Chombo cha habari cha Diallo kilitumika sana na media za mabeberu kumchafua Magufuli

Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.

AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
Mnataka kumpoteza?
 
Acha akili za KIPOMPOMA, ina maana ni startv/radio free Afrika tu ndio huwa zinaungana na idhaa za kiswahili za kimataifa?!!Tz, UFM, WAPO RADIO, RADIO ONE, , hizo nazo ni za dialo?kama hujui kitu kaa kimya, kwani si mlipitisha sheria kuwa kama hizo radio za kimataifa zitamzungumza vibaya meko zitawajibika kwa hilo?unadhania ni kwa nini idhaa ya kiswahili ya radio france siku hizi huiskii kupitia tbc fm?!!nchi tulipitia kipindi kigumu sana, ni Mungu tu, kwani huko tulikokuwa tunaelekea, ilikuwa na N.KOREA.MUNGU FUNDI
 
kaendelee kuangalia korean drama
 
Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.

AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
Tupo tunamsikilizia ciunter.
Sema anabahati tupo busy na miamala angejua hajui
 
Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.

AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
Ni uelewa wako mdogo tu wa mambo.Mbona husemi star tv ilivyotumika kumsaidia Magufuli kuingia ikulu baadae akawafanyia mbaya.
 
Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.

AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
Kwani wanangaji walikuwa hawasemi ukweli?
 
Kwa mawazo yako watawala wetu hawakosei na hawapaswi kukosolewa wanapo kosea?
Twisted logic
 
Back
Top Bottom