Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,547
- 10,273
Labda utatumwa kama sms ya simu.Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake