Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

Chombezo: Chachandu za Beka wa Tanga

CHACHANDU ZA BEKA WA
TANGA!-23
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita
niliishia pale baba Beka
alipompagawisha vya kutosha
mkewe kisha kumshika mkono wa
kulia na kumgeuza ambapo mama
huyo alijikuta kaangalia darini huku
macho yake makubwa yakiwa
yamelegea. Je, nini kilifuatia? Tuwe
pamoja katika utamu huu...
Kufuatia utundu wa mzee huyo
ambaye ni miongoni mwa wanaume
wachache waliokuja duniani
kuiboresha tasnia ya mahaba,
akamkonyeza mkewe kihuni...yaani
alimkonyeza na kuliminya jicho lake
la kushoto.
Mkewe ambaye muda huo
alikwishajua lazima angekwanguliwa
na mumewe ambaye alikuwa na
kawaida ya kufanya hivyo kila
alipofurahi, akatabasamu.Mama
huyo ambaye nilikwisha kueleza sifa
zake katika matoleo yaliyopita
kwamba aliumbika haswa, ukiachilia
mbali bambataa alilofungasha
nyuma, macho makubwa ya
kurembua alikuwa na vidimposi
mahaba alimtazama tena mumewe
na kutabasamu.
Mzee Kibandiko ambaye napenda
kumuita mtaalam wa mapenzi
alivutiwa zaidi na tabasamu la
mkewe, akameza funda la mate na
kujilamba midomo kisha akamuigiza
mkewe aliposema:
"Baba Beka, mimi sitaki
nimekwambia sitaki, tena ukiendelea
utanikorofisha."
Baada ya kumuigiza hivyo
kumpagawisha kabisa mkewe
alijilaza kifuani kwake akaanza kula
muwa huku mikono yake ikitalii kila
eneo la hatari, kitendo kilichompa
raha sana mama Beka.
Mzee Kibandiko alipomuona mkewe
akiweweseka akaongeza vionjo vya
yale mambo yetu, mpaka mama wa
watu akajikuta amepiga kigelegele
ndipo alimnyomnyoa manyoa naye
akanyonyoa yake akamchinjia
baharini.
"Nilijua tu leo nisingenusurika kwa
jinsi ulivyofurahi, sijui nini
kimekufurahisha mume wangu!"
Mama Beka alimwambia mumewe
kufuatia kisiki chake kuchimbuliwa
sawasawa.
"Si mwanao Beka...yaaani
kanifurahisha mno!" Baba Beka
akamwambia mkewe.
"Kwani kafanyaje au kitendo cha
kufua shuka lake?" Mkewe
alimwuliza.
"Ni zaidi ya kufua shuka mama!"
Baba Beka alimwambia mkewe bila
kufunguka zaidi.
"Kafanyaje sasa mbona huniambii?"
Mkewe alimwuliza.
Licha ya kuulizwa bado baba Beka
hakumweleza mkewe ndipo mama
huyo akamwambia kwa kuwa Beka
alikuwepo atamuuliza alichokifanya
kilichomfurahisha baba yake.
"Sioni sababu ya kumuuliza, ila
elewa kijana leo kanifurahisha sana,"
mzee Kibandiko alimwambia mkewe.
Kuhofia Beka angegundua baba yake
alibaini alichokifanya na Rhoda,
mzee Kibandiko akamdanganya
mkewe kwamba alikuwa anapitia
madaftari yake na kuona anafanya
vizuri sana.
"Hilo ndiyo unaligundua leo baba
Beka? Kila siku ninakuambia mtoto
anajitahidi sana lakini wewe huelewi
unaleta mizaha yako!" Mkewe
alimwambia mumewe bila kujua
alipigwa changa la macho.
"Kwa kweli kanifurahisha sana
mpaka nimempa fedha akatafute
zawadi aipendayo," baba Beka
alimwambia mkewe.
"Kama umefanya hivyo vizuri sana
mwanangu ataongeza bidii ya
kusoma," mama Beka alimwambia
mumewe.
Kwa kuwa mkewe alikuwa bado
anahamasisha yale mambo yetu,
mzee Kibandiko ambaye alikuwa
amejaliwa kuwa na nguvu, alikatisha
maongezi, akamvamia mkewe na
kuanza kucheza na maeneo ya
mshawasha, si mkewe akawa
anahema na kuyazungusha macho
yake makubwa.
Mzee huyo hakuona sababu ya
kumchelewesha mama wa watu
wakati kiu ilikuwa imemkaba kooni
utafikiri muda mfupi uliopita
hakupewa maji ya uzima,
akamdungua tena.
Kufuatia kipigo cha raundi ya pili
kilivyokwenda 'skuli' kama siyo
shule, mama huyo alijilaza huko na
kupitiwa na usingizi mzito, hiyo
ilikuwa kawaida yake kila
alipofikishwa kilele cha Mlima
Rungwe.
"Mimi ndiyo mzee Kibandiko,
mtaalam wa mahabati, nilijua tu
nitakuweka sawa kama ilivyotokea,"
mzee Kibandiko alijisemea moyoni.
Kwa kuwa alikwishamaliza kazi,
mzee Kibandiko aliinuka na kwenda
bafuni ambako alioga na kwenda
kuketi sebuleni akiwa kavaa pensi
yake ya michirizi ya bluu na mieupe.
"Ila siyo siri leo Beka kajua kunipa
raha kwa kuniumizia mtu, mtoto wa
kiume ambaye hana tatizo inatakiwa
awe hivyo," mzee Kibandiko ambaye
hakujua kama atamuharibu kijana
wake aliwaza.
Kwa jinsi alivyokuwa na akili finyu,
alizidi kujisemea moyoni kwamba
Beka anakoelekea atakuwa sawa
kabisa na yeye ambaye mpaka
kufikisha umri aliokuwanao alikuwa
ameshakula kuku wa mabinti wasio
na idadi.
Wakati mzee huyo akiwaza mambo
hayo ya kijinga, Beka aliyetokea
kumpenda sana Rhoda alikuwa
amekwenda nyumbani kwa
msichana huyo kujua maendeleo
yake baada ya kumtoa wekundu wa
msimbazi.
Alipofika kwa akina Rhoda, mama wa
Rhoda ambaye alikuwa akimpenda
sana Beka kutokana na kufanya vizuri
kimasomo na kuwa mfano mtaani
kwao alimkaribisha kwa furaha bila
kujua kama alikuwa
ameshamdungua binti yake.
Baada ya salamu, Beka alimuuliza
alikokuwa Rhoda na kwamba
alikuwa amefuata kitabu cha sayansi
alichomuazima.
"Mwenzako tangu aliporejea kutoka
kwa akina Stella kanieleza kichwa
kinamuuma hivyo amelala," mama
huyo alimwambia Beka bila kujua
mwanaye alikuwa 'kaumizwa' na
kijana huyo aliyemuona mpole.
Beka alipoambiwa hivyo, alimweleza
mama wa Rhoda kwamba hakukuwa
na tatizo angekifuata siku yoyote,
akamuaga lakini ile anataka
kuondoka Rhoda akatoka ndani.
Rhoda na Beka walipokutanisha
macho wote wakatatabasamu,
mama wa Rhoda alipoona tukio hilo
akajisemea moyoni:
"Hawa watoto wanavyoonekana
wanapendana sana, huyu si alisema
anajisikia vibaya kamsikia Beka
kaamka," mama huyo
aliwaza."Karibu Beka, nimekusikia,
nimeamua kuamka ili nikupe hi japo
naumwa," Rhoda alimwambia Beka.
"Asante dada yangu na utanisamehe
kwa usumbufu, kilichonileta hapa ni
kitabu cha sayansi kuna kitu nataka
kukipitia," Beka alimwambia Rhoda
wakati ukweli hakufuata kitabu.
Wakati wapenzi hao wanaongea,
mama Rhoda aliingia ndani na
kuwaacha wakiendelea na maongezi
yao.
"Rhoda siyo siri, nimeshindwa
kuvumilia kutokana na jinsi
ulivyoumia nikaamua kuja kukuona
mpenzi wangu, pole sana," Beka
alimwambia Rhoda.
"Hata mimi mawazo yote yapo juu
yako mpenzi wangu, niliposikia sauti
yako maumivu yote yameisha,
nakupenda Beka wewe ni mume wa
maisha yangu," Rhoda alimwambia
Beka na kuachia tabasamu pana.
Je, nini kilifuatia kwa wawili hao
 
Samahanini kwa kuingilia mambo ya mtu ila nimeona si vibaya nami kumsaidia kuipost kwa kuwa nimebahatika kuisoma leo
 
Safi sana salehek.... ni kawaida kupigana tafu kwny jukwaa letu hili pendwa hivyo ondoa shaka!
 
CHACHANDU ZA BEKA WA
TANGA!-24
MPENZI msomaji, wiki iliyopita
niliishia pale Beka alipoamua
kwenda nyumbani kwa akina Rhoda
kumjulia hali baada ya kumtoa
wekundu wa msimbazi, alipoonana
na Rhoda wote walitabasamu
kitendo kilichomfanya mama Rhoda
kujisemea moyoni:”Hawa watoto
wanavyoonekana wanapendana
sana, huyu si alisema anajisikia
vibaya kamsikia Beka kaamka.”
Je, kilifuatia nini? Songa mbele...
aada ya mama wa Rhoda kuondoka
na kuwaacha peke yao, Beka
alimwambia mpenzi wake kwamba
siyo siri alishindwa kuvumilia
kutokana na jinsi alivyoumia
akaamua kwenda kumuona.
“Hata mimi mawazo yote yapo juu
yako mpenzi wangu, niliposikia sauti
yako maumivu yote yameisha,
nakupenda Beka wewe ni mume wa
maisha yangu,” Rhoda alimwambia
Beka na kuachia tabasamu pana.
Ingawa awali Beka alikuwa zoba wa
mademu, kitendo cha Rhoda
kuporomosha tabasamu tamu
alijikuta akisisimka sana,
halikadhalika Rhoda naye alipatwa
na hali hiyo japo alikuwa na
maumivu.
Kwa kuwa wasingeweza kufanya kitu
chochote, Rhoda alimkaribisha Beka
ndani na kwenda kukaa sebuleni
wakaendelea kupiga stori huku
mama akiwa bize na mambo yake.
Wakiwa wanaendelea na maongezi,
binti mmoja mzuri sana aliyekuwa na
umri wa kati ya miaka kumi na sita
au kumi na saba aliingia sebuleni.
“Si ulisema utalala mpaka usiku
mbona umeamka sasa hivi?” Rhoda
alimuuliza msichana huyo mbichi.
“Mwenzangu, yaani usingizi umekata
ghafla nimeamua kuamka, naona una
mgeni?” yule msichana alimuuliza
Rhoda.
Rhoda alipoulizwa hivyo alitabasamu
na kumwambia yule binti kwamba
tena mgeni mwenyewe ni wa ukweli
na ndiye aliyesababisha aamke licha
ya kwamba alikuwa anaumwa.
Wakati Rhoda na yule msichana
aliyekuwa kavaa taiti na blauzi ya
mpira iliyombana sawia
wakizungumza, Beka alikuwa
anawasikiliza ndipo Rhoda akaamua
kutoa utambulisho.
“Rey, huyu hapa ndiye shemejio Beka
niliyekupa habari zake, kaja
kunitembelea laazizi wangu!” Rhoda
alimtambulisha Beka kwa Rey.
“Jamani shemu wangu, nimefurahi
kukufahamu...siyo siri da Rhoda
mumeo mtarajiwa ni handsome boy,
hongera mwaya!” Rey alimwambia
dada yake.
Kitendo cha Rey kumsifia Beka,
kilimpa raha sana Rhoda ambaye
alimwambia Rey kwamba alikuwa
anajua kuchagua na kuchombeza
kwamba alikuwa akimpenda sana
Beka.
Baada ya utambulisho huo, Rhoda
alimtambulisha Rey kwa Beka
kwamba alikuwa ni mtoto wa baba
yake mkubwa alikuwa akiishi
Morogoro na kwamba alikwenda
Tanga kuwasalimia.
“Nashukuru kukufahamu shemu
wangu, nami nitakuwa mchoyo wa
fadhila kama sitasema wewe ni
mrembo kama ulivyosema mimi ni
handsome boy,” Beka alimwambia
Rey.
Reyambaye kirefu cha jina lake ni
Rehema alitabasamu na kumshukuru
Beka kwa kumsifia kwamba alikuwa
mrembo.
Vijana hao waliendelea na maongezi
lakini Beka alitatanishwa sana na
uzuri wa Rey ambaye walizidiana
vitu flani na Rhoda kwani binti huyo
alikuwa na kishazi flani hivi cha fujo.
Ukiacha kishazi mbinuko, alikuwa na
macho madogo ‘matamu’ yaani
akikuangalia utapenda aendelee
kufanya hivyo, kifua kilikuwa na
viembe bolibo vya Tanga na mweupe
wa kati.
Kwa kuwa tayari Beka alishaanza
kujua nini maana ya kupenda licha ya
kwamba alikuwa bado hajajua utamu
wa sukari guru, alimtamani Rey.
“Da! Huyu Rey mtoto mkali kweli,
akiendelea kukaa hapa lazima
nitamvutia kasi.
Beka, Rhoda na Rey waliendelea
kupiga stori ndipo mama yao aliingia
sebuleni na kumuuliza Rhoda mbona
hawakumpatia Beka soda au juisi.
“Nyie mmenogewa tu na maongezi
mnashindwa kumpa kaka yenu soda
au juisi!” mama huyo aliwaambia
wanawe.
Kauli ya mama huyo ilimzindua
Rhoda ambaye alisema maongezi
yaliwanogea mpaka wakasahau
kumwandalia soda, akamuuliza Beka
ni soda gani aliyokuwa akipenda
kunywa.
“Kama kuna juisi itakuwa poa, soda
siyo mpenzi sana,” Beka alimwambia
Rhoda.
Rhoda awali alimuomba Rey
akamchukulie Beka juisi kwenye
jokofu lakini ile Rey anataka kwenda
akamzuia.
“Basi Rey kaa ngoja nikamchukulie
mume wangu,” Rhoda alimwambia
Rey, wakacheka.
“Hata mimi nilikuwa nashangaa
kunituma, mke ndiye anayepaswa
kumwandalia chakula au kinywaji
mumewe,” Rey alimtania dada yake,
wakacheka.
Baada ya utani huo, Rhoda
alinyanyuka na kuanza kuelekea
kwenye korido kulikokuwa na jokofu,
huku nyuma Beka na Rey
wakakutanisha macho na kuangusha
tabasamu.
Kitendo hicho kilimaanisha kwamba
Rey alimzimikia Beka halikadhalika
Beka naye alimgwaya mtoto huyo
mbichi ambaye alikuwa anaamini
‘kuku’ wake alikuwa hajaliwa.
“Huyu lazima kieleweke, halafu
lazima nitaenda kuwatambia akina
John kwamba tayari nimevunja
ngome ya Rhoda ili waniheshimu,”
Beka aliwaza.
Rhoda aliporejea na juisi alichukua
glasi tatu akamimina wote
wakajumuika kupata kinywaji, wakati
huohuo mama Rhoda aliingia.
“Kumbe na nyinyi mlikuwa mnataka
juisi, mlikuwa mnasubiri nini
kuandaa mapema?” mama Rhoda
aliwatania mabinti zake, wakacheka.
Baada ya kuwatania aliwaaga
kwamba anakwenda Barabara ya 8
kumuona shoga yake mama Hussein
aliyekuwa anaumwa.
“Mwanangu Beka, ukifika nyumbani
wasalimie wazazi wako,” mama
huyo alimwambia Beka.
Beka alimshukuru mama Rhoda na
kumweleza salamu zake zitafika,
mama akaondoka na kuwaacha
akina Rhoda, Rey na Beka wakipiga
stori.
Kama unavyofahamu siku zote
kwamba paka akitoka panya
utawala, baada ya mama huyo
kuondoka Rhoda alimuomba
msamaha Rey na kumwambia
alitaka kwenda na Beka chumbani
kwake wakatete jambo flani
 
CHACHANDU ZA BEKA WA TANGA
-25
Mpenzi msomaji, wiki iliyopita
niliishia pale mama yake Rhoda
alipoondoka nyumbani na kumuacha
bintiye huyo akiwa na Beka pamoja
na Rey. Kama unavyojua paka
akiondoka panya utawala. Baada ya
mama kuondoka, Rhoda alimuomba
msamaha Rey na kumwambia
alikuwa anakwenda chumbani kuteta
jambo fulani na Beka. Je, kilifuatia
nini? Songa mbele na utamu huu...
hoda alipomwa-mbia hivyo Rey,
aliumia licha ya kutojua sababu ya
kufanya hivyo kwa sababu Beka
hakuwa mpenzi wake na tayari
alikwishatambulishwa kwamba
alikuwa shemeji yake.
“Sawa dada Rhoda hakuna shida,”
Rey akamwambia dada yake.
Kwa mtazamo wake, Rey alikuwa
anajua Rhoda alitaka kuduu na Beka
lakini ukweli ni kwamba asingeweza
kufanya hivyo kutokana na
kujeruhiwa na kijana huyo muda
mfupi uliopita.
“Ila uongo dhambi, Beka ni handsome
boy, kweli Rhoda kapata mpenzi
mzuri!”
Baada ya Beka na Rhoda kuingia
chumbani, Rhoda alimwambia Beka
alikuwa kamuumiza sana ila asijali
kwa sababu alimkubalia kutokana na
upendo wake kwake.
“Beka hii ilikuwa ni zawadi maalum
kwako kwani ningekuwa sijatulia
usingeikuta, marafiki zako na vijana
wengine kibao tena wengine wana
fedha walinitongoza nikawatolea
nje,” Rhoda alimwambia Beka.
Beka alimshukuru Rhoda kwa
kumruhusu awe mwanaume wa
kwanza kumtafuna ‘kuku’ wake, kwa
furaha wapenzi hao walikumbatiana
na kuanza kula mua a.k.a denda.
Hawakuishia hapo, waliendelea
kufanyiana fujo ndipo Beka
aliipenyua blaa ya Rhoda na kuivutia
nyuma akaanza kuziminya taratibu
embe bolibo zake, mtoto akaanza
kusinzia.Wakati wakifanya hivyo, Rey
ambaye alikuwa anataka kujua ni
kitu gani kilijiri chumbani kwa Rhoda,
alikuwa amezunguka nyuma ya
dirisha akawa anawachabo bila wao
kumshtukia.
Kutokana na jinsi Beka alivyokuwa
akimshika hapa na pale Rhoda na
kuzinyonya embe bolibo zake, Rey
akapata msisimko na kutamani
kama yeye ndo angefanyiwa vile.
“Da! Huyu Beka inaonekana anaijua
vilivyo hii sanaa ya mahabati,
angalia anavyozichezea na
kuzinyonya embe za dada Rhoda hadi
raha,” Rey alizungumza moyoni huku
akiwa anaziminya embe ng’ong’o
zake za kuchoma.
Ingawa Rhoda na Beka hawakuwa na
lengo la kufanya zile fujo za kikubwa
mle chumbani, waliendelea
kufanyiana visa kitendo
kilichomfanya Rey kupagawa zaidi.
Rey alichanganyikiwa zaidi na kutaka
kupiga mayowe pale Rhoda
alipofungua eneo la mbele la ‘trauza’
ya Beka na kuuchomoa mkwaju
ngoma na kuanza kuuletea fujo.
Kufuatia mkwaju ngoma wa Beka
kuchachamaa, Rey alitamani
kuzunguka nyuma na kuwavamia
mle chumbani kisha kumpushi dada
yake kama siyo kumsukuma ili yeye
achukue nafasi lakini haikuwezekana.
Baada ya wapenzi hao kufarijiana
kwa kuchangamshana, walipigana
mabusu kisha Beka aliyekuwa
amefungua blaa ya Rhoda alifunga
vifungo akamkumbatia na
kumchumu.
Hali kadhalika, Rhoda naye
akauchukuwa mkwaju ngoma wa
Beka ambao bado ulikuwa wa moto
na kuurudisha sehemu yake na
kufunga lile eneo la mbele
alilolifungua.
“Ila mpenzi wangu huyo Beka wako
ni noma sana maana alivyopewa
nafasi kaitumia vizuri mpaka
kaniumiza,” Rhoda alimwambia
Beka, wakacheka.
Kufuatia kauli hiyo, Beka alimwambia
asijali atapona tu na ndiyo maana
aliamua kwenda kumjulia hali.
“Nashukuru d wangu kwa kunijali,
ukweli ni kwamba kama usingekuja
sikuwa na mpango wa kuamka
kabisa!” Rhoda alimwambia Beka.
Kwa kuwa walitumia dakika kadhaa
mle chumbani, Beka alimwambia
Rhoda warudi sebuleni
walikomuacha Rey.
Rey aliyesikia maongezi yao alitoka
pale dirishani kwa kunyata akaingia
ndani kwa kupitia mlango wa uani na
kukaa kwenye sofa na kujifanya
hakujua kilichokuwa kikiendelea.
Baada ya Rhoda na Beka kurejea
sebuleni, Beka ambaye aliondoka
kwao muda mrefu aliwaaga ndipo
Rhoda na Rey walimtoa hadi nje.
Wakiwa nje licha ya Rhoda kutamani
kumsindikiza Beka lakini aliamua
kupotezea kuhofia mama yake kama
angerudi na kumkuta anakata mitaa
usiku ule angejua hakuwa anaumwa
sana.
“Mpenzi nashukuru sana kuja
kuniona sitakusindikiza ngoja Rey
akupe kampani kidogo,” Rhoda
alimwambia Beka bila kujua kama
Rey alikuwa akimtamani sana Beka.
Baada ya kuagana, Beka ambaye
naye alikuwa akitafuta nafasi ya
kuwa peke yake na Rey ili
amchombeze alifurahi sana,
halikadhalika Rey naye alifurahi.
Beka alipofika kama mita kumi na
tano alishindwa kujizuia alimwambia
Rey kwamba tangu alipomuona
alitokea kumpenda ghafla.
Rey alipoambiwa hivyo alicheka
kisha akamwambia Beka yeye
alimpenda zaidi.
“Ni kweli unachonieleza?” Beka
alimwuliza Rey.
“Huo ndiyo ukweli na kwa taarifa
yako nipo tayari kukosana na dada
Rhoda kwa ajili yako...yaani wewe
Beka ni handsome sana,” Rey
alifunguka.
Kufuatia Beka kuambiwa hivyo na
alipomtazama Rey mtoto mbichi
alijikuta anasisimkwa mwili mzima
akasejisemea moyoni; “ Leo lazima
nikutafune kiumbe wewe ili nijenge
heshima kwa marafiki zangu
wanaonidharau.”
 
Beka umeniboa sana ungeendelea na msimamo wako mpaka umalize shule.Lakini umelegeza msimamo lazima ushuke kitaaluma.
 
Back
Top Bottom