Nasa kujenga nyumba juu mwezini 2040

Eugen TZA

Member
Aug 7, 2023
61
98
#KashindeUpdates Wakati baadhi ya watu wakiteseka Duniani kwa kutokua na makazi au nyumba za kuishi, Shirika la anga la Marekani NASA Wametangaza maazimio yao ya kujenga nyumba juu angani mwezini (Lunar Surface) ifikapo mwaka 2040 kwaajili ya makazi mapya ya binadamu.
-
Zitakua ni nyumba maalumu kwaajili ya wataalamu na raia wa kawaida, NASA wamepanga kugawa maeneo juu kwenye mwezi kuanzisha koloni la binadamu mwezini wakati wakiendelea kutizama uwezekano wa kutanua wigo kwenda kwenye sayari ya Mars siku za mbeleni.
-
NASA wanatarajia kutengeneza nyumba hizo kwa kupitia teknolojia ya 3D Printer ambayo imekua na ufanisi mkubwa sana hapa Duniani, Ripoti zinaeleza kuwa NASA wanashitikiana na makampuni binafsi na vyuo mbalimbali katika tafiti kuhakikisha maisha ya Nj'e ya Dunia yanakua halisi.
-
#PeaceOverInterest
 
sisi tunakusanyika kupokea ndege
 
Back
Top Bottom