Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

Naomba niwafahamishe wakuu kuwa hii hadithi inatoka kila jumatatu hivyo vuteni subira tu vinginevyo nijaribu kuwatafutia nyingine ambayo tutaendelea nayo huku tukisikilizia hii tuliyonayo.. kama mko tayari kuanza nyingine tujuzane... samahani kwa kuchelewesha taarifa hii...
 
he he he hii Kali....usikute mzee kibandiko yupo mafichoni na fimbo kama Beka atachemsha......mambo ya kupeana nyege ngoja nimshikeshike wife no one kama ataamka lol
Dokta umenivunja mbavu jamani huyu mzee mtoto hasa.
 
Hahahahahaha lol! Chezeya Mzee Kibandiko weye! Mzee wa chabo, lazima atakuwa mafichoni akifuatilia movie yote inavyoendelea.


he he he hii Kali....usikute mzee kibandiko yupo mafichoni na fimbo kama Beka atachemsha......mambo ya kupeana nyege ngoja nimshikeshike wife no one kama ataamka lol
 
SEHEMU YA 27

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale
Beka aliyekuwa akichezeana na Rey
kichochoroni alipotimua mbio na kurudi
nyumbani ambako alimkuta mama yake,
akamsabahi. Je, baada ya kumsalimia mama
yake kilifuatia nini? Songa mbele…
Kufuatia kusalimiwa na Beka, mama mtu
alimwambia habari za pale nyumbani
zilikuwa nzuri kisha akamuuliza kulikoni?
“Kwani vipi mama?” Beka alimwuliza mzazi
wake.
Mama yake akamwuliza mbona alikuwa
amechelewa kurudi nyumbani alikuwa wapi,
Beka alimdanganya kwamba alikuwa kwa
rafiki yake Zuberi kujisomea.
Kwa kuwa mama huyo alikuwa
akifurahishwa sana na tabia ya mwanaye
kupenda kujisomea, alimfagilia sana kisha
akamwambia aende akaoge ili ale.
Beka alimshukuru mama yake akaenda
kuoga, akiwa bafuni baba yake alirejea
akiwa mwenye furaha kwani alikuwa
akiimba.
Mkewe aliyekuwa anamfahamu vizuri
mumewe anavyokuwa akifurahi, alijua
alikotoka alifurahishwa na jambo flani,
akamuuliza:
“Haya mwenzangu umefurahishwa na nini
na kama umepata pesa nami nigaie,” mama
huyo alimwuliza mumewe akiwa kanyoosha
mkono kusubiri apewe ‘mpunga’.
“Yaani mke wangu, kadiri siku
zinavyokwenda mwanao Beka anazidi
kunipa raha na kuniongezea siku za kuishi
hapa duniani!” mzee huyo alimwambia
mkewe.
“Kwani kafanyaje na unaposema
anakuongezea siku za kuishi yeye kawa
Mungu?” mkewe alimwuliza.
Kufuatia kuulizwa hivyo, mzee Kibandiko
alicheka sana na kumwambia aliposema
anamuongezea siku anamaanisha mtu
anapokuwa na furaha siku zake za kuishi
zinaongezeka.
“Kweli baba Beka una mambo, haya
niambie mtoto kafanyaje kilichokufurahisha
nami niungane nawe kufurahi!” mama huyo
alimwambia mumewe.
“Wewe elewa mwanao ananipa raha sana
na mwaka huu utakuwa wa zawadi kwake,
chochote atakachohitaji kilichopo ndani ya
uwezo wangu nitampatia,” mzee Kibandiko
alimwambia mkewe.
“Kwa hiyo ndiyo hutaki kuniambia
alichokifanya Beka?” mama Beka alimwuliza
mumewe.
Alipoulizwa hivyo, mzee Kibandiko
aliendelea kucheka na kumweleza mkewe
kwamba Beka alikuwa amekua ndiyo jambo
linalomfurahisha.
“Sasa wewe ulitaka mtoto asikue, yaani
wakati mwingine na wewe baba Beka sijui
unakuwaje, mimi nilikuwa najua sijui mtoto
kafanyaje kumbe unaongelea suala la
kukua?” mkewe alimwambia mumewe.
Kabla mzee huyo hajamjibu mkewe Beka
aliyemaliza kuoga aliingia sebuleni, wazazi
wake wakakatisha maongezi yao.
“Sema jembe langu, mbona leo umechelewa
kuoga maana siyo kawaida yako!” mzee
huyo alimwuliza mwanaye.
“Ni kweli baba, nilipotoka kucheza mpira na
wenzangu nilipitia kujisomea kwa rafiki
yangu Zuberi,” Beka alimdanganya baba
yake bila kufahamu alikuwa anajua
alikochelewa.
Kufuatia Beka kutoa kauli hiyo, mzee
Kibandiko aliacheka kwani alikumbuka jinsi
mwanaye aliyekuwa ‘kamtaiti mtu’
walivyotoka baru pale kichochoroni.
“Sasa baba Beka, unacheka nini si mwanao
kakuambia alikopitia mpaka kachelewa
kuoga?” mkewe alimwuliza.
Mzee huyo ambaye moyoni aliwalaani sana
wale vijana waliosababisha Beka na Rey
kutimua mbio kabla hajaangalia picha hadi
mwisho alipomaliza kucheka akaanza
kuimba.
“Kweli mume wangu leo umefurahi kwani
unavyochekacheka, kwa kuwa umekataa
kuniambia kilichokufurahisha endelea
kuongea na mwanao ngoja niwaandalie
chakula,” mkewe alimwambia.
“Beka mwanangu siku hizi nakuaminia ile
mbaya yaani unanipa raha sana, kesho
kabla sijaenda kazini nitazungumza na
wewe jambo flani, hivi zile nguo
ulikwishazinunua?” mzee huyo alimwuliza.
“Nilipanga kwenda jana lakini nitaenda
keshokutwa,” Beka aliyetaka kwenda
shopping na Rhoda alimwambia baba yake.
“Kama keshokutwa sawa, kesho
nitakuongezea hela flani, sawa mwanangu?”
mzee huyo alimwambia Beka.
Beka akiwa na furaha alimshukuru baba
yake bila kujua jambo lililomfurahisha baba
yake ni kitendo chake cha kuwachangamkia
mademu.
Familia hiyo ilipomaliza kula, ilikaa sebuleni
na kuangalia runinga lakini Beka ambaye
alikuwa akimuwaza Rhoda na Rey aliwaaga
wazazi wake akaenda chumbani kwake,
akalala chali.
Akiwa huko, alikumbuka siku ya kwanza
alipomchinjia baharini Rhoda na jinsi
alivyopagawishana vya kutosha na Rey
mtoto mwenye chuchulee za kuchoma.
Kufuatia kuwawaza mademu hao ndugu, si
‘mkuu wake wa kaya’ akachachamaa
akaamua kumtuliza kwa kumshika ndiyo
akazidi kuchachaamaa.
Kama unavyojua kijana mbichi anavyokuwa
na ‘power’ a.k.a nguvu anapokuwa ndiyo
amemalizia kipindi chake cha kukua, Beka
alipata tabu sana.

ITAENDELEA J3 IJAYO PANAPO MAJAALIWA... USIKOSE
 
Back
Top Bottom