Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

wameshayatoa yao ndiomaana tunazisoma nakuzielewa ila wewe mr Jurjani kazi yako ni ongea ongea tu ukitaka kupinga hizo concepts andika paper tusome tuone how deep you are in astrophysics and cosmology wasomi duniani wanapimwa kwa papers wachapishazo sio kelele za jf.


hakuna aliyeona black holes haimaanishi hazipo! calculations zinatuonesha they possibly exist so its upto you kuja na better equations kuonesha hakuna possibilty ya existance ya black holes sio kupinga bila hoja


hilo swali sio lakuniuliza tafuta vitabu vya physics uone equations hizo na calculations zilitokea wapi then uformulate zako kuja kuzipinga.


this is my last reply to you in this topic unless you come up with very convincing equations of yours kuja ku wa disprove hao wanasayansi nguli akina einstein and co. This is a challenge to you mr Jurjani kwaheri.
Nimecheka sana kijana. Siku nyingine muwe mna hoja juu ya haya mambo. Ujinga mwingine ulio uandika ni kunitaka mimi nije na paper zangu, kwahiyo kama majibu sahihi yapo nipoteze muda kwenye hakuna ili iweje kijana ?

Ujinga mwingine ni kuwa wannawezaje kutengeneza kanuni za kimahesabu wakati uhakika wa jambo husika hawana wala hawajawahi kuliona,na nyinyi kwa uzwa zwa wenu mnakubali tu.

Sass mimi nakufundisha ya kuwa msingi wa kanuni hizo za kimahesabu ni mawazo yao yakufikirika kisha wanayaweka katika namba kuwasilisha uongo wao na kututumia assumptions kuficha ukweli.

Hii kazi niliimaliza kitambo,nilichokuwa na fanya nikuonyesha ujinga wenu ulipo.

Nipo....
 
Back
Top Bottom