya awali vinaweza pelekwa huko kwa spaceship ( star ship ya spacex mfano) ingaaa sijajua wamefikia wapi kwenye hio project yao but I saa it somewhere nadhani YouTube elon akiielezea
 
Back
Top Bottom