Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Wenzako wanajifungia ndani wanafanya tafiti za mabilion ya pesa wewe from no where.. i mean not from no where like no where yani kwenye sofa la shemeji yako hapo unaita "UONGO".
Inakuwa ngum kuelewa kwasababu hatufuatilii mtu akisikia bhas ila ukiwaambia vumbi la kongo lazma wafuatilie ndy tunavipenda ivyoo
 
Naona mmekutana pipa na mfuniko, sijui nani atamfunua mwenzie.

Ngoja niendelee kupigs al Qasus baada kukimbia maswali ninayo wauliza.
Na mashaka na hiyo al qasus huwenda kuna kitu extra
 
Wewe ndo unajibana.
Katika hizo sayari Tisa na dunia ikiwemo.ni moja Tu inayosapoti maisha.
Na hata ukiangalia mizunguko ya hizo sayari kulizunguka JUA.ni wazi dunia ndo ina afaa kuishi
fungua ubongo acha kujibanabana
 
Wewe ndo unajibana.
Katika hizo sayari Tisa na dunia ikiwemo.ni moja Tu inayosapoti maisha.
Na hata ukiangalia mizunguko ya hizo sayari kulizunguka JUA.ni wazi dunia ndo ina afaa kuishi
hutaki hata kusumbua ubongo kidogo yani hapo ndio umemaliza
 
Kuna vitu mi nashindwa kuviamini hasa inapotokea nguvu kubwa yakutaka niamini... sasa hiyo picha kaipiga nani aliyekua katangulia huko chombo kinapotua?
 
vipi kuhusu maji,bahari,maziwa mito na mimea bila kusahau oxygen?.
Unadhani kuna sayari ambayo IPO kama dunia tulivyoikuta
Walishafikiria hilo ndio maana wakaja na terraformimg hypothesis.
ili kufanya mars iwe sustainable and suitable for human specie and other living organisms.
 
Sababu dunia haitaendelea kuwepo milele na wala haitoweza kuwa inhabitable milele.

Wako wapi Dinosaurs?

Wanachofanya ni kugeuza human specie kuwa multi planetary.

Hivyo kama siku kukitokea threat ambapo itapelekea dunia kuwa uninhabitable. Means itabidi binadamu wafanye fast evacuation to another planet ili human specie kutobecome extinct kama dinosaurs.

Wao wanajaribu na kujitahidi kuona future kwa ajili ya future humans na sio kuwa selfish.
Mkuu kuna movie flani ipo katika mfumo wa series inaitwa RAISED BY WOLVES inakitu kama ulichojazia hapo, yaani kuna binadamu walitwaliwa na kuhamishwa sayari nyingine ila kilichotokea ni tofauti na mategemeo ya wale wanasayansi.

Kwa wanaopenda movie na mambo kama haya mnaweza kuitafuta ni nzuri sana.
 
Alafu anatokea mtu mmoja ambaye kachanjwa chanjo za utotoni kibao na hawa wazungu na kizazi chake anasema chanjo ya COVID 19 ni plot ya kutumaliza!!
Leteni chanjo tunaotaka tupewe,msituamlie maisha wengine hatutaki kuishi kisiwani hapa maisha yetu yote!

Mkuu mbon hamna anaekukataza kuchanjwa we piga tu simu huko marekani sjui china waje wakuchanje
 
vipi kuhusu maji,bahari,maziwa mito na mimea bila kusahau oxygen?.
Unadhani kuna sayari ambayo IPO kama dunia tulivyoikuta
Mars tayari inayo atmosphere ila ni nyembamba sana.
Hivyo kama wataweza kufanya terraforming hayo yote yatawezekana.
Pia sababu ya hiko chombo kutua hapo walipopaita jezero crater ni wanaaimini palikuwa na maji yaani lake.
Unadhani kuna sayari ambayo IPO kama dunia tulivyoikuta
Kwa ukubwa wa milky way galaxy na kwa ukubwa wa universe ni lazima kutakuwepo sayari ambazo zipo kama dunia pia uwepo wa maisha.
Inaaminika milky way galaxy ina karibu 6 billion earth-like planets.
Yaani Sayari ambazo zipo kama dunia.

Hivyo hiyo inamaanisha kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo uwepo wa LIFE pia intelligent life nje ya hapa duniani na nje ya solar system.

hivyo inawezekana Mars kulikuwa na maisha pia.
ndio maana hao NASA, SpaceX na shirika jingine la kiarabu na chombo chao hope wanatuma hizo probes.
 
Kwa Sisi wa huku duniani ndo tunaenda kuanzisha maisha mapya huko mars?
Tutaenda na ndege za kawaida au Kwa hizo hizo rocket?

Back
Top Bottom